MMDAU
Member
- Aug 15, 2012
- 94
- 19
sio kosa lako tatizo husomi hata hapo uganda tu joseph konyi anawauwa watoto nakubaka wanawake kwasababu ya ukristo wake tena eti roho mtakatifu anamshukia ila yeye sio gaidi tangu mwaka 1986 linkLa kujiuliza kwanza nani na wapi iliwahi kusikika kuwa kuna mkristo kajiua au kuua wengine
ili kutetea dini yake ya ukristo!!!!! ukiona hakuna jiulize Mungu ni wa upendo ndio maana alimuumba
mwanadamu,hawezi kufurahia mwanadamu mwingine amuue mwenzake eti kwa sababu ya kumtetea
yeye!!!huyu ni mungu wa dunia hii anayeitwa ibilisi au shetani ndiye anayefurahia kuona mwanadamu anatenda
dhambi kwa kuua au kujiua ili mpango wake wa kuwapeleka watu wengi motoni ufanikiwe.Ikumbukwe shetani
hana huruma na mwanadamu kabisa anafurahia kumuona anateseka;Ila ni ukweli ulio wazi kuna uhusiano mkubwa
kati ya ugaidi na uislam'
http://www.google.co.tz/url?sa=t&rc...XN-syaF2p-VvfbPIO6BrQlg&bvm=bv.53077864,d.ZGU