Juuu yaa israel usihofu, itatokea vita kuu na waisrael watapingwa saana, ndipo watakapo mtambua masia mwana wa mungu na kumrudia. Hapo ndipo unabiii utaishia na YESU atarudi mara ya pili kuwachukua na kuwaokoa walio wake. Hivyo basi tunapoona mataifa yote hayampendi israel, yanatimiza unabii ulioko katika injiri ya mathayo 24 nanyi mtakuwa wa kuchukiwa na mataifa yotee. Ndugu mwamini YESU KRISTO sasa kilichobakia ni unyakuo wa waliomwamini Yesu kuwa bwana na mwokozi wa maisha yao. Kwa kiburi hicho ninajua utaubeza huu ujumbee. Sisi tutaendelea kuwajuza msije sema hamkusikia.