Israel ina haki ya Kujilinda

Israel ina haki ya Kujilinda

Chief, ili niwe nimetafuta habari kama utakavyo wewe ni lazima niwe na maoni kama yako? Umejuaje kuwa habari sijazitafuta?.

Ufafanuzi ni kwamba:, habari nimezitafuta na kuzisoma na nikagundua nilichokiandika hapo juu.
Mgogoro wa mashariki ya kati sijaujua kupitia tukio hivi karibuni, bali kitambo. Uzoefu unaonyesha kuwa Hammas kwa kutumia wapelestna ni wajuzi wa kutafuta huruma.
Na katika vita hii wanufaika wakubwa ni viongozi wa Hammas. tayari dunia imeanza kutoa michango ya kuijenga upya Gaza.. Ndio maana kuna wengine wana milki private jet,n pesa za michango hizo, mifuko ikikauka wanaanzisha zogo.
Kaka UK vzur. Kipropaganda hongera.
Kubalini kataenii safari hii ukorofi kaanza Israel kwa kuwalazimisha watu wahame Sheikh aljarah na kwa kuwavamia waumini msikitini
 
Back
Top Bottom