Mami NN, USA imeshikwa na Wayahudi wengi sana na hasa unapokuja kwenye masuala ya uchumi kama Viwanda, Mabenki, Hollywood, Media nk.
The world's richest people - How many are jews? - Vanguard News Network Forum
Wanasema, katika wale matajiri 400 wa USA, basi kati ya 100-150 ni Wayahudi. Hii ni hatari sana.
Ndiyo maana hata walipoanza kurudi kutoka Europe na USA ili kuanzisha taifa la Israel, waliweza kupigana na kuwashinda Waarabu kirahisi sana maana walikuwa na silaha nzuri na mpya na jeshi bora (wanajeshi waliokuwa wamepigana vita ya pili ya dunia). Silaha zilitoka UK na USA na kumbuka, Palestine ilikuwa koloni la Uingereza na kama walivyofanya South Africa, uhuru hawakukabidhi na Israel kwa kutumia msaada wa USA, wakajitekea na kujitangaza kuwa wapo huru.
Jinsi Mchina na mataifa mengine yanavyokuja juu, na kuikaribia USA, nafasi ya Israel inazidi kupwaya sana. Si wababe kama walivyokuwa zamani kuwa wao ni Bang Bang tu. Soon Mrusi atakuja juu kijeshi na China kiuchumi. Kama kuna siku Mchina ataweza kuiwekea ngumu (Very soon) basi Israel aanze kuhesabu maumivu maana baba yako akichapwa kibao, wewe mtoto utakuwa umepata baba mpya. Itategemea, Mchina au Mrusi wana faida gani kuwepo kwa Israel.
Sema pia kwamba, Russia kuna Wayahudi wengi matajiri kama huyu Boss wa Chelsea Football Club (Roman Abramovich) na wengine wengi ambao wana nguvu sana Russia. Labda tu nguvu hizo azipunguze Putin na utaifa wake.
Israel amekuwa akimtegema USA na ataendelea kumtegemea kwa silaha za kijeshi na uchumi. Ila kuna wadau wa mambo wanadai kuwa hata Waarabu wengine wanam-support Israel ili awe Super Power hapo jirani kwa lengo la kumtuliza IRAN ambaye ana hasira sana na Waarabu kwa kulegeza sheria za Islaam. Kumbuka kuwa Iran siyo waarabu na ndiyo maana walikuwa wakizipiga sana na Iraq kwa ugomvi wa Waislaam wa Shia vs Sunni.
Marais wengi wanawaogopa sana hawa watu na Israel kama taifa si kwa sababu ya hicho kitaifa. Wanaogopa sana Wayahudi wanaoishi huko USA.
Mami, vipi leo Box limeisha mapema au walikupa tano bora?