Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,596
- 5,584
Nimekuwekea picha na website ili upate mwanga lakini maskini wapi!? Bado unafikiria kwa kutumia moyo!! Ungepembua kidogo tu ungeliona mwanzilishi na aliyefanya Juhudi ya USA kwenda Space ni JFK na aliyeingia matatizoni ni Nixon kwa bahati mbaya sikuandika mpaka mwisho (mna hili limetokea kutokana na hali ya mtandao nilikuwa nikipost haisave) Ila Endelea kuufuata moyo navyokuambia Iko siku utaujua ukweli watakapouanika kama walivofanya kwa VIETNAM.Mpendwa, asante kwa kunijua kimakini mata moja ingawa tumeanza kujadiliana hapa mara ya kwanza maishani. Ajabu kweli jinsi umejua ni kivipi mimi napokea habari na kuzipenda!
Basi unanijua kuliko mimi mwenyewe??? Hadi sasa sikujua ya kwamba hoja langu juu ya 9-11 lilikuwa jambo la moyo?
Lakini sidhani.
Akili yangu inaridhika maelezo niliyoona; akili yangu imeniambia kweli ni hatari kwa jengo la saruji -feleji kama moto kubwa inawaka ndani yake kwa masaa mengi (jinsi ilivyokuwa huko Tower 7) kwa sababu fizikia inaniambia feleji inapanuka haraka wakati wa joto hivyo inaweza kuvunja saruji . . . . . Ikiwa hii ni tamko pia ya Umoja wa Mamuhandisi wa Ujenzi Marekani naielewa na sioni sababu ya kuwaza ndoto za ajabu.
Hapana, hii sikujua. Je wewe unajuaje??? Unaongea na malaika wasiofika kwangu? Yaani rais Kennedy aliaga dunia mwaka 1963. Kweli sikujua ya kwamba alihusika na habari za Apollo huko peponi miaka 9 baada ya kifo chake!
(Au: je kuna nadharia ambayo mimi sijui eti Kennedy hakufa bado eti walimwua mwingine aliyefanana naye??? )
Mpendwa, asante kwa kunijua kimakini mata moja ingawa tumeanza kujadiliana hapa mara ya kwanza maishani. Ajabu kweli jinsi umejua ni kivipi mimi napokea habari na kuzipenda!
Basi unanijua kuliko mimi mwenyewe??? Hadi sasa sikujua ya kwamba hoja langu juu ya 9-11 lilikuwa jambo la moyo?
Lakini sidhani.
Akili yangu inaridhika maelezo niliyoona; akili yangu imeniambia kweli ni hatari kwa jengo la saruji -feleji kama moto kubwa inawaka ndani yake kwa masaa mengi (jinsi ilivyokuwa huko Tower 7) kwa sababu fizikia inaniambia feleji inapanuka haraka wakati wa joto hivyo inaweza kuvunja saruji . . . . . Ikiwa hii ni tamko pia ya Umoja wa Mamuhandisi wa Ujenzi Marekani naielewa na sioni sababu ya kuwaza ndoto za ajabu.
Hapana, hii sikujua. Je wewe unajuaje??? Unaongea na malaika wasiofika kwangu? Yaani rais Kennedy aliaga dunia mwaka 1963. Kweli sikujua ya kwamba alihusika na habari za Apollo huko peponi miaka 9 baada ya kifo chake!
(Au: je kuna nadharia ambayo mimi sijui eti Kennedy hakufa bado eti walimwua mwingine aliyefanana naye??? )
Unajua mmiliki nani? Baada ya miaka watatoa taarifa tena (taarifa ambazo si siri tena!)
Mkuu we kamatilia hapohapo tu panatosha!!! Wataalamu wanasema ISHI KWA MPANGO! Na ndivyo wenzetu wanavyofanya WANAISHI KWA MIPANGO MINGI! ndio maana sisi tusioishi kwa MIPANGO wanatukubalisha mikataba mibovu ya KARNE! (mfano wa mipango hata hapa kwetu ipo ila haina manufaa kwa TAIFA, kumbuka uchomwaji benki kuu na MEREMETA!!)Mkuu kwa jina ckikumbuki kile kizee ila najua kilinunua hiyo compound miezi michache kabla ya tukio kana kwamba kilijua nini kitatokea na kilifanya insurance cover mpya iliyompa pesa nyingi sana baada ya hilo tukio.
Ndege zilitumika kama trigger button.
Al quida ni adui wa US wa siku nyingi, Jews ni kama walitumia hiyo opportunity na kumpa Al kaida hiyo nafasi.
Kwanini Jews hawakuwa reported kama Victims??
Siijui fizikia coz mara ya mwisho kuisoma nilikua form 4 ila labla nikuulize we mwanafizikia, kwa nini majengo marefu yanajengwa na steel? Ni saruji au steel kinachosimamisha jengo? Je moto wa kawaida tu ambao ni tofauti na ule wa kuyeyushia chuma unaweza kuporomosha jengo kama hiyo ya 9/11? Mbona kuna majengo mengi yashawaka sana kama lile la kule Spain lilowaka kwa zaidi ya masaa 20 lakini halikuanguka na lilikua strong enough to hold a crane on top of it? Infact hata wakandarasi wa hayo majengo(twin towers) wanasema waliyajenga waki-invision kuwa yanaweza kuhimili ajali ya kugongwa na ndege? Hilo tower 7 ni kweli liliporomoshwa na kifusi? Real? Mbona Meya wa New York aliamuru watu watoke kwenye hilo jengo kwa sababu aliambiwa " they gonna pull it down", je aliota kwamba litaangukiwa na kifusi?
Wakati wanaenda kuipiga Iraq walisema kuna weapons of mass destruction, cjui mwenzetu unaweza kutupa report yoyote inayoweza kuprove kwamba walizikuta hizo W.O.M.D? If not,kwa nini tuamini sana kile wanachosema wao ili hali kinapingana kabisa na reasoning pamoja na laws of physics ambazo wewe unaziadvocate?

Bullshit. Uwongo au hali ya fujo kwenye ubongoHv ni kweli hakuna Jew aliyekufa ktk hii incidence?
kwa akili ya kawaida nitaendelea kuamini ndani ya yale majengo waliweka explosives ambazo nadhani zilikuwa detonated baada ya kuwaka kwa muda mrefu na hapo ndio jengo likashuka.
Nyumba za gongo la mboto hazikushuka zote kwa mabomu so kwa twin towers nitaendelea kukataa
mkuu kipala unajua wall street journal na new york times yanamilikiwa na watu gani?Bullshit. Uwongo au hali ya fujo kwenye ubongo
"A total of 2,071 occupants of the World Trade Center died on September 11, among the 2749 victims of the WTC attacks. According to an article in the October 11, 2001 Wall Street Journal, roughly 1,700 people had listed the religion of a person missing in the WTC attacks; approximately 10 percent were Jewish. A later article, in the September 5, 2002 Jewish Week, states, "based on the list of names, biographical information compiled by The New York Times, and information from records at the Medical Examiner's Office, there were at least 400 victims either confirmed or strongly believed to be Jewish." This would be approximately 15 percent of the total victims of the WTC attacks. A partial list of 390 Cantor Fitzgerald employees who died (out of 658 in the company) lists 49 Jewish memorial services, which is between 12 percent and 13 percent. (http://myfriendsphotos.tripod.com/cf.html)This 10 percent to 15 percent estimate of Jewish fatalities tracks closely with the percentage of Jews living in the New York area."
Chanzo: The 4,000 Jews Rumor
mkuu kipala unajua wall street journal na new york times yanamilikiwa na watu gani?Bullshit. Uwongo au hali ya fujo kwenye ubongo
"A total of 2,071 occupants of the World Trade Center died on September 11, among the 2749 victims of the WTC attacks. According to an article in the October 11, 2001 Wall Street Journal, roughly 1,700 people had listed the religion of a person missing in the WTC attacks; approximately 10 percent were Jewish. A later article, in the September 5, 2002 Jewish Week, states, based on the list of names, biographical information compiled by The New York Times, and information from records at the Medical Examiners Office, there were at least 400 victims either confirmed or strongly believed to be Jewish. This would be approximately 15 percent of the total victims of the WTC attacks. A partial list of 390 Cantor Fitzgerald employees who died (out of 658 in the company) lists 49 Jewish memorial services, which is between 12 percent and 13 percent. (http://myfriendsphotos.tripod.com/cf.html)This 10 percent to 15 percent estimate of Jewish fatalities tracks closely with the percentage of Jews living in the New York area."
Chanzo: The 4,000 Jews Rumor
Mwenye New York Times ni Arthur Ochs Sulzberger, mwenye Wall Street Journal ni shirika la newscorp inayomilikiwa na Rupert Murdoch- na yote mawili ni magazeti mazuri sana ingawa mwelekeo tofauti kulingana na mielekeo tofauti ya watu wanaomiliki.mkuu kipala unajua wall street journal na new york times yanamilikiwa na watu gani?
nilikuwa namaanisha kwamba sulzberger ni myahudi na murdoch alininua wall street journal 2007 kabla lilikuwa na wayahudi kwahiyo hatuwezi kutegemea habari zinazowahusu zitoke kwenye magazeti yao zisiwe na biasMwenye New York Times ni Arthur Ochs Sulzberger, mwenye Wall Street Journal ni shirika la newscorp inayomilikiwa na Rupert Murdoch- na yote mawili ni magazeti mazuri sana ingawa mwelekeo tofauti kulingana na mielekeo tofauti ya watu wanaomiliki.
Sasa unataka kusema nini kwa swali hili kuhusu habari uliyojibu? Dai la kuwa hakuna Myahudi aliyekufa 9/11 ni uwongo wa kitoto.
"A total of 2,071 occupants of the World Trade Center died on September 11, among the 2749 victims of the WTC attacks. According to an article in the October 11, 2001 Wall Street Journal, roughly 1,700 people had listed the religion of a person missing in the WTC attacks; approximately 10 percent were Jewish. A later article, in the September 5, 2002 Jewish Week, states, "based on the list of names, biographical information compiled by The New York Times, and information from records at the Medical Examiner's Office, there were at least 400 victims either confirmed or strongly believed to be Jewish." This would be approximately 15 percent of the total victims of the WTC attacks. A partial list of 390 Cantor Fitzgerald employees who died (out of 658 in the company) lists 49 Jewish memorial services, which is between 12 percent and 13 percent. (http://myfriendsphotos.tripod.com/cf.html)This 10 percent to 15 percent estimate of Jewish fatalities tracks closely with the percentage of Jews living in the New York area."
kaka tatizo si bias ya NYT au WSJ bali bias yako.nilikuwa namaanisha kwamba sulzberger ni myahudi na murdoch alininua wall street journal 2007 kabla lilikuwa na wayahudi kwahiyo hatuwezi kutegemea habari zinazowahusu zitoke kwenye magazeti yao zisiwe na bias