Israel inaomba silaha!!

Msishangae bei ya mafuta kufika dola 300 kwa pipa hao VIBOPA watakaopoanzanza twangana....nyie shabikieni upuuzi tu...alilalama chura mabaka mchezo wenu ni mauti kwetu
 
Marekani ina allies hapa duniani. Ally nambari wani wa Marekani ni Uingereza. Sasa kwa huko Mashariki ya Kati ally wao mkubwa ni Israel. This is all strategic.

Hayo ya Marekani kuiabudu Israel ni conspiracy theories tu. Ila ukweli utabaki pale pale kuwa Marekani iko juu na kamwe mtu huwezi ukailinganisha na ka Israel.

Kama Israel iko juu kwa nini Bibi aje kuomba silaha Washington na si Obama aende kuomba silaha Tel Aviv? Why?

Inawezekana huipendi Israeli, siwezi kukulaumu.
Hivi ukitumia akili mwenye nguvu akahangaika kukulinda nani anakuwa mwenye akili zaidi?
Haya ya "conspiracy theories" una maana gani? unatakiwa uwe muwazi zaidi ili labda tuelewane mkuu.....!
Maana mwisho wa yoote............ mmarekani ananguvu sana au mwarabu anaonewa....sahari lao na Mambo yao..sisi pia waafrika ni watu wa maana tu ambao tunaweza kuishi na siku moja wakaja kuiga ustaarabu na maendeleo yetu.
 
Siichukii Israel.

Nakataa upotoshaji wa baadhi ya watu wa kuifanya Israel muweza wa yote ilihali si kweli. Hitler aliwakaanga Wayahudi kama njugu. Wangekuwa waweza wa yote wangekaangwa hivyo?

Israel inaitegemea sana Marekani lakini kuna watu wanataka watuaminishe ni Marekani ndiyo inaitegemea sana Israel.

Halafu usidhani hiyo misaada ya Marekani kwa Israel haina masharti. Marekani still calls the shots on a lot of things.
 
Enyi mbishanao nijibuni mkiweza, mjasiriamali msomi wa darasa la saba, akiwa na mtaji aliouwekeza na kuwaajiri wahandisi 5, hapo kuna mantiki kujisifia akademiki pafomansi?
 
Enyi mbishanao nijibuni mkiweza, mjasiriamali msomi wa darasa la saba, akiwa na mtaji aliouwekeza na kuwaajiri wahandisi 5, hapo kuna mantiki kujisifia akademiki pafomansi?

Sana tu.
 
..hakuna vita ninayoitamani kama ya Israel vs Iran.

..hawa lazima watwangane ili tujue mbabe kati yao ni nani.

..yaani kitakachotafutwa hapo ni ushindi tu. hakuna masuala ya "winning the hearts and minds of ..." au ku-invoke geneva conventions etc etc.

..kwa sisi wapenda vita, za mataifa mengine of course, mpambao wa Israel vs Iran, ni sawa na mpambano wa Mayweather vs Paquia kwa wapenzi wa ndondi.

Tatizo ktk hiyo vita inakuwa siyo fair, maana Iran akipigana anakuwa amepigana na european union, marekani na israel.

Nyani

Israel mchovu na marekani ni mchovu vilevile, maana marekani ili apigane anaungana na nchi kibao na kabla ya apo anakuwa ameshaitia nchi husika vikwazo na kuidhorotesha kiuchumi ndo anaenda kupigana.

Ni sawa baunsa umemnywesha sumu ya panya ikikolea ndo unaenda kumshusha mitama.
 
Hizo skills zao mbona hazikumzuia Hitler kuwakaanga kwenye mavinu ya gesi?

kwani mtu akiwa kwenye himaya yako anaweza furukuta!? Lakini at the end kwani alifanikiwa kuwamaliza!? Hadi leo wayahudi wapo wana survive! Kwanza kabla hatujaenda mbali hebu niambie mmarekani ni yupi haswa!?
 
Kufanikiwa kuwakaanga zaidi ya milioni 5 is quiet an accomplishment! Don't you think?
 
Tatizo ktk hiyo vita inakuwa siyo fair, maana Iran akipigana anakuwa amepigana na european union, marekani na israel.

Nyani

Israel mchovu na marekani ni mchovu vilevile, maana marekani ili apigane anaungana na nchi kibao na kabla ya apo anakuwa ameshaitia nchi husika vikwazo na kuidhorotesha kiuchumi ndo anaenda kupigana.

Ni sawa baunsa umemnywesha sumu ya panya ikikolea ndo unaenda kumshusha mitama.

sasa mpaka unamnywesha huyo baunsa sumu yeye anakuangalia tu!?
 
Kumbe inasemekana hata haikuwa yao? Basi hawana lolote hao!

KAMA HAWANA LOLOTE RUDI DARSANI HALAFU SOMA NANI ALIVUMBUA BOMU LA NUKREAL AMBALO MAREKANI ALIPATIA USHINDI WA VITA VYA 1945? huyo Albeto eistein a; myahudi hivyo marekani inalipa fadhila mpaka kufa!
 
Harafu watu wanachanganya unapotaja wayahudi ni dini na wayahudi kama kabila vile sio wote wayahudi ni waisraeli, na hivyo wayahudi walioko marekani sio wayahudi wa israeli. Ndiyo maana waisraeli wanasema msioe wayahudi wa marekani maana mtapoteza utaifa wenu.

Mie hapa naweza kuwa myahudi wa dini lakini sio muyahudi wa kabila ama muisareli. ni sawa na Wakristu, wengi tuko wakristu nalikini sie sio kabila la kibinadamu la kristu yani YESU yani ya kwamba sie wengi sio uzao wa MARIA na JOSEPH.

Hapa nataka kusema kuwa; theory ya kwamba uchumi (marekani )umeshikwa na wayahudi kama mabank yawezekana ni kweli lakini hawa wayahudi ni wayahudi kwa sababu ya dini na wala sio wayahudi wa kabila ama wayahudi wa israeli.
 
lengo ilikuwa ni kuwamaliza lakini alishindwa! Hebu check ukubwa wa kanchi kenyewe lakini check kanavyotingisha Dunia ya waarabu!

Kanatingisha dunia ya waarabu kwa sababu kanabebwa na Marekani...the world's only real super power. Ukibebwa na Marekani hakuana atakayekuweza. Ona Taiwan inavyoipasua kichwa China...bila Marekani Taiwan ingekuwa chini ya China sasa hivi.
 
KAMA HAWANA LOLOTE RUDI DARSANI HALAFU SOMA NANI ALIVUMBUA BOMU LA NUKREAL AMBALO MAREKANI ALIPATIA USHINDI WA VITA VYA 1945? huyo Albeto eistein a; myahudi hivyo marekani inalipa fadhila mpaka kufa!

Wa kurudi darasani ni wewe, na sio mimi.
 
Siichukii Israel.

Nakataa upotoshaji wa baadhi ya watu wa kuifanya Israel muweza wa yote ilihali si kweli. Hitler aliwakaanga Wayahudi kama njugu. Wangekuwa waweza wa yote wangekaangwa hivyo?

Israel inaitegemea sana Marekani lakini kuna watu wanataka watuaminishe ni Marekani ndiyo inaitegemea sana Israel.

Halafu usidhani hiyo misaada ya Marekani kwa Israel haina masharti. Marekani still calls the shots on a lot of things.

Israeli kuitumia USA kwa maslahi yake nadhani kuna hoja.....ila Kuhusu uweza wa yoote, naona umetia chumvi mzee na Mungu ni Muweza wa nini? Ila ninavyojua kuna watu kwa imani yao wanaamini kuwa wayahudi ni taifa la mungu....limebarikiwa na mungu baraka maalumu na alibarikie taifa hili atabarikiwa, alilaanie taifa hili nae atalaaniwa!...wanaamini hivyo na wanatoa mifano hai jinsi wanaoiapiza nchi hiyo ya wayahudi wanavyopata taabu!! n.k
Ni sawasawa tu na wanaoamini kuwa Saudi arabia ni nchi tukufu, na Makureshi ni kabila bora kabisa kati ya wanadamu!!!!!

Sasa ukianza kuingiliana na imani za watu...naamini na wewe una imani yako tena hizihizi za kurithi (kulazimishwa)toka ng'ambo! utajisikiaje mtu akianza kukataa na kugoma kabisa kuwa unaamini ndicho sicho?
 
Back
Top Bottom