Israel irushe hata jiwe hapo Tehran tuone!

Mwanzo alitokea muuaji wa watoto wasio na hatia Fashisti Nduli Benjamin Netanyahu Bibi, akatamba kuwa wanajua kila kinachoendelea ndani ya Iran. Akadai wana uwezo wa kufika mahali popte ndani ya Iran.

Kesho yake wanaume wakanyesha vimondo 180 kule Tel Aviv kwenye kambi za kijeshi. Mpaka sasa akina Netanyahu wanakoroma tu, wapo wanalialia kwa Marekani iwasaidie.

Kama Waisrael wanajua kila kinachoendelea ndani ya Tehran, inakuwaje wanaume wanasogeza vimondo, kuvipiga starter na kuvituma kwa kasi kubwa kuitwanga Tel-Aviv na wao wasiviangamize mapema kabla havijaachiwa?

Iran kasema MaInterahamwe ya Israel yathubutu kuleta fyoko yaje yaone moto utakavyowawakia non-stop. Sasa mimi nangoja Mazayuni yarushe hata jiwe hapo Tehran.

Hii ngoma imeshakuwa ya wakubwa, Wajukuu wa King Cyrus, watu waliopigana na Toman Empire kwa miaka zaidi ya 1000 siyo watu wa kuchezewa na Yahudi mpenda fujo, Yahudi atapigwa!.

Kumbe sikufanya makosa kujiita "Missile of the Nation", Lugha pekee anayoielewa Zayuni ni missile tena hypersonic inayoenda kasi ajabu!

View: https://www.youtube.com/watch?v=RYzBI5DNIk4&ab_channel=OpenmindedThinkerShow

Tunaweka kambi maombolezo yakiwadia tutazidi kuwakera
 
Subiri retaliation itakavyokuwa halafu ujiunge nao kulalamika na kuita kila jina
 
Wairan walimshindwa Saddam Hussein miaka 10 mpaka wakakubali yaishe wataiweza Israel!! Waendelee na ngonjera zao na makombora yanayolenga udongo na hewa.
 
Mwanzo alitokea muuaji wa watoto wasio na hatia Fashisti Nduli Benjamin Netanyahu Bibi, akatamba kuwa wanajua kila kinachoendelea ndani ya Iran. Akadai wana uwezo wa kufika mahali popte ndani ya Iran.

Kesho yake wanaume wakanyesha vimondo 180 kule Tel Aviv kwenye kambi za kijeshi. Mpaka sasa akina Netanyahu wanakoroma tu, wapo wanalialia kwa Marekani iwasaidie.

Kama Waisrael wanajua kila kinachoendelea ndani ya Tehran, inakuwaje wanaume wanasogeza vimondo, kuvipiga starter na kuvituma kwa kasi kubwa kuitwanga Tel-Aviv na wao wasiviangamize mapema kabla havijaachiwa?

Iran kasema MaInterahamwe ya Israel yathubutu kuleta fyoko yaje yaone moto utakavyowawakia non-stop. Sasa mimi nangoja Mazayuni yarushe hata jiwe hapo Tehran.

Hii ngoma imeshakuwa ya wakubwa, Wajukuu wa King Cyrus, watu waliopigana na Toman Empire kwa miaka zaidi ya 1000 siyo watu wa kuchezewa na Yahudi mpenda fujo, Yahudi atapigwa!.

Kumbe sikufanya makosa kujiita "Missile of the Nation", Lugha pekee anayoielewa Zayuni ni missile tena hypersonic inayoenda kasi ajabu!

View: https://www.youtube.com/watch?v=RYzBI5DNIk4&ab_channel=OpenmindedThinkerShow

Nasubiria uzi mpya ambao wavaa suruali za watoto mtajificha na hamtachangia kwa aibu🤣🤣🤣
Nitakuita panapo uzima
 
Hii thread naiweka hapa kama kumbukumbu baadae usije kukimbia haya uliyoaandika . Nakuhakikishia kichwa cha Ayatollah kina katwa pamoja na hao majenerali wake wote na ndio utakuwa mwisho wa utawala wa kidini . Niamini kwenye hili.
Mwambie asisahau kama hata rais wao aliliwa kichwa kiongozi wa hamasi aliliwa kichwa hapo hapo kwao iran kwahiyo swala la muda tu
 
Wale jamaa na marekan hawafai awachelewi kukutumia kimbunga fatuma ama kimbunga masoud

Ukajuta wakati unawaza kusaidia Watu wako na maafa unatumiwa mzigoo wakoo kwenye percelyakoo unakumbhka jhansi ndio yale majibu yameanza
Mleta uzi anategemea Israel itarusha mabarangure kama ya Iran.
Iran atapigwa kws akili kama rais wao alivyotezwa
 
Sasa mimi nangoja Mazayuni yarushe hata jiwe hapo Tehran.
Unazungumzia jiwe wakati wenzako walirusha kitu kisichojulikana kikamulaza mauti kiongozi Hama's ndani ya Iran yenyewe,pamoja na Iran kurusha makombora yote hayo ushahidi unaotolewa wote ni magumashi kwa kuwa hakuna hata ushahidi unaothibitisha mafakio ya mashambulizi ya Iran zaidi ya makombora kufanikiwa kuingia hadi Israel.
 
Mh,acha wenye akili wapambane.ila nahisi Kuna mtu kaingia mtegoni.
Huwezi jiuliza,mzayuni ana mipango gani mpaka Sasa.
Gaza,Lebanoni,Yemeni.
Na Iran ameshafanya matukio kibao tu.
Mh nipo pale.
 
Back
Top Bottom