Ooh AISEE wayahudi hawa wanaompinga Yesu na kuvamia na kuvunja makanisa!??Wokovu unatoka kwa wayahudi. Mwenyewe katuambia tena kasema atakaewabariki atabarikiwa na atakaewalaan atalaaniwa
Bro hata kama imani ila sio kihivyo AISEE.
Ooh AISEE wayahudi hawa wanaompinga Yesu na kuvamia na kuvunja makanisa!??Wokovu unatoka kwa wayahudi. Mwenyewe katuambia tena kasema atakaewabariki atabarikiwa na atakaewalaan atalaaniwa
Ni antisemitic tu"Isolate the fifty richest Jews and all wars will cease". ~Henry Ford
What motivated this man to accuse Jews as the source of all wars?
Is it real that wars are money-making for the rich?
View attachment 3062915
Sio kuvunja makannisa tu, wanatabia ya kutemea mate wakristo, hata ukiingia You tube utaona video wakifanya hivyoOoh AISEE wayahudi hawa wanaompinga Yesu na kuvamia na kuvunja makanisa!??
Bro hata kama imani ila sio kihivyo AISEE.
hili mbwabwa linabwabwaja historia ya wapi??Najua historia kuliko ujuavyo wewe tena hunipati hata upunje.
Aliyeanza biashara ya utumwa ni MZUNGU.
Wewe unakataa nini??
Kama sio mzungu kuchochea hiyo biashara mwarabu asingejikita nayo hapa Afrika.
Mbona kabla ya hiyo biashara waarabu na waajemi walifika Kilwa na wakakuza mji wa Kilwa pasi na kufanya biashara za utumwa!??
Unakataa nini wewe mweupe kichwani tu!??
Walivyoanzisha industrial revolution wakajidai biashara ya utumwa inatakiwa ivunjwe.
Ilianza mbali zaidi ya kipindi cha utumwa, hiyo inasababishwa na matendo yao machafuNi antisemitic tu
hate ya wajews ilianza hata kipindi wako watumwa
ilianza misri, ikaja ulaya saizi uarabuni afu waarabu wamewapelekea vibaraka wao africaIlianza mbali zaidi ya kipindi cha utumwa, hiyo inasababishwa na matendo yao machafu
HapanaLakini una accept kwamba wao ndyo source of all wars?
Mwarabu na muajemi ni wakwanza kufika Afrika,na kuna miji waliiendeleza pasi na biashara ya utumwa ikiwa miji ya Kilwa na Lami na Mombasa kabla haijavamiwa na wazungu.hili mbwabwa linabwabwaja historia ya wapi??
mzungu na muarabu nani aliwai kufika
muarabu ndio chanzo cha maovu duniani…Mwarabu na muajemi ni wakwanza kufika Afrika,na kuna miji waliiendeleza pasi na biashara ya utumwa ikiwa miji ya Kilwa na Lami na Mombasa kabla haijavamiwa na wazungu.
Biashara ya utumwa ilianza baada ya wazungu kuigundua Afrika karne tatu mbele.
Ilhali waarabu walifika karne tatu nyuma na hawakuanza hiyo biashara.
Basi unapaswa kufahamu hiloHapana
Kwa matendo wanayo yafanya sio ajabu kuona wanachukiwa ulimwengu mzimailianza misri, ikaja ulaya saizi uarabuni afu waarabu wamewapelekea vibaraka wao africa
Chanzo cha maovu ni mzungu;muarabu ndio chanzo cha maovu duniani…
Mtoto wa nje ya ndoa kweli haramu Ishameli ndo katuletea matatizo kwene hii dunia.
kweli jamani tusizae nje watoto wanje wasipokutesa ww wataitesa dunia
Haya ni mawazo ya wajinga na antisemiticsUnakubali kwamba jews wapo nyuma ya kila vita?
Unafahamu chochote kuhusu Indian Icean Slave Trade ??Chanzo cha maovu ni mzungu;
1)Slave trade
Sifaham kwa kina najua juu kwa juu.Unafahamu chochote kuhusu Indian Icean Slave Trade ??
Biblia imeandika bro sio Mimi. Hayo unayoyaona yalikuwa ni lazima yatokee so huwez kulaumu kwa utabir wa Biblia kutimiaOoh AISEE wayahudi hawa wanaompinga Yesu na kuvamia na kuvunja makanisa!??
Bro hata kama imani ila sio kihivyo AISEE.
Kanisa ni mtu sio jengo ndugu so Biblia inatuambia watakaomuabudu Mungu watuabudu katika roho na kweli sio kwenye majengo. So linda sana moyo wako maana humo ndimo kuliko na chemichemi ya uzima.Sasa wewe unasali katika sinagogi gani?, maana wayahudi wanasali katika masinagogi na siyo katika makanisa. Hata huyo unayesema kuwa alisema wokuvu unatoka kwa Wayahudi hajawahi kutia mguu kwenye jengo liitealo kanisa na hajawahi kukalia mabenchi.
sawa, sasa haya majengo makubwa yenye misalaba juu ni nini kwa mujibu wa biblia?Kanisa ni mtu sio jengo ndugu so Biblia inatuambia watakaomuabudu Mungu watuabudu katika roho na kweli sio kwenye majengo. So linda sana moyo wako maana humo ndimo kuliko na chemichemi ya uzima.
Ni kusanyiko la kanisa la Mungu. Ukienda ulaya leo hii hayo majengo mengi yamebadilika night clubs misikiti NK.sawa, sasa haya majengo makubwa yenye misalaba juu ni nini kwa mujibu wa biblia?
Mwarabu alikua kama mchuuzi tu wa watumwa Kwa sababu alishafika maeneo mengi, hivo alikua anachukua watumwa na kwenda kumuuzia mzungu, ananunua Kwa bei ndogo maporini anakwenda kuuza kama bidhaa Kwa mzungu na kupata faida kiasi halafu mzungu anaenda kuwatumia watumwa kwenye shughuli za uzalishaji mali na maendeleo ya mataifa yaoNajua historia kuliko ujuavyo wewe tena hunipati hata upunje.
Aliyeanza biashara ya utumwa ni MZUNGU.
Wewe unakataa nini??
Kama sio mzungu kuchochea hiyo biashara mwarabu asingejikita nayo hapa Afrika.
Mbona kabla ya hiyo biashara waarabu na waajemi walifika Kilwa na wakakuza mji wa Kilwa pasi na kufanya biashara za utumwa!??
Unakataa nini wewe mweupe kichwani tu!??
Walivyoanzisha industrial revolution wakajidai biashara ya utumwa inatakiwa ivunjwe.