Mlaleo
mkuu kwa mujibu wa maelezo yako Ina maana huwezi kuwa Jews mpk uwe na vinasaba vya DNA?? Kwa mfano Mimi Leo hpo tz natka kuwa Jews na sins vinasaba vya dna kwa hyo siwez kupitishwa kuwa Jews??
haiwezekani mkuu.... jew ni kabila na hilo kabila ni ukoo wa Judah ambaye alizaliwa katika watoto wa Yacob ambapo Jacob alikuwa na watoto Kimu na Mbili... Hata Nabii Mussa Ni Muisrael katika kutoka katika ukoo wa Levi.
Jews ndio kabila ambalo lili maintain asili kuwa muonekano wa wazi tokea Wana wa Israel walipotawanyika Duniani miaka mingi iliyopita kuna makabila mengi ya waisrael ambapo katika mambo ya maisha kumetokea
intermarriage japo si kwa sana ila sababu ukoo huwa unaendelezwa na kina mama tofauti na jamii zingine Duniani... Hivyo Waisrael wametapakaa sana duniani kwa kila rangi za ngozi zao.... kuna chama cha kuwaunganisha Waisrael ukitafuta contact zao watakupima tu na watajua kama unatokea ukoo upi mana ni Reuben, Simeon, Judah, Issachar, Zebulun, Benjamin, Dan, Naphtali, Gad, Asher, Ephraim au Manasseh. na utaunganishwa hata kwenda kuishi nchi ya Ahadi.....
Ukoo wa Judah uliamuliwa uwe ni wa kitawala miongoni mwa Waebrania hao.. na Koo zingine zilikuwa na kazi zao wengine wafugaji,wengine wakulima,wengine waongozaji wa kiroho n.k
Kwa Dunia ya Sasa DNA lazima itumike na ukubali kusali Siku ya Sabato kama wayahudi wanavyosali na kuiadhimisha uwe mtu wa kula vyakula vya Kosher... Nyama zisichinjwe na Muislam kama ulavyo sasa...kwani ni sehemu ya matimizo ya Dini ya Kiislam na Allah... Mungu wa Ibraham YAHWEH ambaye ni Mungu wa Wayahudi ambaye ni Mungu wa Jabob ambaye Mungu wa Mussa hapendezewi.