Nje ya kuongelea mambo ya vita na kuuana una kitu kingine mkuu?Vita kati ya Hamas na Israel ni kioja kikubwa sana. Katika historia ya vita.Misikiti na mahospitali yote yamevunjwa ikisemwa kuna taarifa za uhakika kuwa viongozi wa Hamas na mateka wapo humo lakini wapi ?.
Kila wakipiga na kuuwa watu wanajikuta mikono mitupu,Hakuna Hamas wala mateka.Imebidi wawaombe kwa njia ya mazungumzo.
Kioja kikubwa zaidi itakuja siku ya kukabidhiwa mateka hao. Watagundua walikuwa chini ya miguu yao lakini hawakuweza kuwaona.
mkuu kwani ni lazima utoe hoja kwa kuegemea upande fln? ni kama unaona Hamas wameshinda vita.. ili hali wamefanikiwa kurinda mateka 100+ wakashindwa kulinda zaidi ya raia 1000+Vita kati ya Hamas na Israel ni kioja kikubwa sana. Katika historia ya vita.Misikiti na mahospitali yote yamevunjwa ikisemwa kuna taarifa za uhakika kuwa viongozi wa Hamas na mateka wapo humo lakini wapi ?.
Kila wakipiga na kuuwa watu wanajikuta mikono mitupu,Hakuna Hamas wala mateka.Imebidi wawaombe kwa njia ya mazungumzo.
Kioja kikubwa zaidi itakuja siku ya kukabidhiwa mateka hao. Watagundua walikuwa chini ya miguu yao lakini hawakuweza kuwaona.
Kama hamas wameshinda vita kwanini mnaenda kulalamika kwenye media wapalestina wananyanyasika?Vita kati ya Hamas na Israel ni kioja kikubwa sana. Katika historia ya vita.Misikiti na mahospitali yote yamevunjwa ikisemwa kuna taarifa za uhakika kuwa viongozi wa Hamas na mateka wapo humo lakini wapi ?.
Kila wakipiga na kuuwa watu wanajikuta mikono mitupu,Hakuna Hamas wala mateka.Imebidi wawaombe kwa njia ya mazungumzo.
Kioja kikubwa zaidi itakuja siku ya kukabidhiwa mateka hao. Watagundua walikuwa chini ya miguu yao lakini hawakuweza kuwaona.
jiliwaze tu.. Israel kasema vita haiishi hadi Hamas waishe hata kama wanajificha na raia haisaidii kitu... mateka wachiwe wote or you dead. na no more utawala wa hamas after war... sema Sema wakipigwa hawawapati lakini Hamas wao wanasema Magaidi wao 6000 wamededi na hii muslim ndio wameomba PO na masharti ya Hamas yametupiliwa mbali eti Israel iondoshe Majeshi Gaza wakati ndio yapo tayari for GoodVita kati ya Hamas na Israel ni kioja kikubwa sana. Katika historia ya vita.Misikiti na mahospitali yote yamevunjwa ikisemwa kuna taarifa za uhakika kuwa viongozi wa Hamas na mateka wapo humo lakini wapi ?.
Kila wakipiga na kuuwa watu wanajikuta mikono mitupu,Hakuna Hamas wala mateka.Imebidi wawaombe kwa njia ya mazungumzo.
Kioja kikubwa zaidi itakuja siku ya kukabidhiwa mateka hao. Watagundua walikuwa chini ya miguu yao lakini hawakuweza kuwaona.
Kwani vita ni ya IDF na Hamas au IDF na raia wa Palestina?Kama hamas wameshinda vita kwanini mnaenda kulalamika kwenye media wapalestina wananyanyasika?
Vita kati ya Hamas na Israel ni kioja kikubwa sana katika historia ya vita. Misikiti na hospitali zote zimevunjwa ikisemwa kuna taarifa za uhakika kuwa viongozi wa Hamas na mateka wapo humo lakini wapi!
Kila wakipiga na kuua watu wanajikuta mikono mitupu, hakuna Hamas wala mateka. Imebidi wawaombe kwa njia ya mazungumzo.
Kioja kikubwa zaidi itakuja siku ya kukabidhiwa mateka hao. Watagundua walikuwa chini ya miguu yao lakini hawakuweza kuwaona.
Kama sikosei, Hamas walishasema mateka hao hawako Gaza wamewekwa maeneo tofauti tofauti!Vita kati ya Hamas na Israel ni kioja kikubwa sana katika historia ya vita. Misikiti na hospitali zote zimevunjwa ikisemwa kuna taarifa za uhakika kuwa viongozi wa Hamas na mateka wapo humo lakini wapi!
Kila wakipiga na kuua watu wanajikuta mikono mitupu, hakuna Hamas wala mateka. Imebidi wawaombe kwa njia ya mazungumzo.
Kioja kikubwa zaidi itakuja siku ya kukabidhiwa mateka hao. Watagundua walikuwa chini ya miguu yao lakini hawakuweza kuwaona.
Endeleeni kumpa.Myahudi sababu ya kuwatwangaNi kipimo cha kuonesha kuwa Israel haina uwezo wa kufanya inavyopenda.
Hadithi yako ndio hiyo hiyo kila siku.Kujificha nyuma ya wanawake na watoto.Mkipigwa mnalia lia na kwenda ICJ, Israel ikisitisha basi itafutwe namna nyingine mnajipiga kifua na kuchekelea.
Ifahamike Israel wamekua wanatafuta kila namna ya kuepuka kuua watoto ambao mumejificha nyuma yao, maana dunia itapiga makelele sana.
Nafuu yenu sio Urusi au China, maana wale hupiga carpet bombing bila kujali kiumbe gani au nini. Uwezo ambao Israel wanao pia, tena wana uwezo wa kufagia hiyo Gaza kwa masaa ibaki shamba, ila wanapiga huku wakiwapa chakula cha misaada na mengine....wako makini sana, sema magaidi ya hiyo dini hawana huruma au akili, wanajificha hyuma ya waoto.
Kuna sheria za vita nyingi tu,uwe unafikiri,Vita havipiganwi holela Kama wafantavyo wapwa wa Mungu wakoKama hamas wameshinda vita kwanini mnaenda kulalamika kwenye media wapalestina wananyanyasika?
Kama hamas wanavaa kiraia kipindi cha vita na wanatangaza vifo vya magaidi wao kama vifo vya raia sisi tutajuaje huyu ni raia au ni hamas wajitofautishe wenyewe na raiaKwani vita ni ya IDF na Hamas au IDF na raia wa Palestina?
Kwani hamas walipoivamia israel october 7 walichagua wakuwaua? Au hiyo sheria vita huwa haiwahusu hamas?Kuna sheria za vita nyingi tu,uwe unafikiri,Vita havipiganwi holela Kama wafantavyo wapwa wa Mungu wako
Kwa hiyo watoto na akina mama wa Gaza ni Hamas!?..hicho kichwa au boga lisilo na MBEGU!?..na unadhani wakati sheria za vita zinawekwa hawakujua kwamba waanzisha Vita ni wengine na si wanawake na watoto!?.. Israel kazikubali hizo sheria,anatakiwa kuzifuata,siyo unawakosa Hamas unamdungua bibi na wajukuu zake wanaokimbia makombora yako!!Kwani hamas walipoivamia israel october 7 walichagua wakuwaua? Au hiyo sheria vita huwa haiwahusu hamas?