Israel ina haki ya Kujilinda

Israel ina haki ya Kujilinda

My Son drink water

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
4,930
Reaction score
13,335
Kama kawaida,baada ya kundi la wanamgambo wa HAMAS kuichokoza Israel kwa kufanya mashambulizi ya Rockets na Israel kujibu vikali, tayari kama tulivyotarajia mataifa mbalimbali Duniani ikiwemo na Mahakama ya uhalifu wa kivita ya ICC Uholanzi wameanza kupiga kelele Eti Palestina inaonewa.

Lakini hawataki kuwakemea wanamgambo wa HAMAS waache kurusha ma rocket katika miji ya Israel.

Yaani kwao Israel ikipigwa sawa,ikijilinda ni kosa,wanapiga kelele kwamba watoto wa Palestina wanauawa na mashambulizi ya Israel lakini hawataki kusema ukweli kwamba hata watoto wa Israel wanauawa na mashambulizi ya Rockets za HAMAS.

Yaani hawa watu ni mabingwa wa uchokozi,wakijibiwa wanadai eti wanaonewa.

Iwe iwavyo, Israel ina haki ya Kujilinda,mlitaka ishambuliwe kisha ikae kimya?
 
Wapalestina ni mabingwa wa kutafuta huruma, hawatambui kanuni ya vita ni vita iwe umeonewa ama unaonea.

Mtoto kapigwa risali badala ya kumpeleka hospital wao watamzungusha kwenye makamera ili ulimwengu uone vile wanateseka meanwhile wameficha magrunet kwenye kanzu.

Rocket yao 1 ikitua ndani ya ardhi ya Israel wanashangiria, ila wao risasi 1......
 
Waparestna ni mabingwa wa kutafuta huruma, hawatambui kanuni ya vita ni vita iwe umeonewa ama unaonea.

Mtoto kapigwa risali badala ya kumpeleka hospital wao watamzungusha kwenye makamera ili ulimwengu uone vile wanateseka meanwhile wameficha magrunet kwenyr kanzu.

Rocket yao 1 ikitua ndani ya ardhi ya Israel wanashangiria, ila wao risasi 1......
Umeandika kama mtoto
 
Na wapelistina nao wanaendelea kurusha makombora yao.

Kwny betting hapo mkeka umechanika.
 
Umeandika kama mtoto
Sawa.. Waambie jamaa waache uchokozi...
JamiiForums-1652248069.jpg
View attachment 1783362View attachment 1783363
 
Kama kawaida,baada ya kundi la wanamgambo wa HAMAS kuichokoza Israel kwa kufanya mashambulizi ya Rockets na Israel kujibu vikali , tayari kama tulivyotarajia mataifa mbalimbali Duniani ikiwemo na Mahakama ya uhalifu wa kivita ya ICC Uholanzi wameanza kupiga kelele Eti Palestina inaonewa.

Lakini hawataki kuwakemea wanamgambo wa HAMAS waache kurusha ma rocket ktk miji ya Israel.

Yaani kwao Israel ikipigwa sawa,ikijilinda ni kosa,wanapiga kelele kwamba watoto wa Palestina wanauawa na mashambulizi ya Israel lakini hawataki kusema ukweli kwamba hata watoto wa Israel wanauawa na mashambulizi ya Rockets za HAMAS.

Yaani hawa watu ni mabingwa wa uchokozi,wakijibiwa wanadai eti wanaonewa.

Iwe iwavyo, Israel ina haki ya Kujilinda,mlitaka ishambuliwe kisha ikae kimya?
Does #Palestine[emoji1193] not have a right to defend itself despite:

-Gaza being under a blockade

-Expansion of illegal settlements+annexation of Palestinian land

-historical ethnic cleansing

-systematic apartheid according to human rights organisations

-IDF military occupation?
 
[emoji599] Al Qassam brigades announces using locally produced "Shehab" suicide drone against an Israeli offshore gas platform and several military targets
 
[emoji599] Al Qassam brigades announces using locally produced "Shehab" suicide drone against an Israeli offshore gas platform and several military targets
Wasijaribu kufanya huo upumbavu,nakuambia Watakwisha wote wapelestina na kubaki Historia Tu
 
Does #Palestine[emoji1193] not have a right to defend itself despite:

-Gaza being under a blockade

-Expansion of illegal settlements+annexation of Palestinian land

-historical ethnic cleansing

-systematic apartheid according to human rights organisations

-IDF military occupation?
Palestine doesn't have a soil of its own,it occupied the illegal soil of Israel,now, Israel wants its soil back, Palestine grumbles internationally that they're being bullied and oppressed.
 
Poleni ila mmeyataka wenyewe
FB_IMG_1620845784530.jpg
 
Attachments

  • FB_IMG_1620849085175.jpg
    FB_IMG_1620849085175.jpg
    18.3 KB · Views: 11
  • FB_IMG_1620807245439.jpg
    FB_IMG_1620807245439.jpg
    17.2 KB · Views: 13
Hiv nani yupo nyuma ya hamas mbona mashambulizi ya rocket ya mwaka huu yanafakikiwa kuliko miaka iliopita? Bomba la kusafisha mafuta limeharibiwa, bomba la gesi pia limeharibiwa uwanja wa ndege wa ben gurio nao umeharibia kuna watu wapo nyuma ya hamas sio siri
 
Isije kugeuka ile vita ya Yemen na Saudi, sasaivi wameanza kutumia drone ambazo ni home made kuna kituo cha gesi kimepigwa
 
Hiv nani yupo nyuma ya hamas mbona mashambulizi ya rocket ya mwaka huu yanafakikiwa kuliko miaka iliopita? Bomba la kusafisha mafuta limeharibiwa, bomba la gesi pia limeharibiwa uwanja wa ndege wa ben gurio nao umeharibia kuna watu wapo nyuma ya hamas sio siri
Hamas tu inamtoa kamasi alaf anataka akapigane na Iran huyu
 
Back
Top Bottom