Ni kweli Israel inapata msaada mkubwa wa kijeshi na kiuchumi toka USA,hili halina ubishi hata kidogo.
Israel ni taifa lililoendea sana katika nyanja za sanyansi na teknolojia.Taifa la Israel linamiliki hadi silaha za nyuklia iweje leo msema bila USA haiwezi kusimama ?.Israel ina viwanda vya vifaa vya kijeshi hivyo kuomba msaada wa makombora toka USA haina maana wanategemea kila kitu bali ni nyongeza ya vifaa ambavyo hawana kabisa.Viwanda vya vifaa vya kijeshi nchini Israel vimefanikiwa kuuza ndege,vifaru,meli za kivita na makombora ya aina mbali mbali huwezi kuamini taifa kubwa kama China na India zimewahi kununua vifaa vya kivita toka Israel.Israel imewahi kupeleka technolojia yake mpaka USA mfano hai ni ndege za kivita aina ya Kfir C 1 ziliazimwa na USA kwaajili ya kutumiwa na US Navy na US Marine Corps kati ya mwaka 1985 hadi mwaka 1989 zikarejeshwa Israel.Sasa hapa utasema USA haina lolote kwakuwa imeazima ndege za kivita toka Israel ?.
Ngoja niwawekee baadhi ya zana za kivita zinazotengenezwa Israel
Anti Ship Missile
[TABLE="class: infobox, width: 315"]
[TR]
[TH="colspan: 2, align: center"]Lavi[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2, align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2, align: center"]Lavi B-2 prototype[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Role[/TH]
[TD]Multirole fighter[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Manufacturer[/TH]
[TD]Israeli Aircraft Industries[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]First flight[/TH]
[TD]31 December 1986[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Status[/TH]
[TD]Cancelled 30 August 1987[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Number built[/TH]
[TD]3 prototypes[SUP][1]
[/SUP][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
anaglia picha ya sinema ya escape from sobibor ndiyo utagundua jinsi watu hawa walivyo na courage. Hitler aliamua kujipiga risasi kichwani badala ya kunywa chai mwenyewe! wewe hawa wayahudi wana akiri sana na wabunifu. unajua vita vya 1967 walitumia njiwa kugundua mahandaki ya waarabu na kuwatwanga kama vile expell iuavyo mbu? unajua waarabu vitani walikuwa anvaa nguo sawa na makuruta ili wasijulikane vyeo vyao wakikamatwa? basi myahudi akiwakama huwa alikuwa anwavua nguo na kuwabakiza na chupi tuu. mwenye chupi ya polyista basi ni afisa wa cheo cha juu na mwenye chupi ya cotton ni kuluta. soma kitabu cha the current worrior- Arriel Sharon. Utasisimka sana . nipe email yako nikutumie!
Kwa mtu asiyejua siasa za mashariki ya kati anaweza kushawishiwa na ulichoandika. Kumbe ni UTUMBO tu. Nani asiyejua kuwa Jeshi la Israel (IDF) ndiyo jeshi makini zaidi na committed kuliko jeshi la taifa lolote duniani including Marekani! Ukisoma historia ya IDF na mambo waliyofanya maeneo mbalimbali duniani utabaki kinywa wazi na kama una akili nzuri utajiuliza kama matendo hayo yalikuwa yanafanywa na binadamu au la. Ipo mifano mingi sana mojawapo ikiwa ni 90 minutes to Entebbe na kulipuliwa kwa ndege za kirusi zikiwa Egypt zikijiandaa kushambulia Israel. Endeleeni kujipa moyo kwamba Israel hakina kitu wakati mataifa yote ya kiarabu pamoja na hasira zao za kujitoa muhanga, wameshonwa mdomo na hawakohoi hata sekunde mbele ya wayahudi.
Kwa hiyo unachosema ni kwamba Israel inaishinda USA kiuchumi, kisayansi, kijeshi, kiushawishi, n.k.?
Wanaendelea kugundua silaha za hali ya juu na kuitumia Marekani kuzizalisha na kuziuza. Unajua wengi wanajua hili?? Wanajua kuwa phosphorous na cluster bombs ni ugunduzi wa Israel? Wanajua kuwa M16 mpya inauwezo wa kufanya street war?? Baada ya ugunduzi wa vita hii, sasa Israel ina uwezo wa kupigana vita vya mitaani kuliko siku za nyuma.
Bongolander,nina wasiwasi na uwezo wako wa kuelewa na pia wa kufikiri, na hili ni janga la kitaifa kuendelea kuruhusu watu wenye mawazo finyu kama wewe kupewa nafasi ya kuandika upuuzi wa namna hii.1 Mtanzania mkristo kujipa jina la kiyahudi kuna tatizo gani?, 2.kuhusu Israel kuwa Taifa teule si Maneno ya Mlokole bali ni maneno katika Biblia takatifu (ningekuelewa iwapo ungeongelea tafsiri ya huyo mlokole unaemsema kuh andiko hili),3. Unasema kuna watu wanaisifu Israel ila wakienda huko wanatukanwa? na nani? na kwa nini na huyo Mtz klaenda Israel kwa ishu gani? lazima uwe specific,bse kama ni ishu ya ubaguzi kwa watu weusi basi Uarabuni na Ujerumani ndo wanaongoza na mataifa ya Ulaya.4 Unaema bible ndo sourse ya Ed kwa Walokole are you sure,unamaana walokole hawana Elimu dunia au?,pia unasema Elimu hiyo ya Biblia hawajali ni ya mwaka gani? kwani nani alikuambia kwamba elimu ya Bible inabadilika kutokana na mwaka?hiyo inanipa mashaka kuh elimu yako,5.Pia unasema wanadhani waziri mkuu wa Israel ni Musa? wewe katika elimu yako ndogo hiyo ya darasa la saba kuna kipindi ulishawahi kufundishwa kwamba katika mawaziri wakuu waliopata kuongoza Israel ni Musa? na waziri wa fedha ni Yuda?...kama hujui jambo jaribu kuomba ushauri kabla hujaliandika au kulisema.
..hakuna vita ninayoitamani kama ya Israel vs Iran.
..hawa lazima watwangane ili tujue mbabe kati yao ni nani.
..yaani kitakachotafutwa hapo ni ushindi tu. hakuna masuala ya "winning the hearts and minds of ..." au ku-invoke geneva conventions etc etc.
..kwa sisi wapenda vita, za mataifa mengine of course, mpambao wa Israel vs Iran, ni sawa na mpambano wa Mayweather vs Paquia kwa wapenzi wa ndondi.
Myahudi anaweza asimfikie USA katika Technology , lakimi Hao Irani hawaiwezi Israel kwa lolote ! mikwara kama ya Sadam kabla ya Vita ya pili ya Ghuba ! nakuhakikishia hakuna mwarabu anaweza kumpiga Myahudi katika uwanja wa vita labda Ugaidi
Link please
Huwezi kuwa na hard evidence kwasababu hii ndiyo secret weapon yao. Pia hawawezi kuinvest sana kwao kwasababu ya kukosa ardhi na stability katika eneo la mashariki ya kati. Ndiyo maana wao huanzisha technology halafu huiuza kwa makampuni ya nje. Hata hivyo links unazozitaka ni hizi...
NN niliwahi kukukumbusha maneno ya John D Rockefeller kuwa "Own nothing, control everything". Na hichi ndicho Jews wanachokifanya. Wao ndiyo waanzilishi wa makampuni makubwa kama Google, facebook, CNN, Hollywood, Wikipedia, many cable providers in the states, Intel, Fox n.k. ambayo wewe NN can't live without. America as a country is got by the balls by the zionist and you can't deny that, just check gives you answers when you google.
Kama umeona vizuri baadhi ya makampuni niliyoyaorodhesha utabaini kuwa yana kitu kimoja ambacho ni uwezo wa kuchunguza na kujua watumiaji wanafanya nini hivyo kuweza kutawala fikra zao.
Halafu hao Jews walioanzisha makampuni makubwa Marekani ni Jews by ethnicity tu. Vingine vyote ni Wamarekani. Kwa mfano, Mark Zuckerberg ni atheist.
Haiondoi ukweli kuwa yeye ni Jew.Hana dini na haamini mungu na he si more American than he is everything else na mafanikio yake kayapatia Marekani na si Haifa wala Tel Aviv. And that is a FACT..
I repeat. America is the land of opportunity and success. Nani anabisha?
Mimi sijakataa kama US ni land of opportunity lakini kwanini hiyo ethity ya jews ifanikiwe sana Marekani kuliko wachina wa San Fransisco au wale wa Taliano wa New york? Heck hata wabongo lol.
Njia walioichagua waarabu no ugaidi ambao nao wanadhibitiwa vizuri sana.Myahudi anaweza asimfikie USA katika Technology , lakimi Hao Irani hawaiwezi Israel kwa lolote ! mikwara kama ya Sadam kabla ya Vita ya pili ya Ghuba ! nakuhakikishia hakuna mwarabu anaweza kumpiga Myahudi katika uwanja wa vita labda Ugaidi
Wakati fulani nilibahatika kutazama program fulani ya CNN ambayo ilikuwa inaonyesha safari za Rais Bush kwenye eneo la Mashariki ya Kati. Walionyesha mojawapo ya safari za hatari ambazo Bush amewahi kufanya akiwa na Airforce One. Msimuliaji alieleza namna vyombo vya ulinzi vya jeshi la anga la Marekani vilivyokuwa vinahangaika masaa 24 kuhakikisha kwamba ndege ya rais inakuwa salama wakati wote. Sasa kilichonishangaza ni kwamba eti fursa pekee ya kupumzika ambayo wanajeshi wa jeshi la anga la Marekani walikuwa wanapata ni wakati ambapo ndege ya rais imekanyaga ardhi ya Israel. Kwa maneno mengine, wamarekani wanauamini sana ulinzi wa Israel.
Wewe lazima utakuwa mlokole.