Israel has not 'already decided' to strike Iran

Israel has not 'already decided' to strike Iran

Tatizo linalowasitisha Israel ni kutumia anga la Iraki pamoja na ukweli kwamba kuna proxy war ya Iran wakimtumia Nasralah wa Hizbolah hapo Lebanon na huyo jamaa ni mbaya sana!
 
Mzee Richard, shukrani kwa assessment yako kuhusu huu mgogoro, lakini nadhani ka-research ka kina kangesherehesha mambo. Binafsi nadhani kwamba Israel hawana uwezo wa kuishambulia Iran peke yao bila kupata okey na msaada wa U.S.A, kwani endapo mambo yataenda kombo, basi ajue kwamba atapata support.
Pili, U.S.A inayotoa dola Bilion 3 kila mwaka kwa ajili ya ulinzi wa Israel ndio kwanza wanajitahidi kuondoka Iraq, hivyo basi haingii akilini kwenda kuanzisha bala lingine na nchi ambayo ni mara mbili ya ukubwa wa Iraq,na population pia mara mbili ya Iraq kabla hata nusu ya wanajeshi wake hawajaondoka Iraq.
Hapa hatujaenda kwenye suala uchumi wa U.S.A ambao ndio kwanza unaanza kutoka ICU na hivyo basi, kuingia kwenye mgogoro mwingine, tena mkubwa zaidi ya ule wa Iraq ni suala ambalo sidhani kama linawezekana. Kwa kifupi ni kwamba hili suala la Israel kuishambulia Iran bado ni la kufikirika.

Mkuu, shukran pia kwa kuelewa hoja yangu.

Inaeleweka wazi kwamba Israeli kwa sasa wanaongiza kwa kutengeneza silaha za kisasa na nyingi wanawauzia wamarekani na nchi zingine za Ulaya.

Ndio maana nikasema hapo juu kwenye mabano (kwa kusaidiana na USA) nikimaanisha Israeli haiwezi kufanya jambo lolote lile kubwa linalohusisha vita katika eneo la mashariki ya kati bila kuwashirikisha USA.

Jambo moja la kuzingatia hapa ni kwamba nchi zote zinatengeneza silaha na kuna ushindani mkubwa kwenye eneo hilo na lile la kugombea mali asili, kwahio suala la "double standards" linaonekana wazi.
 
It is interesting to note that the world countries supporting Iran and its nuclear program are countries with a history of denying basic human rights, religious persecution, subjugation of women, and a flat refusal to work constructively with the rest of the International community.

Last edited by a moderator:
Habari nilizopata sasa hivi kuna milipuko ya mabomu ya masafa marefu SHIHAB 3 na mkuu Wa kikosi hicho kauwawa pamoja na askari wengine 19 makombora mengi yameteketea yote yenye uwezo wa kufika Israel wengi wanahisi kuna mkono Wa Israel
source:Israel today
 
Mleta maada kuwa makini irani hivi imemuchokoza nani mpaka sasa. hivi hatuwezi kuwa na taifa lenye maamuzi kama usa ili nalo lionekana kila lifanyalo ni haki?

Rekodi ziko wazi:
Iran haijawahi kuivamia nchi yoyote ile.
Marekani imevamia nchi zingine zaidi ya mara 50.
Israel nayo imevamia majirani zake mara nyingi sana tu.
 
[h=2]Western intelligence source tells Time Magazine that he believes the Mossad was responsible for deadly blast near Tehran which killed key figure in Iran's missile program[/h]
Israel stands behind the recent explosion at an Iran missile base, a Western intelligence source told Time Magazine on Sunday.
"Don't believe the Iranians that it was an accident," the Western official told Time, insisting that widespread assumptions that Israel's Mossad was responsible for Saturday's blast, which killed 17 and wounded 15, were correct.

The official also said that more plans to sabotage Iran's nuclear program exist, telling Time, "There are more bullets in the magazine."
The massive explosion at the military arms depot near Tehran killed a Revolutionary Guard commander who was a key figure in Iran's missile program.
Gen. Hasan Moghaddam was killed together with 16 other Guard members Saturday at a military site outside Bidganeh village, 40 kilometers southwest of Tehran. The Guard said the accidental explosion occurred while military personnel were transporting munitions.

Western official: Israel is behind recent Iran explosion - Haaretz Daily Newspaper | Israel News

Hakuna kitu hapo... Westerns wanacho fanya kwasasa ni kujaribu kuongeza tension between this two countries. Na hii ni indirect strengthening of military power of IRAN.
1. As Iran become powerful enough, ISRAEL IS TO ATTACH PALESTINE(this will occur when PALESTINE become a complete state).
2. Since Iran has great military power,it will simultaneously start helping their brothers there in PALESTINE.
THERE AFTER,..... WHAT ARE YOU expecting???. WORLD WAR 3.
Ki ujumla hakuna vita yoyote inayoweza kutokea kwasasa mpaka pale PALESTINE atakapo kua TAIFA HURU.
PLANNED.
 
Hakuna kitu hapo... Westerns wanacho fanya kwasasa ni kujaribu kuongeza tension between this two countries. Na hii ni indirect strengthening of military power of IRAN.

wewe unaishi dunia gani??? Soma habari ghala la silaha makombola yenye uwezo kufika Israel (Shihab-3)liliripuka na kuua watu 19 akiwemo mkuu mkuu wa kikosi hicho.
Fuatilia habari kwenye vyombo vya habari mbali-mbali.
 
Zionists are all the illness of this world - from poverty in Africa , Support for bruttal apatheid regimes, suppresiing Palestinians and igniting conflicts and wars - the sooner they are stopped the world peace will extend on surface of earth.
 
am afraid that is true
 
Kwa mtazamo wako huu yawezekana hata umaskini wetu unaotokana ( EPA, RICHMOND DOWANS , NDEGE YA RAIS, RADA , mikataba ya madini etc) utatuambia unatokana na Zionists SI wadanganyika wenye tamaa zao.
 
Hakuna kitu hapo... Westerns wanacho fanya kwasasa ni kujaribu kuongeza tension between this two countries. Na hii ni indirect strengthening of military power of IRAN.
1. As Iran become powerful enough, ISRAEL IS TO ATTACH PALESTINE(this will occur when PALESTINE become a complete state).
2. Since Iran has great military power,it will simultaneously start helping their brothers there in PALESTINE.
THERE AFTER,..... WHAT ARE YOU expecting???. WORLD WAR 3.
Ki ujumla hakuna vita yoyote inayoweza kutokea kwasasa mpaka pale PALESTINE atakapo kua TAIFA HURU.
PLANNED.

My take,
Israel is a military superpower on the earth's surface and would remain a superpower regardless advancement in military capability for any arab country.For a couple of decades, the world had witnessed and is using military equipments and other electronic appliances which discovered by jewishes. Let alone the current discoveries done by chinese which is challenging the israel intellectuals.

Look at the technology which Iran is proud of, that technology is inferior to that of Jewish, because has just assimilated in Iran from the same jewish state, if that is the case what do you expect? this tells us that the jewish has more advanced wepoans compare to their enemy. Our eyes are kept open, our ears are widely open, we will see by our naked eyes who will prevail in case the war is errupted between the two rivals.
 
Zionists are all the illness of this world - from poverty in Africa , Support for bruttal apatheid regimes, suppresiing Palestinians and igniting conflicts and wars - the sooner they are stopped the world peace will extend on surface of earth.

this is not true, but it is right to think anything you can.
 
Zionists are all the illness of this world - from poverty in Africa , Support for bruttal apatheid regimes, suppresiing Palestinians and igniting conflicts and wars - the sooner they are stopped the world peace will extend on surface of earth.
Watu wengine wakishakaririshwa ndo inakuwa wimbo kwao bila hata kufikiri wanarusha maneno ambayo hawawezi kuyafafanua kwa wengine mfano kuna umaskini na vita na vimeleta uharibifu mkubwa huko Somalia Israel huko inahusika???Kivipi?????naomba unifafanulie hapo
 
Zionists are all the illness of this world - from poverty in Africa , Support for bruttal apatheid regimes, suppresiing Palestinians and igniting conflicts and wars - the sooner they are stopped the world peace will extend on surface of earth.
umaskini ujinga na maradhi sio maadui pekee wa taifa hili!
 
So sad huh? I guess they need to be more responsible with their toys....and you think nukes will be good in this countries hands? LOL
 
Hundreds of students on Tuesday formed a human chain around the uranium conversion plant in central Iran, in a demonstration staged by students to show that Iranians were ready to sacrifice their lives if the nuclear sites were attacked by Israel.

Source: Israel News - Haaretz Israeli News source.

This is just the beginning. Watch out I-Ran!!!

My take:
Is the constant chanting of "death, death, death" an Islamic cultural norm? ....How would the muslim world react if the west would gather in the streets chanting "death to all Muslims"
 
[TABLE="class: features, width: 474"]
[TR]
[TD]
4223933216.jpg
[/TD]
[TD="class: text"]Iranian supreme leader Ayatollah Ali Khamenei, center, standing over the coffins of members of Revolutionary Guards who were killed during a blast at a military base.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: text"]Photo by: Reuters[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Irani tayari iko vitani na imeshaaza kushambuliwa kiuchumi na kiteknolojia.

Nimesoma artcile moja ndege zao hazina spare parts na Hata haziwezi kuepewa mafuta viwanja kadhaa so imebiid wawape tenda qatar airways . Vita ya panzi furaha ya kunguru. Hiyo ndiyo ntolee taratibu economically anapote

Na siku huyo mrusi akiamua kuwa double agent kama alivyofanya wa gadaffi ndiyo itakuwa mwisho.
Alfu isije ikawa hata hivyo vinu vya nyuklia ni bomu. Yale ya japan yanaweza kuwa ni jang kubwa zaidi iran.

The real threat for iran does not come from israel. ila iran atatumia kushambuliwa israel kama bargain.
 
Back
Top Bottom