Isp

Developer

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
589
Reaction score
1,038
Wakuu nina shida na internet ya uhakika, nina vicomputer kumi ambavyo ninataka viwe na internet yenye kasi. nipo mazingira ya kijijini ambapo makampuni ya simu yameniambia huku yana huduma ya voice tu na si data, so nilikuwa naomba mnisaidie kwa wajuzi wa mjini nimeplan kutumia Vsat - kama mnaweza kunipointia providers ambao wanaweza kunipa internet at competive price.
 


Nafanya installation ya Ka band VSAT Satellite connection, network yetu in cover kote Tanzania.

Features:
512Kbps and 1Mbps plans
Unlimited uploads and downloads

Equipment cost: $1000 full kit including installation cost
Subscription: $180 (512Kbps), $300 (1Mbps)

Call or email me through
0767659145, 0787659145
alphonce@alphonce.net
 

Mkuu unamaanisha speed ni KBps au ni hivyo Kbps, kama speed ni 512Kbps mpaka 1Mbps mbona hata mwendo wa kobe ni mkubwa
 
Mkuu unamaanisha speed ni KBps au ni hivyo Kbps, kama speed ni 512Kbps mpaka 1Mbps mbona hata mwendo wa kobe ni mkubwa


Shida ya humu jf watoto wadogo mnapomaliza kunywa chai ya bure kwa baba zenu mnakuja hapa kuleta ujuaji usio na msingi hata kwa vitu msivyovijua.

Nimeandika Kb na Mb sio KB na MB, hivyo ndivyo nilivyomaanisha.
Ungekuwa kweli unafahamu lolote kuhusu VSAT connections ungeuliza contention ratio ya hizo speeds
 
hebu onana na simbanet watakusaidia wenyewe wapo dar es salaam

 
yaaah.. japokuwa kwa project zinazoanza ni changamoto, quotation za hawa jamaa ni kubwa sana, wanatengeneza faida kubwa sana ukijaribu kuangalia nje bei kama si kubwa kivile in comparison na za hawa jamaa wa bongo.
 


I have emailed you the details as requested
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…