Ndugu yangu Nyani Ngabu hakuna bingwa ajuaye siasa na uswahiba wa marekani na israel, hawa tuwaache hivyo hivyo usiumize kichwa kutaka kujua kati ya marekani na israel nani zaidi ila unachotakiwa kujua ni kuwa marekani na israel ni kama marafiki waliochanjiana damu na siri au manufaa ya urafiki wao wanajua wenyewe na kamwe hawatagombana, ukienda marekani utaona watu wa jamii ya kiyahudi ndio wenye makampuni makubwa na ndio wameshika njia kuu za uchumi za marekani, na vilevile huwezi kushinda urais marekani kama hujapata support kubwa ya jewish community, jiulize why? Israel huwa wanakiuka resolutions nyingi za UN lakini huwa hawachukuliwi hatua na hata ukisikia mmarekani anakemea israel inakuwa ni mkwara wa kuzuga ulimwengu actually inakuwa not serious, kwa kifupi israel inaipelekesha marekani, jaribu kufananisha boss na bouncer wake nani zaidi! boss harushi ngumi akishambuliwa inakuwa ni kazi ya bouncer kum protect, for that case israel=boss na marekani=bouncer.