Israel imekuwa jeuri hatariUnanunua kiwanja halafu unamaliza kujenga unaanza kukutana na vimbwanga vya najirani kuhama huwezi unaishi maisha ya taabu milele hata kuku akienda kwa jirani ni kesi
Hata kama ni kumuogopa,si wamtikise siku moja ili wajue waarabu nao hawapendi ujingaHao waarabu wanamwogopa mmarekani ambae yupo nyuma ya Israel
Walishajaribu wakashindwa. Walishapata hasara vya kutosha kwa kujaribu kupambana na Israel, huko nyuma, huenda ndio sababu wanasita kuingia kichwa kichwa kwenye vita ambavyo wanajua hawawezi kushinda.Hata kama ni kumuogopa,si wamtikise siku moja ili wajue waarabu nao hawapendi ujinga
Sema walishajaribu na walishindwa vibaya, wengine kutokana na walichokutana nacho, walisaini mikataba ya kutopigana tena na Israel.We hujui Israel viongozi wa kiarabu ni vibaraka wa US wao ndio wanailinda Israel.
Siku viongozi wa kiarabu akitokea kama Sadam watamvamia kama alivyo vamiwa Iraq.
Mipaka ya Israel inalindwa na vibaraka wa US viongozi wa kiarabu.
Wamwulize Syria, mpaka sasa milima ya Golan ilibebwa tangu walivyojaribu kukabiliana na Israel. Misri nusura mlima Sinai uchukuliwe pamoja na mfereji wa Suez. Kuepuka hilo ilibidi misri iingie makubaliano na israel kule camp David ili mambo yatulie. Ndugu zao Jordan ndo hata hawasikiki tena!Walishajaribu wakashindwa. Walishapata hasara vya kutosha kwa kujaribu kupambana na Israel, huko nyuma, huenda ndio sababu wanasita kuingia kichwa kichwa kwenye vita ambavyo wanajua hawawezi kushinda.