Mimi huwa ni mhanga wa swali hili,Wayahudi wamezungukwa pande zote na jamii ya kiarabu,lakini huwa nashangaa namna wanavyo wananyanyasa warabu wenzao (Wapalestina)lakini nchi za kiarabu kimya
Hivi warabu wanawawaogopa waisrael kias gani?
Miaka na miaka wapalestina wananyanyaswa na Israel lakini waarabu hawachukui hatua
Nikasoma sehemu huenda vita Juni 1968 ndo iliwafanya kuogopa mpaka leo
Je ni kweli? Ni kweli nchi za kiarabu zaidi ya 20 wameshindwa kupambana na Israel?