Enheee safi kabisa ππΎ... ASP na TANU zimeasisiwa na waislamu. Na ndio zilizozaa CCMπππ
Lakini baba wa taifa ni MKATOLIKI na itabaki hivyo milele,na huyo mama yako hata dumu milele hapo atakuja mkristo mwingine safi kama magufuli,Tushindane , chama cha kanisa chadomo kinajifia.
Totally Irrelevant... Huwezi kufananisha harakati za uhuru za Tanganyika na Nchi zingine kama malawi sijui Ghana.. Kwanza malawi hakuna waislamu.. ni percent ndogo mno
Mkuu mwanzoni wakristo walijitenga na harakati za uhuru, waliambiwa makanisani wasishiriki.
Kwa sababu wazungu waliowaambia hayo kanisani.. walikuwa na interest na mfumo wa wakati huo.. Hebu ZIMA HISIA washa AKILI..
Ndio maana wale waasis wa mwanzo walikuwa majority ni waislam na ndio waliunda TAA ambayo ikaja kuwa TANU
Lakini baba wa taifa ni MKATOLIKI na itabaki hivyo milele,na huyo mama yako hata dumu milele hapo atakuja mkristo mwingine safi kama magufuli,Wakiristo walidandia treni ya Uhuru ikiwa imeshashika kasi. Harakati nyingi za kudai uhu zilianzia pwani kwa Waislamu
Lakini baba wa taifa ni MKATOLIKI na itabaki hivyo milele,na huyo mama yako hata dumu milele hapo atakuja mkristo mwingine safi kama magufuli,Minyumbu imepagawa na kuchanganyikiwa; Kila ikijitahidi kumharibia mama, yaani Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, ndiyo kwaaaanza inazidi kupoteana. Kama mmeshindwa zooooote mtawezaje kwa upumbavu huu?!!π€£π€£π€£
Lakini baba wa taifa ni MKATOLIKI na itabaki hivyo milele,na huyo mama yako hata dumu milele hapo atakuja mkristo mwingine safi kama magufuli,Mbona wagaratia wanaimiliki chadema na halijahawi kuwa tatizo Kwann iwe Kwa ccm?
Lakini baba wa taifa ni MKATOLIKI na itabaki hivyo milele,na huyo mama yako hata dumu milele hapo atakuja mkristo mwingine safi kama magufuli,Nyinyi wagaratia msipo futa fikira mlio jijengea Kwa muda mrefu kwenye vichwa vyenu ya kujiona nyinyi ni daraja la kwanza na waislamu ni daraja la pili ndani ya nchi hii mtaishi maisha magumu sana yaliyo jaa donona kwa sababu kichaka cha waislamu hawajasoma waislamu wamekifyeka.
Lakini baba wa taifa ni MKATOLIKI na itabaki hivyo milele,na huyo mama yako hata dumu milele hapo atakuja mkristo mwingine safi kama magufuli,CCM
(A.A,TAA,TANU) ni chama cha waislam,walianzisha wao,wakati huo Babu zenu hawajabatizwa kwa chupi za mtumba na masweta(majoji)
Ukishakula nyama ya mtu?......Mwl NyerereMama Samia anatafuta kwa kiki zote aonekane chama kinamuunga mkono.
Sasa imeanza mikakati ya kukisilimisha chama ,CCM ili vikao vingine vifanyike misikitini.
Hili inaelekea ni lengo kuu la CCM na Mwenyekiti wake.
Matokeo ya uteuzi wa Makatibu wa CCM wa Mikoa itufungue macho.
Hyajafanyika kwa bahati mbaya.
Na hata akija mkristo hatodumu atatoka atakuja muislamu.. Ndio nchi inavyokwenda kikubwa tu ikiwa zamu ya mwenzio vumilia tuLakini baba wa taifa ni MKATOLIKI na itabaki hivyo milele,na huyo mama yako hata dumu milele hapo atakuja mkristo mwingine safi kama magufuli,
Hivyo ni zamu yenu tuu.
Lakini baba wa taifa ni MKATOLIKI na itabaki hivyo milele,na huyo mama yako hata dumu milele hapo atakuja mkristo mwingine safi kama magufuli,Narudia tena mtaishi maisha magumu sana iwapo mtaendelea kujipa umuhimu msio kuwa nao ndani ya nchi hii.
Mkuu kenya waislam ni minority tena in a very low percentage.. na wako sana sana maeneo ya pwani... ni ngumu kuwa front linekwa nini? haya ghana tuseme ni mbali vp kenya? kulikuwa na kanu ambayo ni ni sawa tanu yetu karibia kila kitu, kanu ni copy&paste ya tanu, hapo napo unasemaje? kenya ni muslims pia ndiyo walioanzisha kanu na "kuleta uhuru"? ...
Nyerere alikaribishwa baadae.. hakuwa kwenye initial stage ya kudai uhuru. Mtu aliyekuja mjini mwaka 1955..Utakuwa ama hujitambui au hujui chochote!! TANU haikuasisiwa na dini yoyote bali Mwalimu Nyerere ndiye aliyeianzisha TANU, Baada ya waswahili wa Dar kukaa na TAA kwa miaka mingi ikiwa haina uelekeo wala maendeleo yoyote.
Nyerere alipojiunga na TAA aliona mapungufu ya hicho chama, akaamua kukijenga upya na kubadili jina, huku akikijengea mtizamo na mwelekeo mpya. Kama TAA ingeendelea kubakia na waswahili wa Dar, habari ya uhuru wala isingeweza hata kusikika.
Tulimleta mjini huyo , amesakufa ..Miji yetu tunapiga vita mfumo kristo.Lakini baba wa taifa ni MKATOLIKI na itabaki hivyo milele,na huyo mama yako hata dumu milele hapo atakuja mkristo mwingine safi kama magufuli,
Hivyo ni zamu yenu tuu.
Mkuu kenya waislam ni minority tena in a very low percentage.. na wako sana sana maeneo ya pwani... ni ngumu kuwa front line
Labda Kama Nyerere asingekuwa baba wa taifa,lakini as long as Nyerere ni baba wa taifa ni swala la muda mtashuhudia wenyeweTulimleta mjini huyo , amesakufa ..Miji yetu tunapiga vita mfumo kristo.
Nioneshe kanisa lako katika harakati za uhuru , mlikuwa mnamuimbia mkoloni mapambio ..Mmekwisa nyie , mikwara za kizamaniLabda Kama Nyerere asingekuwa baba wa taifa,lakini as long as Nyerere ni baba wa taifa ni swala la muda mtashuhudia wenyewe