Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,185
- 13,760
Hamas tu inamtoa kamasi alaf anataka akapigane na Iran huyu
Vipi dose iendelee au mmekoma sasa mbaki na kazi ya kusafisha vifusi
Hamas tu inamtoa kamasi alaf anataka akapigane na Iran huyu
Israel isipokuwa makini wataipoteza jerusalimu hivi hiv mpaka sasa hivi kunasehemu za jerusalim zimepandishwa bendera ya palestina
View attachment 1783452
Inaonekana Un m-under estimate Israel kwa kutumia hii vita dhidi ya Hammas. Unashindwa kujua kabisa kuwa kuna Siraha kwenye huu mgogoro Israel hawezi kuzitumia kabisa kutoka na nature ya mtu anayepigana naye,lakini endapo huu mzozo ingelikuwa ni kati ya Israel na Iran basi Siraha hizo Israel Angeliweza kuzitumia. Mfano ni Long Range Ballistic Missile,Nuclear Bunker Burster,Nevid Sayhilein Repricators,etc.Endapo Israel akitumia tu Mabomu ya kuezua ardhi pale Gazza ya NUCLEAR BUNKER BURSTER nakwambia ni masaa sita tu na Hammas haitakuwa na sehemu ya kurushia Makombora.
Kumbuka kwamba,Israel hapigani vita hivi ili kuishinda Hammas Kijeshi,laa hasha,Lengo ni kupoteza fikra za watu wasifuatilie kinachomtokea Netanyahu kupoteza Uwaziri Mkuu kwa kushindwa kuunda Serikali. Mark My Words,Israel hapigani vita hii ili ashinde bali ku-DIVERT TENSION ZA WATU Kuhusu kupingwa kwake chini kwenye uchaguzi uliopita.
Wayahud waliulizwaa walete ushahidi wa kihistoria na kiarceolojia wakakosa kuthibitisha km pale kwao na mpk sasa ktk umoja wa mataifa maeneo ya east Jerusalem yanajulikana km illegal Israel occupation pole yako mfia dini.Jerusalem ni makazi ya Wayahudi,hata ktk Historia inajulikana,Wapalestina wanafanya nini huko?
Mkuu huu mgogoro wa mwaka huu ungeipoteza Israel maana Lebanon,Syria na Jordan walishaandaa jeshi la kuivamua Israel vita ilianza kugeuka ya kidini na aliyataka mapigano yaishe ni misri maana ndie anaivumilia Israel kwa diplomasia za marekani toka 1973.Nadhani sasa hivi unaeleweka Mkuu,itawachukua miezi kadhaa kusafisha kile kifusi cha majengo yanayoshushwa kama Biscuits.
Mfuatilie taarifa za habari muache ufia dini.Israel ndie aliyeanza ukorofi kwa kuwafukuza wapalestina sheikh aljarah na kwa kuwavamia waumini msikiwa aqsa na kuwajeruhi 300 na kuwaua makumi yao bila kosa lolote ndipo hamas akaona inatosha.Waparestna ni mabingwa wa kutafuta huruma, hawatambui kanuni ya vita ni vita iwe umeonewa ama unaonea.
Mtoto kapigwa risali badala ya kumpeleka hospital wao watamzungusha kwenye makamera ili ulimwengu uone vile wanateseka meanwhile wameficha magrunet kwenyr kanzu.
Rocket yao 1 ikitua ndani ya ardhi ya Israel wanashangiria, ila wao risasi 1......
Mbona hao waisrael hawatambui myasemayo?Tuiombee Toba na Rehema za Mungu Israel.....sio rahisi Israel kuguswa au kupigwa,Mungu alisema watakapoenda kinyume na Mungu ndipo watapigwa,kwahiyo ili Mungu aingilie kati inabidi tuanze na toba juu ya taifa Teule la Mungu.
Wasijaribu kufanya huo upumbavu,nakuambia Watakwisha wote wapelestina na kubaki Historia Tu
Mbona hao waisrael hawatambui myasemayo?
Mbona wao wanampinga kristo?
Na km Israel taifa la Mungu na sio rahisi kupigwa mbona Misri aliwapiga na kuwateka wajeda zaid ya 3000 wa Israel mwaka 1973 mpk waziri meir alipoomba suluhu na anwar saddat?
Wakristo mnajidanganya
Na ukweli mchungu ni kwamba Israel watu wamekufa wengi sana zaid ya mia ila wamegomea waandishi wa habari kutoa habari na ndio maana wakalipua jengo la aljazeeraworldYT na the Press ila kiuhalisia Israel imechafuka ndio maana Biden akapeleka jeshi Israel sio Palestina maana hata Lebanon ilirusha rocket 23 Syria ilirusha rocket 5 kuelekea Israel inamaana km Israel asingekubali ceasefire angevamiwa na mataifa matatuKama kawaida,baada ya kundi la wanamgambo wa HAMAS kuichokoza Israel kwa kufanya mashambulizi ya Rockets na Israel kujibu vikali , tayari kama tulivyotarajia mataifa mbalimbali Duniani ikiwemo na Mahakama ya uhalifu wa kivita ya ICC Uholanzi wameanza kupiga kelele Eti Palestina inaonewa.
Lakini hawataki kuwakemea wanamgambo wa HAMAS waache kurusha ma rocket ktk miji ya Israel.
Yaani kwao Israel ikipigwa sawa,ikijilinda ni kosa,wanapiga kelele kwamba watoto wa Palestina wanauawa na mashambulizi ya Israel lakini hawataki kusema ukweli kwamba hata watoto wa Israel wanauawa na mashambulizi ya Rockets za HAMAS.
Yaani hawa watu ni mabingwa wa uchokozi,wakijibiwa wanadai eti wanaonewa.
Iwe iwavyo, Israel ina haki ya Kujilinda,mlitaka ishambuliwe kisha ikae kimya?
Hawajitambui Kaka ilhali Mzyuni ukimuuliza kuhusu Jesus atakwambia thats just a normal f**king nameWanajipendekeza kwa wayahudi ndio zao 🤣🤣
Hamas tu inamtoa kamasi alaf anataka akapigane na Iran huyu
Hawajitambui Kaka ilhali Mzyuni ukimuuliza kuhusu Jesus atakwambia thats just a normal f**king name
Kuna kipindi kinaitwa 101 east kifuatilie kuna siku wanahoji waisrael utacheka ufe aljazeeraworldYT.
Halafu kumbe Israel hawana nguvu kubwa ya silaha km wanavyompaisha.kipindi cha mapigano baraza la masenate Marekani lilikaa kikao na kusema israel asiuziwe silaha km kazi yake ni kuua kinamama na watoto.
Hyo habari ilirushwa mpk CGTN na france24.
It means Marekani akikata mkono israel basi wazayuni watakoma.
Chief, ili niwe nimetafuta habari kama utakavyo wewe ni lazima niwe na maoni kama yako? Umejuaje kuwa habari sijazitafuta?.Mfuatilie taarifa za habari muache ufia dini.Israel ndie aliyeanza ukorofi kwa kuwafukuza wapalestina sheikh aljarah na kwa kuwavamia waumini msikiwa aqsa na kuwajeruhi 300 na kuwaua makumi yao bila kosa lolote ndipo hamas akaona inatosha.
hebu acheni uongo yani dude kama hili liinuke kuelekea israel na satelite za idf zisione? Be serious hebu kasome the samson option policy ndio utaielewa vema israelBREAKING: HAMAS LAUNCHES BALLISTIC MISSILES AT ISRAEL
Taari wameanza kutumia ballistic missile medium range View attachment 1783515
Why that land should be israeli's and not Palestinian's.Palestine doesn't have a soil of its own,it occupied the illegal soil of Israel,now, Israel wants its soil back, Palestine grumbles internationally that they're being bullied and oppressed.