Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,988
- 142,395
- Thread starter
-
- #221
Acha uwongo wewe Natanyahu aliishi Marekani akiwa mdogo ndo maana ana hiyo accent.
sidhani kwanini mnaumia kubishana kuwa israel au marekani.Kwanza israel huwa wanajiita Invinsible nation.Waulize mau staadhi km wanaowaona.Sasa hivi wana missile shield wanazitungua rockets za wapalestina mbaya. Hawa jamaa ni taifa very strategic, hakuna taifa halinunui silaha kwa wengine.US wananunua german, german wananua na kuuza UK, Russia the Same, China ,Japan ano wananunua mbay aingawa nao wanauza mbaya.SIDHANI KM ISRAEL ANA HAJA YA KUNUNUA KWA MAREKANI.YEYE NI KUOMBA NA KUPEWA. Lengo mojawapo la kununua baadhi ya silaha, ni pia kuepusha kutumia stock yako.Kuna mara ni technology na hali ya mazingira husika. SIjawahi sikia China akisign mkataba wa kununua silaha kwa waarabu hata za udalali, ila utasikia mikataba ya kuwauzia na mafuta.Kwa israel wachina wana mikataba ya kiutamaduni, science(ie wachina nao wanataka tech za hawa jamaa), kuuziana silaha(na israel hanunui za china kwa vile vimetengezwa kiupelelezi, wachina wamebaki na nchi zetu na huawei zao wenzetu wameng`oa, kwani wachina wapo kuiba tech za watu ). Pia US na israel breach patents au copyrights za hizo silaha bila sababu kwa vile wanaweza zipata wakihitaji.Pi no need to re invent the wheel. Tayari israel wana missile shield bora kuliko us ktk kukabiliana na rocket pamoja na makombora madogo na ya masafa mafupi. Long Cruise missile Israel hawahitaji umiza kichwa kwani watatumia missile shield harware za kimarekani. Israel wana intelligence system iliyokamilika sana duniani.na siku zinapokwenda wamekuwa tegemeo la nchi nyingi sana duniani hata zile ambazo ni rival wa west.
Sasa wewe Israel inakuhusu nini usuper power au kutokuwa super power?Point yangu ni kwamba, Israel sivyo kama ambavyo baadhi ya watu wanavyodai. Kuna watu wamewahi kudai humu tena bila aibu kuwa Israel ni super power, kuwa jeshi la Israel ndo jeshi lenye nguvu zaidi duniani, na claims nyingine kama hizo zisizo na kichwa wala miguu.
Umeelewa wewe Thinkpad?
Na anaongea Kiingereza cha Kimarekani na ana lafudhi ya Philadelphia.
Hiyo siyo ishu hata mzungu kichaa analafudhi ya kibongo, hii ni kawaida kwa lafudhi kubadilika kulingana na wenyeji kwasababu ni rahisi kuelewana na hata wewe NN nahakika lafudhi yako inafana fanana na watu wa Ikungulyabashashi. lol
@NN
Nimesikia hii kitu iko karibuni kutokea sijui lini ilianza hivi
"Israel itaipiku America muda si mrefu" kwa kufanya sabotage kwenye monetary and media sytem ambazo inazi-control"
Wakisaliua dolla $, makao makuu ya uchumi yatakuwa Jeruslemu, hapo ndio utajua kuwa Jew wanatawalaje..US..
waweza kuiita conspiracy theory lakini ...dalili za power kuhamia Jeruslem ziko wazi...
Sasa wewe Israel inakuhusu nini usuper power au kutokuwa super power?
Mimi hapo nawashangaa sana hivi Israel iliwafanya nini waislam mbona hamtaki kukiweka wazi hicho kitu?
Hahahahaaaaaaa ngoja nicheke kwanza maana hata China inadaiwa ni hivyo hivyo.
That my friend, has conspiracy theory written all over it. But since they say seeing is believing, I'll believe it when I see it.
But as of right now, it's just another addition to the litany of conspiracy theories.
Unafahamu wakati dunia ilipokuwa inatawaliwa na uingereza Pax Britannica- Jew alikuwa rafiki mkubwa wa Englanda na makao makuu legue of nations yalikuwa London...bisha
Na wakati dunia inapotawaliwa na America, Pax American - Jew ni rafiki mkubwa wa America na makao makuu ya UNyako NY..
Trend analysis inaonyesha itafika siku dunia itawaliwe na Pax Israel wakati huo makao makuu ya UN yanatakiwa yamie jeruslem,
Na namna moja ya kufanya hilo ni ku-sabotage uchumi wa US usingi reserve bank..which they own (JEW)
Well, I'll say it again. I'll believe it when I see it.
Ndiyo itakavyokuwa sasa hivi wanawaandalia wimbo a. Israel taifa takatifu baadaye watasema USA imelaaniwa kwa kuua watu..(they will say all lies through media)..
Mazingira ya kuundwa yeruslem super power dhalimu kupita yote (chini ya JEW) yanaundwa...
angalia hizo nyimbo ndio utaelewa wanataka kutupeleka wapi..
Acha uwongo wewe Natanyahu aliishi Marekani akiwa mdogo ndo maana ana hiyo accent.
sidhani kwanini mnaumia kubishana kuwa israel au marekani.Kwanza israel huwa wanajiita Invinsible nation.Waulize mau staadhi km wanaowaona.Sasa hivi wana missile shield wanazitungua rockets za wapalestina mbaya. Hawa jamaa ni taifa very strategic, hakuna taifa halinunui silaha kwa wengine.US wananunua german, german wananua na kuuza UK, Russia the Same, China ,Japan ano wananunua mbay aingawa nao wanauza mbaya.SIDHANI KM ISRAEL ANA HAJA YA KUNUNUA KWA MAREKANI.YEYE NI KUOMBA NA KUPEWA. Lengo mojawapo la kununua baadhi ya silaha, ni pia kuepusha kutumia stock yako.Kuna mara ni technology na hali ya mazingira husika. SIjawahi sikia China akisign mkataba wa kununua silaha kwa waarabu hata za udalali, ila utasikia mikataba ya kuwauzia na mafuta.Kwa israel wachina wana mikataba ya kiutamaduni, science(ie wachina nao wanataka tech za hawa jamaa), kuuziana silaha(na israel hanunui za china kwa vile vimetengezwa kiupelelezi, wachina wamebaki na nchi zetu na huawei zao wenzetu wameng`oa, kwani wachina wapo kuiba tech za watu ). Pia US na israel breach patents au copyrights za hizo silaha bila sababu kwa vile wanaweza zipata wakihitaji.Pi no need to re invent the wheel. Tayari israel wana missile shield bora kuliko us ktk kukabiliana na rocket pamoja na makombora madogo na ya masafa mafupi. Long Cruise missile Israel hawahitaji umiza kichwa kwani watatumia missile shield harware za kimarekani. Israel wana intelligence system iliyokamilika sana duniani.na siku zinapokwenda wamekuwa tegemeo la nchi nyingi sana duniani hata zile ambazo ni rival wa west.
Superpower ina mapana yake.Kuna power nyingi. Ila kukuonyesha ni jinsi gani unaweza angalia uhasilia. Mfano Putin alikuwa waziri mkuu ila alikuwa ndio rais ktk background, uliza wazee wa ndumba, wanavyoweza badili maamuzi ya viongozi wa kiserikali.Israel wanaweza badili kauli ya rais yeyote wa marekani, wanaweza mpeleka Marekani ktk vita vyingi, provided wanaweza jengea hoja, Kutegemea na wewe nataka fikiri vipi, ila huna haja ya kupeteza muda kudai nani superpower .Ni bora ukabaki katika mada. waulize wahidni wenye kwashakoo, wao na tembo wanaowaendesha nani mwenye nguvu?Google wanakuambia information is power, wengine wanasema Gold is power. wengine knowledge is power,JF watakuambia pia freedom of press is power, pengine na information is power. sasa wewe ONGEZEA SUPER tuu kwa kila power.America is Super power but Israel are the controller of that SUPERPOWER.Amerika wenyewe wanajua na kuamini kuwa bila Israel si wao tuu hata Ulaya Itaanguka.Unabisha waulize waarabu km wanaweza uziwa silaha na yeyote duniani bila kwanza wauliza waisrael km wana zaidi ya hizo.....lolKwa hiyo wewe unachosema ni kwamba Israel ni zaidi ya Marekani kwa kila kitu - uchumi, kijeshi, influence, culture, etc.? Na kama hivyo ndivyo unavyosema basi ni sahihi kusema Israel ndiyo super power pekee duniani?
Israel huwezi linganisha na Marekani.
Marekani haina mpinzani. Marekani ni taifa kubwa.
Mkuu Bube naungana na wewe, ukiangalia simple logic ni kuwa Air force one inalindwa popote inapotua, iwe Washington DC, Tel Aviv, Dar au Arusha. Kwa hiyo si suala la kujadili, si kweli kwamba Israel ni most safe place duniani. Rabin alipigwa risasi akiwa analindwa na kidon na Mossad, kuna magaidi wa kiyadi ambao hata serikali ya Israel inapambana nao, Israel pia kuna magereza ambayo wayahudi pia wanafungwa. Kismingi ni sehemu sawa kabisa na sehemu nyingine, jews are humas just like you and me. Kushambulia ndege zikiwa uwanjani kama walivyofanya Israel kwa Misri au Tamil Tigers walivyofanya pale Colombo ni jambo moja, na kutungua ndege ni jambo lingine. M-nazi alichosema ni ushabiki tu, ni point isiyo na maana.
Issue hapa kuna watu wanaoitwa walokole, ambao wanashindwa kutumia simple logic (wanatumia unazi) kuona kuwa Israel ni nchi ndogo ambayo haiwezi kuishi yenyewe na kujilinda bila msaada wa wakubwa, au bila kuheshimiana na wengine. Marekani pamoja na kuwa na jeshi bora zaidi duniani, kila siku inasema nguvu yake ipo kwenye values na ideals, kwa hiyo silaha au jeshi peke yake si kitu. Ndio maana Marekani inawapa wasaudi na wamisri mabilioni ya dola kila mwaka kuhakikisha kuwa wanailinda Israel. Sio kuwa Israel inawapa Marekani hela, au inawapa Saudia na Misri hela. Wanasoma kweye biblia wanadhani kile kilichoandikwa mule ndio reality kuhusu Israel.
Mkuu ukinaimbia nichague sides kati ya Israel na Iran, ntachagua Israel kwa sababu binafsi. Lakini ni kweli Israel inaweza ku deal na Iran? peke yake? ni kweli IDF ni best military in the world? au ni kweli Israel ni super power duniani? ni kweli unaamini kuwa Israel ni taifa teule? Kama Israel ni taifa teule then why the hell mataifa mengine are we doing on earth. Kama Mungu amewateua wao who are we here, wasindikizaji tu? au ni kama mbuzi na kuku? Ina maana hatuna maana kabisa, hata walokole ambao wamejiteua wenyewe pia nao hawana maana. Sidhani kama Mungu anaweza kuwa na maana hiyo. This is very simple logic, it does not need research or college degree.
Point anayo-make Nyani Ngabu ni very simple. Bila US Israel haiwezi kudeal na threat ya Iran, na US is a million times better than Israel, ni simple facts za ku google na kujua ukweli. Tatizo ni kwamba walokole are so myopic, wao source yao ya elimu ni biblia hata hawajui kuwa Biblia iliandikwa miaka 2000 iliyopita, kuna mambo mengi yamebadilika. Bible ilipoandikwa US as a country haikuwepo, na ukiangalia kwenye bible "ramani ya dunia" ya wakati ule na ramani ya dunia tuliyonayo leo unaweza kuona tofauti sana. Ndio kuna wachache wana elimu ya juu sana, lakini hao wachache hawawzi kuwabadilisha mamilioni waliopo. This is the fact which walokole do not want to admit.