Israel isijidanganye

Wapalestina wapo zaidi ya million 13 hapo Middle east na kwingine duniani!! So watu elfu 20 ni tone la maji tu
 
Wamechokoza nani ilihali hao waisraeli waliwakuta hao wafilisti na canaanites wengine wanaishi hapo?
 
Wale ni taifa teule la Mungu
Kwahiyo Biblia inadanganya kuwa huwezi ingia Mbinguni bila kumkiri Yesu? Kwamba hao wapagani waliopo Tel Aviv wataingia mbinguni licha ya kumkataa Yesu ambaye ndiye Mungu!?
neema ya kumwamini kristo kwa makusudi wamepewa taifa moja tuu la israel.
Sio kweli unapotosha maandiko, wapi kwenye Bible imesema haya? Ni kwamba mtu yeyote anaweza kuokoka maana neema ni kwa wote, ukimkataa huendi popote whether ni myahudi au lah. Kama unabisha niambie kilichowakuta kabila la Dani hadi wakafutwa kama kabila la Israel kwenye kitabu cha ufunuo!!!
Mwamini bwana Yesu kuwa bwana na mwokozi wa maisha yako nawe utaokoka na gadhabu ya Mungu.
Unajua unajichanganya, kibiblia Yesu ndio MUNGU sasa kama wayahudi hawamuamini Yesu means technically hawamuamini MUNGU sasa utaingiaje mbinguni? Biblia imesema njia ni moja tu hakuna sehemu imesema kuna njia mbili leta mstari hapa unaoongelea kuwa wao wana special route ya kwenda mbinguni!?

Kuna watu mnapotosha sana maandiko
 
Hata kwetu hapa Tz hakuna wa kuja kuitoa kijani madarakani daima dumu!
 
Yesu ni Mungu uko sahihi kabisa. Sasa kwenye mamulaka ya kiutendaji kila binadamu anapaswa kumwamini Mungu kwa kulitumia jina la yesu. Kwahyo haimaanishi wayahudi hawaamini Mungu wanaamini saana, kinachokosekana kwao ni ule uaminifu wa kuamini kwamba Mungu amejiinua kwa kutumia jina Yesu, kitendo kilichowachanganya wayahudiii, kwani wao waliiamini katika torati ya musa na manabiii. Hivyo mpaka waami kweli Mungu alidhihirisha kwao kwao kwa jina la Yesu. Hapa iliwachanganya wengi hadi leo wanashindwa kuelewa kati ya YESU na Mungu, wanadhani hawa ni wawili kitendo ambacho ni tofautiii. Mpaka leo kunaimani inawatapeli watu hivyo na kusema Yesu ni wakawaida na kumfananisha na binadamu wa kawaida au nabiii wa kawaidaa, tena imefika watu wanaita watoto wao jina hilo yaaani kama wanahararisha kwamba Yesu wa kawaidaa. Kwahyo sasa wao kutoliamini jina la Yesu moja kwa moja walimkataaa Mungu alie hai. Kuanzia leo amini Yesu ni Munguu
 
Wapalestina wapo zaidi ya million 13 hapo Middle east na kwingine duniani!! So watu elfu 20 ni tone la maji tu
Kumbe ni wengi hivyo? Israel inatakiwa isafishe wapalestina wote na eneo la Gaza liwe jimbo la Israel hao wengi watabaki huko huko😀😀😀😀
Ukitaka kumuua mbwa, mpe jina baya
 
Kumbe ni wengi hivyo? Israel inatakiwa isafishe wapalestina wote na eneo la Gaza liwe jimbo la Israel hao wengi watabaki huko huko😀😀😀😀
Ukitaka kumuua mbwa, mpe jina baya
Nani kakwambia uonevu hauna mwisho? Nyie mmeua elfu kadhaa ila Hitler alichinja million 6!! Let alone Stalin alichinja wayahudi zaidi ya Million 2!! So muda wenu unakuja tu you'll pay for everything hata Bible inasema damu za wayahudi zitatamwagika na kujaa hadi ukikanyaga zinafika level ya kiunoni!!
 
Kama kuna mtu aliwatuma mkafanye tukio la October 7 basi aliwadanganya.
Nikanyage kwa bahati mbaya, nikulipue kwa makusudi
 
Kama kuna mtu aliwatuma mkafanye tukio la October 7 basi aliwadanganya.
Nikanyage kwa bahati mbaya, nikulipue kwa makusudi
October 7 ilikua ni revenge ya mateso ya miaka zaidi ya 75 sasa!! Uonevu umeanza tokea 1948 alafu unakuja kuongelea October 7? Nyie endeleeni tu dawa yenu ipo. Ataamka Stalin, Hitler au Mehmet Ali mwingine soon.
 
Mkuu kichapo cha gaza......kinakudanganya
 
October 7 ilikua ni revenge ya mateso ya miaka zaidi ya 75 sasa!! Uonevu umeanza tokea 1948 alafu unakuja kuongelea October 7? Nyie endeleeni tu dawa yenu ipo. Ataamka Stalin, Hitler au Mehmet Ali mwingine soon.
Kwa akili ya waislamu na waarabu....ni kwamba himaya za wayahudi zimeanza 1948........HIYO TUNAITA ARABS AND MUSLIMS CHEAP PROPAGANDA AGAINST JEW,S
 
UENGEREZA 🤣🤣🤣🤣
 
walio kufa kabla ya yesu kuzaliwa,wote wapo jehanam au sio mtumishi
 
mipumbavu inajiona bora mbele ya mungu
huku yakiendelea kufanya dhihaka kwa watu wengine.
hizo dini zenu ni bure kabisa
 
October 7 ilikua ni revenge ya mateso ya miaka zaidi ya 75 sasa!! Uonevu umeanza tokea 1948 alafu unakuja kuongelea October 7? Nyie endeleeni tu dawa yenu ipo. Ataamka Stalin, Hitler au Mehmet Ali mwingine soon.
Hiyo Israel na Gaza walikuwa wanaishi waisrael, wafilisti na makabila mengine.
Wapalestina hawakuwepo, ni sawa umeuziwa kitu cha wizi, umeokota kitu cha wizi au umemuibia mtu kwahiyo hata ipite miaka 40.
Ukikutwa nacho lazima ule kichapo hata kuawawa na utanyang'anywa tu ndicho kilichotokea kwa wakimbizi wa kipalestina walifikiri Israel ni kwao.
Wenye nchi walifika 1948 na ilikuwa rahisi ndiyo maana taifa teule la Israel liliundwa chapu ila shida ikabaki kwa hao wakimbizi wa kipalestina. Warudi kwao
Aliyewatuma mkafanye tukio la October 7, aliwadanganya sana. Tukio limehamishiwa Gaza
 
We mbinguni unaenda?
 
Hawajui wanachokiamini, huyu ukimuliza anasema yesu ndie mungu, mwingine anasema hivi, yani hawajui wanachokiamini maskini ya mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…