Islamization ya CCM-CCM inasilimu

Hivi mkuu tukiamua kwenda 50/50 ni watu wapi Takao athirika kati ya waislamu na wagaratia?
Hakuna 50/50..hoja yangu hapa ni waislam ndio wmekuwa na ulalamishi huo kwamba wako nyuma..mfano kuazimwa majengo kuanzisha chuo kikuu cha waislamu morogoro, chanzo ni malalamiko haya haya, miaka zaid ya 20 sasa wmefanya hayo majengo km mali yao wakati walipewa kwa muda na mkapa akawachangia pesa watafute eneo wajenge chuo..liko wapi hilo eneo..? Kuna nia njema sasa hapa..? Wanasubiri siku aje kiongozi arudishe hayo majengo tanesco waanze maneno..
 
..na hayo ndio makosa yanaleta shida leo, kufunika ukweli kwa hoja dhaifu kbs..
 
We
Fala kweli wewe.. sasa nyerere kwa hotuba zake za ku_copy akina Kennedy..

Advantage yake ni kuwa nchi ilikuwa gizani. Na alidhibit hata TV watu wasiwe nazo.. ili akiwasikiliza akina Kennedy huko hata akicopy speech zao aonekane yeye ndio kainvent..

Meko kwa hotuba gani au ile ya Kumtafutia mchumba mama yake kule kilwa 😂😂😂
 
..km wakoloni hawakuwepo kisumu, ulitaka wajaluo wampinge nani..? wakoloni waliweka makazi kwa wakikuyu, kwa hiyo km ni kudai uhuru waliokuwa wameporwa ardhi ilikuwa ni jukumu lao kupigania uhuru ili warudishe walichoporwa..
 
Tunapoeleka suluhu ni nchi kutawaliwa na Atheists tu.
 
Masuala ya sijui vyuo ,mahosptal,shule sio razima Kwa waislamu kuwa navyo Kwa sababu sio jukumu lao mama ,mwenye jukumu la kutoa hizo huduma zote ni serikali wanayo ilipa Kodi.
Waislamu wakiamuwa kujenga chuo au taasisi yeyote hilo ni maamuzi binafisi na Kwa masilahi ya kibiashara binafisi lakini siyo lazima wao kufanya.
Hata kanisa inayo miliki hivyo vyuo sijui na mahosptal hawajavijenga kama hisani bali wamevijenga Kwa madhumuni ya kibiashara kama mtu anapo amuwa jifungua dukahivyo hilo halina uhusiano na serikali kutenda haki Kwa raia wote bila kujali dini zao.
Mo ni tajiri kuliko watu wote hapa Tz basi yeye ni bora na ana haki kuliko watz wengine!
 
..acha kukwepa ukweli, uongozi kwa waislamu ni nafasi ya kula, kujitajirisha na kufanya anasa, ndio sabb kila akiongiza muislamu nchi inarudi nyuma..uchum unaharibika, kila mahali ni wizi tu..
Kwa mf. tuambie kwa nini viongoz waislamu wanarithisha watoto wao nafas za uongozi..?
 
Huna unalojua.. kwa taarifa yako Serikali haikutoa eneo la taasis ya umma kwa waislamu tu.. hata wakristo walipewa huko Dodoma St John university ilikuwa ni taasis ya serikali kama MUM Ila wakapewa waAnglicana
 
Tunapoeleka suluhu ni nchi kutawaliwa na Atheists tu.
Wakristo watz hasa wakatoriki ni watu wenye tabia ya kujipa umuhimu ulio pitiliza ndani ya nchini hii na ndio maana taasisi yao ya TEC Kila muda huwa inajikuta kwenye msuguano na serikali.
Hivi nchi hii tukiamua Kila sekita iwe 50 / 50 wanufaika wakubwa si watakuwa waislamu na wagaratia siwatalia na kusama meno?
 
Umeambiwa juu hapo.. MKAPA kauza nyumba za serikali.. Kauza benki NBC.. Kauza viwanda vya serikali..

Lakini bado wewe unasema viongozi wa kiislam ndio wanafisadi nchi.. sasa tuambie wamefisadi kipi
 
Umeambiwa juu hapo.. MKAPA kauza nyumba za serikali.. Kauza benki NBC.. Kauza viwanda vya serikali..

Lakini bado wewe unasema viongozi wa kiislam ndio wanafisadi nchi.. sasa tuambie wamefisidi kipi
 
Suala la Baba kuwa Rais na mtoto kuja kuwa Rais sio geni duniani.. kwani wale akina BUSH ni waislam????
 
..km shule sio lazima kwenu, nini unalalamika waislamu kutoajiriwa au kuteuluwa nafasi kuongoza? Ungesema haya km hayo majengo ya morogoro mmeshayarudisha..wapi serikali imeweza kujenga shule, vyuo, hospital zote nchi nzima..? mentality za kijinga km hizi ndio zinaharibu kila nchi inapokuwa imepiga hatua..serikali haina huo uwezo kufanya hivyo, ni ujinga kuitegemea serikali kwa kila kitu..ndio maana mko nyuma kwa kila kitu sabb ya mentality za utegemezi..
 
Umeambiwa juu hapo.. MKAPA kauza nyumba za serikali.. Kauza benki NBC.. Kauza viwanda vya serikali..

Lakini bado wewe unasema viongozi wa kiislam ndio wanafisadi nchi.. sasa tuambie wamefisidi kipi
Ufisadi wakati wa mkapa utaulinganisha na wizi wakati wa kikwete..?
 
Huna unalojua.. kwa taarifa yako Serikali haikutoa eneo la taasis ya umma kwa waislamu tu.. hata wakristo walipewa huko Dodoma St John university ilikuwa ni taasis ya serikali kama MUM Ila wakapewa waAnglicana
..st. john university before ilikuwa mazengo secondary, majengo yote ni mali ya kanisa la anglikani..walitaka majengo yao, sawa na wakatoliki walivyotaka majengo yao ya iliyokuwa forodhani sekondari hapo mkwepu..
 
Ebu kuwa na akili basi ww kilaza ,mm sijasema shule sio lazima bali nimesema kujenga shule sio lazima Kwa mtu yeyote, mwenye jukumu la lazima la kutoa elimu kwa raia wake ni serikali ukiona taasisi za dini au watu binafisi wameamuwa kujenga shule basi zimezijengwa Kwa sababu za kibiashara tu na sio wajibu wake wa lazima.
Na ndio maana nyinyi waumini mnachanga pesa za kujenga shule lakini ikikamilika watoto wanao somea hapo ni watoto wa wenye hela tena wasio kuwa waumini wa hilo kanisa wakati nyinyi mlio changa hela za kujenga hiyo shule watoto wenu wanasomea kayumba.

Sasa kama hata hao waislamu wachache walio soma wakiteuliwa na kuajiliwa mnataka kupasuka mioyo na mnakimbilia humu kuanzisha nyuzi za kijiliza udini,je waislamu wangekuwa wamesoma wengi na kuajiliwa wengi simngeshika silaha na kuingia mitaani kupigana ?
Waislamu wako nyuma, vipi wakristo ndani ya nchini hii wako mbele Kwa kipi na kuwa kwao mbele kumeisaidia nini Tz?
Mbona mikoa karibia yote yenye umasiki uliyo kithiri ni ndo mliko jazana?
Hizo shule na vyuo mnavyo jisifia vina fanya nini la maana zaidi ya kuzalisha boda boda na Malaya wa bei rahisi mitaani?
 
Kwa hiyo baba wa taifa kuwa mkatoriki ndo inawapa nyinyi haki ya kujiona ni bora kuliko raiya wasio kuwa wakatoriki?
Nyie lengo lenu ni kuona nchi nzima inakuwa na mfumo wa kiislamu,
Lengo langu ni kukwambia kwa hiyo agenda yenu haiwezekani
 
..st. john university before ilikuwa mazengo secondary, majengo yote ni mali ya kanisa la anglikani..walitaka majengo yao, sawa na wakatoliki walivyotaka majengo yao ya iliyokuwa forodhani sekondari hapo mkwepu..

..st. john university before ilikuwa mazengo secondary, majengo yote ni mali ya kanisa la anglikani..walitaka majengo yao, sawa na wakatoliki walivyotaka majengo yao ya iliyokuwa forodhani sekondari hapo mkwepu..
 
Attachments

  • Screenshot_20260929_122441_Google.jpg
    114.9 KB · Views: 1

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…