Israel has not 'already decided' to strike Iran

kwa mujibu wa jarida moja marekani silikumbuki vizuri pia other media from Iran ni kuwa Iran ndio nchi yenye waisrael wengi arabuni wapo 24,000 lakini cha kushangaza haina ugomvi nao tena wana ma hekalu yao ya kusali. ..wakati huo huo yenyewe ndo imekuwa ikitaka kuifuta israel kwenye uso wa dunia kwanini isianze na wale waliopo nchini mwake kama anaubavu,..!

Nadhani kunatofauti hapa, Ukweli nikuwa wao wanaamini hakuna Taifa la Israel na sio kuwa wanaugomvi na Waisrael kama watu, Hii ni sawa na Wakurdish waamue/waamuliwe kama ilivyofanya kwa wasisraelk wachukue lets Ardhi TANZANIA na kwenda kuanzisha taifa la WAKURDISH, na waanze kuamia TANZANIA na kutangaza taifa lao. wakati wakurd wapo , turky, iraq, lebanon na sehemu nyingine.

By the way inasemekama kwamba kabla ya kuanzishwa Israel huko Palestine, kulikuwa na wazo la kuianzisha East Africa?
Hivi wangemega kipande cha Tanzania kuanzisha Israel hali ingekuwaje?
 
By the way inasemekama kwamba kabla ya kuanzishwa Israel huko Palestine, kulikuwa na wazo la kuianzisha East Africa?
Hivi wangemega kipande cha Tanzania kuanzisha Israel hali ingekuwaje?
Ingekuwa poa tu. Jew, Marytina na wale wanaoona waisraeli kama wateule wa mungu tungefurahi sana.
Na sisi miafrika ya upande huu tungepata genes za kiyahudi kama alivyodokeza marytina.
 
kwa mujibu wa jarida moja marekani silikumbuki vizuri pia other media from Iran ni kuwa Iran ndio nchi yenye waisrael wengi arabuni wapo 24,000 lakini cha kushangaza haina ugomvi nao tena wana ma hekalu yao ya kusali. ..wakati huo huo yenyewe ndo imekuwa ikitaka kuifuta israel kwenye uso wa dunia kwanini isianze na wale waliopo nchini mwake kama anaubavu,..!
Hawa 24000 unaowasema sio waisrael, ni wairan wayahadi. Kuna tofauti kubwa kati ya kuwa muyahudi na kuwa muisrael, kwa hiyo hawa jamaa ni wairan kama ambavyo usingewaita wamarekani weusi waafrika kwa sababu tu ya uweusi wao. Tatizo la Iran na Israel sio racial, ni national... wairan hawaamini kwamba Israel ni taifa, wanaamini ni kiotesho cha ukoloni wa marekani na uingereza mashariki ya kati. Kama inavyojulikana kabla ya mwaka 1948 hapakuwa na taifa linatitwa israel, limeanzisha kwa resolution ya UN 1948. Kwa hiyo Israel ilitengenezwa NYC ikabandikwa kwenye ardhi ya Palestine iliyokuwa koloni la Uingereza. Kama mnavyojua wakoloni wa kiingereza walijaribu hata Afrika kule Zimbabwe kubandika wajukuu zao wakina Ian Smith ambao baadaye tukawang'oa kwa msaada wa marafiki kama Cuba na baadaye Marekani baada ya supporters wao SA kuanza mipango ya nyuklia na bwana mkubwa kuwageuka.

Kwa hiyo kimsingi ugomvi uliopo kati ya Irani na Israeli upo katika hoja kwamba Israeli siyo taifa. Taifa ni Palestine, yenye waarabu na wayahudi (kama ilivyo Irani), yenye wakristu, waislamu, judaism nk. Kusema Israel isiwepo si sawa na kusema wayahudi wasiwepo, wanachodai hawa watu ni kuwa na taifa moja la Palestine kama zamani itakayokuwa na waarabu na wayahudi na kwamba wote kama wana wa Mungu wana haki sawa juu ya ardhi waliopewa na Mungu.

GZ
 
Mzee Richard, shukrani kwa assessment yako kuhusu huu mgogoro, lakini nadhani ka-research ka kina kangesherehesha mambo. Binafsi nadhani kwamba Israel hawana uwezo wa kuishambulia Iran peke yao bila kupata okey na msaada wa U.S.A, kwani endapo mambo yataenda kombo, basi ajue kwamba atapata support.
Pili, U.S.A inayotoa dola Bilion 3 kila mwaka kwa ajili ya ulinzi wa Israel ndio kwanza wanajitahidi kuondoka Iraq, hivyo basi haingii akilini kwenda kuanzisha bala lingine na nchi ambayo ni mara mbili ya ukubwa wa Iraq,na population pia mara mbili ya Iraq kabla hata nusu ya wanajeshi wake hawajaondoka Iraq.
Hapa hatujaenda kwenye suala uchumi wa U.S.A ambao ndio kwanza unaanza kutoka ICU na hivyo basi, kuingia kwenye mgogoro mwingine, tena mkubwa zaidi ya ule wa Iraq ni suala ambalo sidhani kama linawezekana. Kwa kifupi ni kwamba hili suala la Israel kuishambulia Iran bado ni la kufikirika.

Nakubaliana na hojazako nyingi sana. Kwanza, USA wako katika mgogoro mkubwa wa kiuchumi, si rahisi kwa wao ku-spend pesa kwenye vita mpya kwa sasa, wanasiasa wa Marekani hawawezi kukubali sual hili kirahisi rahisi, kwa sababu wanajua impact zake kutokana na vita zinazoendelea Afghanistan na Iraq. Wamepoteza wanajeshi wengi na pesa nyingi kiasi cha kuzua malalamiko mwa walipa kodi wao.
Pili, Urusi na China wana maslahi yao ya kibiashara pale Iran, si rahisi kuiacha Iran ishambuliwe na wao watumbue macho tu bila kutia pua yao pale. Hii ni mojawapo ya Warnings ambazo Israel imekuwa ikipewa na wanayoitakia mema, kwamba wakiigusa Iran wamegusa stronghold za Urusi na China, hivyo, mtot wake ni mkubwa! Urusi wanafanya kila jitihada kuipatia Iran teknolojia za kisasa za kila namna. Kama Wayahudi wamewashindwa Hezbollah wa Lebanon na kiongozi wao Hassan Nasrallah, sidhani kama wataiweza Iran. Soma habari za vita ya Hezbollah na Wayahudi katika habari hii ya BBC.
Mie nashangaa watu wanavyoshobokea hawa wayahudi, kule Israel wakristo wana nyanyaswa sana na hutozwa kodi kubwa hata wakijenga nyumba za ibada (makanisa)..SOURCE: CHRISTIAN CHURCHES OF COMPLAINTS AGAINST ISRAELI NEW TAXES | AZG Daily

Angalieni hapa muone vile wakristo wanavyobaguliwa huko Israel:
Christians Discriminated Against by Israel

Mr. Toyo, usishangae sana kwa sababu dunia hii ni ya double standards, silaha amiliki Mzayuni (Myahudi) na si Mu-iran, kwa nini. Israeli wanamiliki silaha za maangamizi, kwa nini wao hawataki wenzao wazimiliki?
 
336866666.jpg


Ukiwa na hizi nyingi lazima utafute sababu na pahala pa kuzitumia.Hata mkeo pia ukipenda kumnunulia kila toleo la kitenge ujuwe utagombana naye ukimzuia kutoka kwenda harusini.
 
US believes Israel may soon attack Iran
Monday, November 07, 2011 | Ryan Jones
Print Version
Share |

A senior American military official on Friday told CNN that the Obama Administration is "absolutely concerned" that Israel may soon strike Iran's nuclear facilities.
The official insisted that the US itself has no intention of attacking Iran (though other reports suggest otherwise), and said there is no guarantee Israel will notify Washington before launching its own military operation.
Next week, the International Atomic Energy Agency (IAEA) is scheduled to publish a report that all but confirms Iran is building nuclear bombs. Many believe that report will mark the dreaded "point of no return" obligating Israel to use military intervention against the Iranian nuclear program, as did it against Iraq in 1981 and Syria in 2007.
In an interview with Israel's Channel 2 News on Friday, Israeli President Shimon Peres strongly hinted that Israel is closer than ever to striking Iran, and that the time for diplomatic efforts is nearly over.
"It seems Iran is moving closer to having a nuclear weapon," Peres said. "In the time that remains, we need to turn to the nations of the world and tell them that the time has come to fulfill their promise and their responsibility, which is about more than imposing sanctions. We must do what should be done to stop Iran."
Many Israeli officials are irritated that the discussion over whether or not to attack Iran has entered the public domain. But the obvious preparations for such an eventuality has all Israelis a little on edge.
 
bora iwe hivy maana hako kajamaa kanajifanya kidume kweli, kimembimbishia hadi "kiongozi wa kidini wa Taifa lake
 
Russia: Israeli threat of strikes on Iran 'a mistake'

Military action against Iran would be a "very serious mistake fraught with unpredictable consequences", Russia's foreign minister has warned.
Sergei Lavrov said diplomacy, not missile strikes, was the only way to solve the Iranian nuclear problem.

His comments come after Israeli President Shimon Peres said an attack on Iran was becoming more likely.

BBC News - Russia: Israeli threat of strikes on Iran 'a mistake'
 
... AND of course it shouldn't do the striking!!!

War between Israel and Iran is not so simple, There alot of land in between the 2 nations but a 2 stage rocket might be use, But here the problem never been tested .and could hit Saudi oil Fields or Kuwait oil fields, ..Only way an attack can be done is with the Arab nations okay
 
Ingekuwa poa tu. Jew, Marytina na wale wanaoona waisraeli kama wateule wa mungu tungefurahi sana.
Na sisi miafrika ya upande huu tungepata genes za kiyahudi kama alivyodokeza marytina.

It is inevitable that this will happen... When it does, this will be the WW3... Trust me this will not be good for anyone anywhere...
 
It is inevitable that this will happen... When it does, this will be the WW3... Trust me this will not be good for anyone anywhere...
It will be good for you and all jews. lol
NWO is being implemented with some success but..........people are realising that they have been lied by their gvts.
 
It will be good for you and all jews. lol
NWO is being implemented with some success but..........people are realising that they have been lied by their gvts.

Let's suspose this isn't a bluff......now why hasn't the UN called an emergency session to head off potential for the next world war?
 
Hitler ndio anajua uzuri wa wayahudi.
Hawa wanafiki hawawezi kufanya kitu pekee kama isingekua kutumia wamarekani na waingereza kuwafanyia unyama wao.
Wanainyonya marekani mpaka sasa inafilisika sababu ya kushughulikia misaada yao na kupigana vita vya maslahi yao.
Hawa madhalimu ndio walikua wanawasapoti makaburu wakati wa harakati wa ukombozi wa nchi za Afrika kusini kisha tuna waafrika waliiopagawa wanauliza kwa nini hatuna uhusiano na hawa madhalimu. Sababu hawajabadilika bado udhalimu ndio itikadi yao.
Yote hii ni chuki sababu nchi ya Iran siyo ya kujikomba komba , wameamua kusonga mbele huku wameweka taadhima ya nchi yao juu.
 
Let's suspose this isn't a bluff......now why hasn't the UN called an emergency session to head off potential for the next world war?
Mkuu
Who owns UN? Who command UN bodies? The same war monger nations, USA, UK, France, Israel.
The UN report is not out yet, but the war drums already send shock waves.

Ouiiii, brown, yellow and coloured are too many, they need to be down sized!

Anyway, normally UN through security council aka a club of war mongers authorises wars, remember "any means necessary"? UN does not head off wars.
 
of course-this can bring bad effects on israel-as hezbolah,hamas and other beneficiaries of Iranian supports wont keep quite-they will retaliate on behalf of their master,nevertheless iran wont let it to be such simple-however for Israeli-nothing is impossible
 
Let Israel arise, let Israel enemies be scattered:

Nimeangalia taarifa mbalimbali za habari jana, Wayahudi wenyewe wameandamana kule kwao kupinga nchi yao kuivamia Iran. Hii haitakuwa vita ndogo, kama alivyoonya waziri wa Urusi.
 
Back
Top Bottom