Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 16,818
- 62,027
Bila shaka sasa siyo siri, Israel imeonyesha kwa vitendo na maneno kuwa Inataka ile kitu inayoitwa "Greater Israel".
Hilo lilithibitishwa na Bwana Benjamin Netanyahu wakati akihojiwa na mbunge wa zamani ktk bunge la Israel bwana Gal. Netanyahu aliulizwa kama anaamini katika Greater Israel akasema kuwa anaamini ktk hilo kwa nguvu zote.
Greater Israel inasemwa kuwa ni nchi ya ahadi ambayo Mungu alimuahidi Ibrahim na uzao wake, na mipaka yake ni kuanzia mto Nile wa Misri hadi mto Euphrates wa Iraq. Miongoni mwa maeneo ya leo yanayoangukia ktk ardhi hiyo ni Lebanon, sehemu kubwa ya Syria, Saudi Arabia na hata baadhi ya maeneo ya Iraq.
Sasa sisi Tanzania na East Afrika tutaathirika vipi?. Bika shaka Myahudi hawezi kumiliki.mto Nile halafu akatuachia uhuru wa kucontrol ziwa victoria.
Halafu andiko linasema kuwa nchi ya ahadi inaanzia mto wa Egypt, hata hivyo mto wa Egypt tunajua una vyanzo viwili, yaani Ethiopia na Ziwa victoria. Je hii haiwezi kuja kuwa excuse ya kudai eneo lote kuanzia ziwa victoria na ethiopia kuelekea east?.
Yetu macho.