Islamization ya CCM-CCM inasilimu

Mada inasema Islamization ya CCM , yaani kwa teuzi tulizoziona za mama Samia ni dhahiri ni mdini na si serikslini tu, jana tumeona teuzi za makatibu wa mikoa wa CCM.
UMEINGIZA misimamo ya Mohammed Said kudefend argument zako hapo nyuma.
MS ni mdini namba moja mtandaoni hapa na argument zake dont cut, maana yeye huwa ana argue kama wewe ulivyo argue kuwa makundi ya wanywa kagahawa DSM na Pwani ndio walipigania uhuru.

Nimekupa mifano ya mababu zetu, Mkwawa et al, kudissapprove argument yako
Tanzania ni distinct nationalism iliyoleta uhuru, hakuna mtu au dini anaweza claim ownership ya freedom struggle.
Sasa tunspoona tendency zabkijinga kuingiza udini, ukabila, Uzanzibari na Ubara vinaanza kupewa prominence, basi walio na akili wanajua dira ina mushkeli.
 
Haya
ulivyo argue kuwa makundi ya wanywa kagahawa DSM na Pwani ndio walipigania uhuru
Maneno hayo uliyoninukuru mimi umeyaona wapi katika andiko langu mkuu 'Jidu'?

Sababu yangu ya kuwazungumzia kundi hilo ni kukuonyesha kwamba udini ulianza mapema kabisa wakati wa kupigania uhuru wa Tanganyika; na kwa ufundi mkubwa sana Malimu Nyerere aliweza kuepukana na tatizo hilo na kutengeneza taifa ambalo lilisifika kwa umoja wa watu wake; siyo ukabila, wala dini iliyotuvuruga.
Bila uongozi wa aina hiyo, Tanganyika ingevurugika sana kwa sababu za kikabila na kidini.

Kwa hiyo naona lengo langu hukulielewa kwa nini niliwazungumzia wazee hao wa Kariakoo; na kwamba ni mizizi hiyo hiyo waliyoipandikiza wao ndio maana hii CCM unayosema imevamiwa. Imevamiwa kwa sababu miziz hiyo imeachwa ichipuke, siyo chini ya Samia pekee, rudi hata kwa Kikwete utaziona hizo dalili za CCM kuvamiwa.

Unavyoeleza hapa ni kama hukusoma nilichoandika mimi.
 
Tanzania ni distinct nationalism iliyoleta uhuru, hakuna mtu au dini anaweza claim ownership ya freedom struggle.
Wewe unadhani hayo yanaota tu kama uyoga? Hata uyoga unahitaji mbegu.
Uongozi uliolenga kujenga taifa la umoja ndio uliofanya kazi kubwa ya kufifisha hayo makundi yenye lengo la kugawa taifa.
Hiyo "Distinct Nationalism" inatokana na nini, kama siyo uongozi unaolenga kulinda maslahi ya kila raia ndani ya taifa. Hiyo nationalism itakuwepo ya kuokotwa tuu?
Kama hujui, mashule mengi ya taasisi zisizo za kitaifa yaliingizwa kuhudumia watu wa aina zote Tanganyika. Huwezi kusema hiyo haikuwa juhudi ya kujenga taifa moja lisilobagua kwa misingi ya kidini au kikabila.
Na huo ni mfano mmoja tu.

Lakini ninachoona hapa katika kujadili kwako mada yako hii, tofauti na huko kwingine kama nilivyokufahamu kwa muda mrefu humu JF; hili swala ulilolianzishia mada huna uwezo nalo kabisa.
 
wewe choxo wa kigalatia ulikurupuka
sasa umerudi kitandani kujitia midole raha mustarehe baada ya kuona listi kamili
 
Je,hoja za hao TEC zina mashiko?
 
Sawa mkuu!
Nimekuelewa.
 
Huu ujinga wa katoliki ndio uliofanya nyerere akawatongoza mpaka mkakubali muungano.
Usifananishe serikali na uthenge wenu , eti mna taasisi angalia tu makusanyo ya serikali na ufala wenu , kwanza hata ajira zenu wengi mmeajiriwa na serikali ..Matapeli , hamlipi pesa za watu kwenye taasisi zenu .
 
Usifananishe serikali na uthenge wenu , eti mna taasisi angalia tu makusanyo ya serikali na ufala wenu , kwanza hata ajira zenu wengi mmeajiriwa na serikali ..Matapeli , hamlipi pesa za watu kwenye taasisi zenu .
Kama hatulipi,mbona na makobazi wenzako wanataka waajiriwe kwenye taasisi zetu?
Kingine ukiangalia shule za kikatoliki ambazo mpaka ibada zetu waislamu wenzako wanasali kanisani ila bado mnakuja kwenye shule zetu,mnafuata nini?
 
Mbona taasisi na mikoa ya waislamu mpo , makao makuu mnaweza Dar mbona hamuendi Mbeya huko?
Nitajie taasisi za kiislamu hapa ambazo Zina wakristo

Unasema dar es salaam ni mji wa waislamu?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚,kweli wewe unajekesha.
Unajua sensa ya mwisho inasema idadi wa wakristo kwa waislamu idadi ikoje kati ya nyie na sisi?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kweli wewe unaota,kwenu waislamu ni huko zanzibar baasi ,labda na pwani, ila mikoa yote tumeshikilia,
Majijo yote mwanza,dar,mbeya,arusha mpaka dodoma tunaongoza hulijui hilo?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Acha kuota,nenda ukale biriani
 
Kama hatulipi,mbona na makobazi wenzako wanataka waajiriwe kwenye taasisi zetu?
Kingine ukiangalia shule za kikatoliki ambazo mpaka ibada zetu waislamu wenzako wanasali kanisani ila bado mnakuja kwenye shule zetu,mnafuata nini?
Serikali ni dude kubwa mpaka mnasamehewa kodi , yaani hospital ya dini haina huruma hata kwa maskini , gharama kubwa hao wakatoliki asilimia kubwa wanatumia hospital za serikali hata shule ..Huko mnabaguana ial huku kwa serikali haki kwa wote sio biashara za kifala.
 
Naona unalia , sensa ipi inaonesha wakristo ni wengi , leta hapa ..Hospital ni biashara za kidunia , yesu hakuavha hospital kama mnatibu kwa kutumia biblia basi sisi hatuende..Dar ya waislamu , nikupe tu Takwimu angalia siku ya Eid na x mass uone ...Dar ina waislamu wengi ni mji wao .πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›

Ondokeni katika miji yetu , yesu hakuacha hospital wala chuo labda kule kwa Mwamposa ndiyo matibabu ya yesu
 
Shule za zipo kama zote si ukaulize , viwanda vya waislamu kama bakhresa na Mo si mpo ...Kama ingekuwa shule zenu na hospital mnatumia biblia kutibu basi hakuna muislamu angekuja , hio sio taasisi za kidini ni biashara kwa mgongo wa dini ...Labda kama Mwamposa kaajiri waislamu kutoa huduma za kuombewa kwa YesuπŸ˜›πŸ˜›

Njoo hapa Tanga , siha kuna wakristo , kuna sehemu kama burhani kuna wakristo , kuna shule za Tamsya na hospital zao wapo wakristo .
 
Jijini Dar es Salaam, sikukuu ya Eid (hasa Eid al-Fitr) inajulikana na kuchangamka zaidi kuliko Christmas (X-mass).

  • Idadi kubwa ya Waislamu: Tofauti na mikoa ya bara, Dar es Salaam ina idadi kubwa sana ya wakazi Waislamu (inayokadiriwa kufikia hadi 70% katika baadhi ya tafiti za jiji). Hii inafanya shamra shamra za Eid kuwa kubwa na zenye msisimko wa kipekee jiji zima.

  • Kuhama kwa wakazi wakati wa X-mass: Kipindi cha Christmas, jiji la Dar es Salaam huwa linapoa na "kujifyatua" kwa sababu asilimia kubwa ya wakazi wake (hasa Wakristo wanaotokea mikoani kama Kilimanjaro, Mbeya, Arusha na Kagera) husafiri kwenda mikoani mwao kusherehekea na ndugu zao.

Mmejazana hapa hasa yale yasikuwa na wake , yanaacha kwenda huko kwao Mbeya , yamejazana hapa kushangaa bandari , hampati bandari sio mali wenu , wezi wakubwa nyie.!

Jibu tena mpakwa mafuta .!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…