The Bourne
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 1,077
- 1,322
Ukiandika hasira itapendeza sana.Huyo jamaa anahasila zake
Katika vitu vilimnyima points rais kikwete ni uchaguzi wa Zanzibar
Jk angewcha uchaguzi wa Zanzibar ukaenda kama ulikuwa angekuwa ni kati ya marais Bora sana afrika,na dunia
Hayo ndio matokeo ya dhuluma, dhalimu ameshasahau lakini aliedhulumiwa bado anakumbuka.Tunachokosea ni hizi siasa zetu zinatufanya tuchukiane
Na kasi ya kuchukiana imekuwa kubwa mno kwa sasaTunachokosea ni hizi siasa zetu zinatufanya tuchukiane
....Ulofa at its best...Tunachokosea ni hizi siasa zetu zinatufanya tuchukiane