Israel is committing War Crimes

Israel bila Marekani haina chochote!

Biden…huyo Democrat mpenda amani asiye mbaguzi wa rangi, dini, wala jinsia…yeye kama kiongozi wa taifa kubwa linalolikingia kifua Israel, kwa nini aachie huu unyama wa Israel dhidi ya Wapalestina uendelee?

Leo nimeona kuna kabinti kameokolewa kutoka kwenye jengo lililopigwa mabomu na hao wahalifu wa Israel. Imeniuma sana.
Lakini unajua nini…fcuk Biden!

Hawezi kumfokea huyo Netanyahu na kumwambia akome huo unyama wake?

Wachina na Warusi kwa nini wanaachia huu uhalifu uendelee? Au hawana ubavu kama wanavyodai?

Massive big up kwa Hamas. Ujasiri wao nauheshimu sana.
 
Huo ujasiri unaouheshimu hamasi na kuwapa big up. Ndiyo unaosababisha unaona watoto wanaokolewa kwenye majengo yanayoanguka kwa kudunguliwa na mabom
 
Inahitaji moyo kweli kushangilia uonevu

Halafu kuna brainwashed minds zinadhani eti kuitetea israel kwa uovu wake ni kumpendeza Mungu.

Kushangilia Wayahudi kuua wapalestina ni sawa na kuwashangilia Wayahudi kumtesa Yesu kwa hoja kuwa ukiwalaani kwa udhalimu wao na wewe utalaaniwa.

Pure brainwashing!

Miongoni mwa Wapalestina wanaouliwa kuna Wakiristo wenzenu, maana Wakiristo wako zaidi kwa wapalestina kulio waisrael
 
Siku hizi kuna Watanzania Wapumbavu sana ambao hawajui lolote kuhusu dhuluma na udhalimu mkubwa uliofanywa na unaoendelea kufanywa na Israel kwa Wapalestina ambao ulisababisha Tanzania na nchi nyingi za Kiafrika kuvunja uhusiano na Israel.
We jahidina acha kutukana watu. Kwanza hayo mapalestina yalimsaidia idd amini
 
Hakuna taifa lenye haki ya kuumiza au kuonea taifa lingine, lakini Kila taifa Lina haki ya kujilinda linaposhambuliww au kuchokoza, kwenye huu mgogoro naona mmoja anatumia ametumia nguvu kujilinda, na mwingine anachokaza ingawa hana nguvu ya kutosha ili akishambuliwa avute attention ya mataifa ya nje. Hili Jambo watu wengi hawangalii, Israel anatoa taarifa kwa target maalum, lakini hamas inashambulia bila kujali,
Israel wangemua kushambulia au kutuma makomboro kama hamas, Ni ukweli mji wa gaza ungekuwa kwenye hali mbaya. But cha muhimu naona warudi kwenye mazungumzo
 
Acha upumbavu ZWAZWA wewe nani alikudanganya mimi ni muislamu? Nilikuuliza swali Nyerere na Mandela walikuwa wanaipinga Israel walikuwa waislamu? Kasome history ya nchi yako ili ujue ni nchi gani ya Waarabu iliyomsaidia Idi Amin badala ya kuandika UZUSHI.

We jahidina acha kutukana watu. Kwanza hayo mapalestina yalimsaidia idd amini
 
Israel bila Marekani haina chochote!

Biden…huyo Democrat mpenda amani asiye mbaguzi wa rangi, dini, wala jinsia…yeye kama kiongozi wa taifa kubwa linalolikingia kifua Israel, kwa nini aachie huu unyama wa Israel dhidi ya Wapalestina uendelee?

Leo nimeona kuna kabinti kameokolewa kutoka kwenye jengo lililopigwa mabomu na hao wahalifu wa Israel. Imeniuma sana.
Lakini unajua nini…fcuk Biden!

Hawezi kumfokea huyo Netanyahu na kumwambia akome huo unyama wake?

Wachina na Warusi kwa nini wanaachia huu uhalifu uendelee? Au hawana ubavu kama wanavyodai?

Massive big up kwa Hamas. Ujasiri wao nauheshimu sana.
Unaposema Israel bila Marekani haina chochote, it's because you're not seeing the bigger picture!

Huyuhuyu Biden ambaye ni rais wa Marekani (Israel's no. 1 ally) unategemea amkemee ama amfokee Netanyahu? Urusi hii ya Putin ambaye amezungukwa na Wayahudi katika power circle yake, unategemea amkemee Netanyahu ambaye pia ni swahiba wake?

Kilichopo hapo ni masilahi tu. Mataifa makubwa na yenye nguvu karibu yote tunayoyafahamu duniani yana masilahi na Israel zaidi kuliko Wapalestina katika hili.

Marekani, Uingereza, Urusi, Ufaransa, Ujerumani n.k. zote zinakubaliana kwamba Israel ina haki ya kujilinda, unategemea kitu gani?

Hiyo ndiyo hali halisi!
 
Israel has destroyed the tower block housing Al Jazeera and the Associated Press news agency in Gaza.

They are doing this for one reason - to stop the truth being known about their assault on the Palestinian people. Share this and show the truth!
View attachment 1786517
Tena mchana kweupe kabisa. Nasema hivi Israeli piga hizo hedikwota za media uchwara zote na hakuna mbwa wa ICC atayekufanya kitu ili watu weusi somo liwaingie kuwa hizo mahakama wanayoililiaga si kitu bali kwa ajiri ya tawala flani flani za Africa, Asia, Latini Am na Ulaya Mash.
 
Upumbavu nao ni kipaji. Watanzania kama wewe ni wa kudharau kabisa mnafurahia udhalimu wa kutisha dhidi ya binadamu wengine bila hata kujua kiini cha tatizo husika.
Tena mchana kweupe kabisa. Nasema hivi Israeli piga hizo hedikwota za media uchwara zote na hakuna mbwa wa ICC atayekufanya kitu ili watu weusi somo liwaingie kuwa hizo mahakama wanayoililiaga si kitu bali kwa ajiri ya tawala flani flani za Africa, Asia, Latini Am na Ulaya Mash.
 
Hivi mbona wapalestina wanaporusha maroketi hovyo hovyo kuuawa Wayahudi mnashangilia na kuwasifia kwa hiyo ni haki sana Israel wauawe na Waisraeli walishambulia maeneo ya gaza walipojificha magaidi ya kipalestina israel inaonekana inatenda makosa sana hamuangalii Waisraeli waliuliwa na viroketi vya wapalestina sio makosa acheni unafiki na upendeleo israel wanahaki ya kujilinda

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Israel bila Marekani haina chochote!

Biden…huyo Democrat mpenda amani asiye mbaguzi wa rangi, dini, wala jinsia…yeye kama kiongozi wa taifa kubwa linalolikingia kifua Israel, kwa nini aachie huu unyama wa Israel dhidi ya Wapalestina uendelee?

Leo nimeona kuna kabinti kameokolewa kutoka kwenye jengo lililopigwa mabomu na hao wahalifu wa Israel. Imeniuma sana.
Lakini unajua nini…fcuk Biden!

Hawezi kumfokea huyo Netanyahu na kumwambia akome huo unyama wake?

Wachina na Warusi kwa nini wanaachia huu uhalifu uendelee? Au hawana ubavu kama wanavyodai?

Massive big up kwa Hamas. Ujasiri wao nauheshimu sana.
Leo nimeona kuna myahudi wa miaka 50 ameuawa na roketi iliyorushwa na magaidi ya kipalestina kwanini duniani inaacha kukemea huu unyama unaofanywa na wapalestina kurusha maroketi na kuuawa Waisraeli?

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Tena mchana kweupe kabisa. Nasema hivi Israeli piga hizo hedikwota za media uchwara zote na hakuna mbwa wa ICC atayekufanya kitu ili watu weusi somo liwaingie kuwa hizo mahakama wanayoililiaga si kitu bali kwa ajiri ya tawala flani flani za Africa, Asia, Latini Am na Ulaya Mash.
Eti na wewe ni baba wa familia
 
Ukiondoa udini kwenye hili suala utaamka na kuona uonevu unaofanywa na hawa Israel. Inasikitisha kwa Mu Africa mweusi kuendelea kusapoti ukoloni.
Huu uonevu unaofanywa na magaidi ya kipalestina kurusha maroketi israel na kuuawa Waisraeli na dunia kuangalia makosa ya israel haukubaliki

Back
Top Bottom