Ismail Jusa

Hahaaa sema sasa lazima utolewe nishai wewe una timu yako imetolewa unataka raha kwa mwenzako wabara kwa hili tujikaze mkiendelea na shobo hizi tutayaoga matus tushangilie kmya kmya wenzetu sasa wanatukazia kwa ujuaji wetu biblia ilisema" jiwe walilo likataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni"
 
Zanzibar heroes inawapa raha wazanzibar sio watanzania coz nao walikua na timu yao imeboronga.

Haiwezekan we baba kila kukicha ni mizozo na mke wako, familia chungu na raha hakuna. Jiran yako yy na mke wake wanaish kwa furaha, Sasa inakuwaje we ujisikie raha kuona majiran wanapata raha.
Itakuwa anakula kwa jirani
 
fe274fdb8f9bc7d72260f9126a49ad22.jpg
 
Back
Top Bottom