Ndio maana nikasema master mind alikua mzungu.Mwarabu alikua kama mchuuzi tu wa watumwa Kwa sababu alishafika maeneo mengi, hivo alikua anachukua watumwa na kwenda kumuuzia mzungu, ananunua Kwa bei ndogo maporini anakwenda kuuza kama bidhaa Kwa mzungu na kupata faida kiasi halafu mzungu anaenda kuwatumia watumwa kwenye shughuli za uzalishaji mali na maendeleo ya mataifa yao
Kwasababu hao waarabu walifika Kilwa karne tatu nyuma kabla ya mzungu na hawakufanya hiyo biashara.