Islam teachings has nothing to do with terrorism | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Islam teachings has nothing to do with terrorism

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by kashengo, Sep 17, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. kashengo

  kashengo JF-Expert Member

  #1
  Sep 17, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 2,610
  Likes Received: 426
  Trophy Points: 180
 2. Las Mas Bobos

  Las Mas Bobos JF-Expert Member

  #2
  Sep 17, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 993
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndio, kujiua inakatazwa. Ruksa ni kuua wengine tu.
   
 3. kashengo

  kashengo JF-Expert Member

  #3
  Sep 17, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 2,610
  Likes Received: 426
  Trophy Points: 180
  soma link ya pili acha ujanja ujanja..
   
 4. H1N1

  H1N1 JF-Expert Member

  #4
  Sep 18, 2012
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 4,147
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  Kashengo
  What do you mean by terrorism ? and What is 'Islam Teaching ?
  From what I know Muslims worship and emulate Muhammad in actions...
  It is only through understanding their prophet you can understand why they behave the way they do.
  To understand Muhammad you must begin with a brief history of his life. His actions and reactions towards people who were against his teachings etc.
  As a result the real 'Islam' is incompatible with democracy, human rights and free reasoning.
   
 5. Kipala

  Kipala JF-Expert Member

  #5
  Sep 18, 2012
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 3,459
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Ndugu mpendwa, naomba utumie akili ya wastani.

  Habari za maisha ya Muhammad ziko nyingi na hazifuati mantiki (hata kama Waislamu wenzetu wanapenda kuona Qurani kama ufunuo usio na kasoro . . )

  Ni wazi kabisa ya kwamba waumini hawawezi kujua wala kila kitu katika Qurani wala katika Sunna / Ahadith. Wanachagua. Hapo ni muhimu walimu wao wanakaza nini na kueleza nini.

  Sasa tumepewa hapa juu mifano jinsi gani walimu muhimu wanapinga ugaidi na mafundisho ya waislamu wenzao wanaofuata mkondo mkali na kudai eti "jihadi" inamaanisha ukatili na mauaji.

  Sasa unakuja wewe na yale uliyosikia kuhusu Qurani na unataka kumwambia Mwislamu imani yake ni nini??

  Kwangu hii ni kichekesho sawa na hao wenzetu Waislamu hapa JF wanaopenda kujivalia kofia ya ualimu na kunifundisha eti Ukristo wa kweli ni nini wakitaja ayat (zaidi nusu na roboayat) za Biblia na kufikia mafundisho ya ajabu.

  Asante kwa kutuchekesha lakini napendelea kuwauliza Waislamu imani yao ni nini. Hapo naona kuna tofauti kubwa kati yao.
  Namshukuru Mungu ya kwamba Waislamu wengi kabisa wanakataza mafundisho ya kigaidi.
   
 6. N

  Nyakipambo JF-Expert Member

  #6
  Sep 19, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 435
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Una maoni gani kuhusu hii aya? Si inahamasisha ugaidi au?

  "Mohammed is God's apostle. Those who follow him are harsh to the unbelievers but merciful to one another" Quran 48:29
   
 7. Kipala

  Kipala JF-Expert Member

  #7
  Sep 19, 2012
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 3,459
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Pekee yake haisemi kitu ila tu kuhimiza umoja kati ya Waislamu.

  Kuwa kali kivipi kwa makafiri gani katika hali au mazingira gani - ni swali namna ya kuisoma. Na hapa ayat hii imechukuliwa na watawala waislamu wapole wakiiunganisha na ayat zinazohimiza upole kwa wakristo na pia kinyume na wengine wakati wa fitina wakiiunganisha na ayat au ahadith zinazohimiza sifa za ukali.

  Quran katika mengi si kitabu kinachofuata mantiki maana ilitokea nyakati tofautitofauti. Hivyo kuna ayat za amani na upendo pia ayat za ukali na hasira.

  Msomaji wa leo hali halisi anaweza kuchagua. Kwa hiyo si kweli kudai "quran = ugaidi".

  Kama ingekuwa hivi tusingeishi kwa mani kaisi jinsin tunavyoishi.

  Hata sisi wakristo kwa kawaida hatufuati maagizo ya kitabu cha Kumbukumbu ya Torati mlango 7 (ingawa ilitokea katika historia< makaburu katika Afrika Kusini na walowezi wazungu katyika Amerika KAskazini waliwahi kutumia ayat hizi kama maagizo ya imani kuangamiza wazalendo...)
   
 8. N

  Nyakipambo JF-Expert Member

  #8
  Sep 19, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 435
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  "Mohammed is God's apostle. Those who follow him are harsh to the unbelievers but merciful to one another" Quran 48:29

  Judge yourself if that Quran verse condone violence or not!
   
 9. Kipala

  Kipala JF-Expert Member

  #9
  Sep 19, 2012
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 3,459
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Kwa nini umeteua ayat inayoonyesha kuwa Qurani ina upole kuliko Biblia????

  Sema: wewe u Mwislamu wa siri anayetaka kupinga Ukristo hapa? Kwa kusimamisha njia kipumbavu ya kusoma misahafu itakayoonekana kuwa hasara kwa Biblia maana kwa njia hii ayat kali za Biblia zinazoshinda kila ukali wa Qurani haziwezi kuelezwa tofauti??

  We, mjanja, we!
   
 10. Kipala

  Kipala JF-Expert Member

  #10
  Sep 20, 2012
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 3,459
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  GOOGLE+, mpendwa!! Nasubiri mifano yako ya kuonyesha waziwazi qurani ni kitabu cha mauaji, hasa kulingna na sehemu za Biblia!

  Umekaa kimya...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. mgen

  mgen JF Bronze Member

  #11
  Sep 21, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 14,963
  Likes Received: 1,614
  Trophy Points: 280
  Mimi binafsi nina sababu ya kuamini kwamba bila mafundisho ya Qaraa dunia ni mahali pazuri pa kuishi! mf; mtu anavaa belt ya mabomu na kujitoa muhanga kwa kauli mbiu ya Takbir Allahu akbar hapo kinachofuata ni maangamizi ya viumbe! ambavyo Mungu amevipenda bila ya sababu!
   
 12. Kipala

  Kipala JF-Expert Member

  #12
  Sep 21, 2012
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 3,459
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Hadi sasa sijaona mafundisho katika Qurani inayohusu ukanda wa baruti.

  Naomba niulize swali: Hapo juu mwanzilishaji wa thread alitaja marejeo kadhaa ambako wataalamu na viongozi wa Uislamu wanakataa mbinu za kigaidi. Napenda kujua kama hupendi kujibu yale aliyoleta - na kwa nini unapendelea kurudiarudia tu yale yaliyomo kichwani mwako kabla ya kufika katika thread hii.

  Je, faida ya kushiriki hapa ni nini machoni pako?
   
 13. H1N1

  H1N1 JF-Expert Member

  #13
  Sep 23, 2012
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 4,147
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  Inawezekana sina akili ya wastani. ndugu yangu kipala,wakati wewe unafuata Uislam kwenye story za vijiwe vya waislam jina mwenzio nimeuishi Uislam kwa zaidi ya miaka 14.acha kulopoka vitu usivyovijua,kwa taarifa yako hao uwaonao wewe ni extremist hao ndio wanapractise Uislam wa kweli,ZINDUKA, soma maisha ya mbora wa mitume na ni kwa vipi Muislam anatakiwa kuyaishi maisha ya Mtume wake kwa nyendo zake na sunna zake zote. Kama muislam huruhusiwi kuhoji na kuona aibu dhidi ya tendo lolote alilolitenda mbora wa mitume,ni kutojua Uislam kwako kunakofanya uwe mmoja wa wengi wanaoamini kuwa Uislam ni dini inayoweza kuchangamana na dini zingine,POLE sana,Uislam ni mfumo kamili wa maisha,maisha yenyewe ni yale yaliyoamrishwa ama kutendwa na Mtume Muhammad (SAW) ni wajibu wa muislam kutenda na kuyaishi yale ambayo yaliamrishwa na Quran na sunna za mtume. Acha kuleta mafundisho ya Uislam wa kusadikika,uislam wa ukweli ni kufuata maagizo ya mtume,kama katika kusoma kwako umekutana na aya zinazohimiza upendo kwa adui yako,unatakiwa uchunguze kama hiyo aya ilitangulia inayoaagiza chuki kwa wasioamini,kama aya ya chuki ilikuja baada ya ile ya upendo katika uilslam amri ya mwisho ndiyo ina kuwa mwongozo. Hakuna democrasia kwenye Uislam isipokuwa kufuata kama ilivyoamliwa na mtume. Acha kudanganya na kujidanganya kwa kujifanya unaujua uislam wa kusadikika ambao ni moderate.
   
 14. Kipala

  Kipala JF-Expert Member

  #14
  Sep 23, 2012
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 3,459
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Kwa hiyo wewe u Mwislamu anayeniambia kuwa "Uislam wa moderate" si sahihi??
   
 15. mgen

  mgen JF Bronze Member

  #15
  Sep 23, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 14,963
  Likes Received: 1,614
  Trophy Points: 280
  Hakuna kitu kinaitwa uislamu moderate! Uislamu umesimama kutokana na qurani, hadith, na miratul rasul! Na kigezo chao chema ni muhammad kwisha. ukipenda katafakari personal profile ya muham mad ili uuelewe uislamu!
  Mbona hao unaowaita moderate hawatangazi hadharani kwamba aya inayosema "fight(slay and kill) those who do not believe in allah......" haitoki kwa allah! Q9:29! mbona hawasemi; "wafanyeni wayahudi na wakristo rafiki zenu!" q5:51-52, au waseme "wayahudi si adui zenu!" Q5:82!
  you may think you know what islam is all about.....!
  but the black flag of islam flies over US embassy in Tunisia!
   
 16. Kipala

  Kipala JF-Expert Member

  #16
  Sep 23, 2012
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 3,459
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Mpendwa, mbona unaonekana vile ukijadili mambo ya Usilamu hadi kushindwa kusoma, kutoa taarifa hata kuleta uwongo mtupu.

  1. Hakuna bendera nyeusi juu ya ubalozi wa Marekani mjini Tunis; wala haikuwepo. (Waandamanaji walipanda ukuta wiki iliyopita na kuonyesha bendera nyeusi huku ukutani - ambayo si "juu ya ubalozi"- kwa dakika kadhaa hadi kuondolewa na polisi ya Tunisia. Hii unaweza kujua na sasa sijui kama unaleta uwongo kwa kusudi au unaridhika na kopi-paste kwenye kurasa za takataka?

  2. Unaleta ayat kutoka Quran, tuangalie matumizi yako ya Q9:29. Unaleta nusu ayat na hapa unafanya sawa kabisa kama kaka yako wa kiislamu Gavana anayependa kuleta vichekesho kwa kutaja nusu ayat za Biblia na kujenga hojo juu ya vipande hivi.
  Basi jaribu kuleta ayat yote ya Q9:29 halafu utuambie hii inayoandikwa inatokea wapi? Tuone kama utalaamu wako ni zaidi kuliko kopi-paste kutoka intaneti.

  3. Kwa jumla unanipa picha ya kwamba unaangalia hao wakorofi waislamu wa mwelekeo wa salafiya ya jihadi na kuamini hao ni uislamu mwenyewe.
  Si vile lakini, namshukuru Mungu. Hao ni wachache; katika mazingira ya vta na udikteta wanasogea mbele; lakini ilionekana kwa dunia yote jinsi walivyo wachache katika maandamano dhidi ya baolzi za Marekani wiki iliyopita.

  Mfano Benghazi, Libia: waandamanaji mia kadhaa walisimama mbele ya ofisi ndogo ya ubalozi wa Marekani, makumi wa kundi la Ansar-Sharia walikuwa na silaha na mwishowe kumwua mbalozi na walinzi wake; Tendo hili lilifatwa na maandamano wa waislamu 30,000 wa Benghazi waliofukuza Ansar-Sharia kutoka mji wa Benghazi.
   
 17. H1N1

  H1N1 JF-Expert Member

  #17
  Sep 23, 2012
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 4,147
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  Nasikitika kukwambia kwamba mimi nipo huru na huru kweli kweli,niligunguka kutoka kwenye hilo box,unachotakiwa kuelewa ni kwamba Uislam wa kweli ni 'INCOMPATIBLE WITH DEMOCRACY AND HUMAN RIGHTS' as declared by UN,ndiyo sababu hata OIC wanalo human declaration ya kwao ambayo ni compatible with SHARIA LAW.

  Unatakiwa ujue kwamba hakuna kushika uislma kwa %age,ni lazima kufuata nukta kwa nukta,unachoona kuwa ni waislam moderate ni wale ambao angalau dhamira zao zinakinzana na mafundisho ambayo wanadhani yanafuatwa na waitao wenye siasa kali,hakika waitwao wenye siasa kali hao ndiyo WAISLAM WA UKWELI wengine wana pretend to. Uislam wa ukweli ni hatari kwa ustaarab wa dunia hii,huu ni ukweli uliowazi kwa kuwa ni wajibu wa Muislam kutangaza dini ya Allah kwa moyo wake wote,kwa nguvu zake zote,kwa mali zake zote na kwa njia zake zote,iwe kwa kuua au kutesa.
   
 18. mgen

  mgen JF Bronze Member

  #18
  Sep 23, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 14,963
  Likes Received: 1,614
  Trophy Points: 280
  "Fight(slay and kill)those who do not believe in allah nor in last day nor do they prohibit what allah and his messenger have prohibited, nor they follow the religion of allah out of those who have been given the book until they pay the tax."Naomba twende pole pole labda ninaweza kukuelewa unachotetea, Mkuu!Hii amri ni ya nani! Anapewa nani! Kwa madhumuni gani! Jee muumini asipo itekeleza ataendelea kuwa muumini?
   
 19. Kipala

  Kipala JF-Expert Member

  #19
  Sep 23, 2012
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 3,459
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Mpendwa napenda kwenda taratibu

  1) unakubali si kweli ya kwamba "the black flag of islam flies over US embassy in Tunisia"?

  2) Kuhusu ayat nashukuru umeleta yote sasa. Kwa hiyo sentensi hiyo iliyo kamili inasema kwa maana yako? Na kwa ufahamu wako ni wapi ya kwamba hii sentensi inatekelezwa ?

  3) Je unakubali ya kwamba wale walioshambulia ubalozi wiki liyopita walikuwa wachache? Unaonaje maandamano ya waislamu wengi wa Bengazi waliolilia kifo cha mbalozi na kufukuza wanajihadi?
   
 20. mgen

  mgen JF Bronze Member

  #20
  Sep 24, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 14,963
  Likes Received: 1,614
  Trophy Points: 280
  Kwa lengo langu elimishi nililo kusudia; Ni kweli kabisa bendera nyeusi ya uislamu inapepea na si ubalozi wa us tunisia bali dunia nzima inashangaa na hiyo kero!

  Hayo ni mafunuo ya allah kwa kipenzi chake muhammad ili waumini wayatekeleze! usipoyatekeleza, usijipe moyo kwamba nawe ni muumini bali ni kaafir tu!

  Hao wachache ndio waislabu na bila shaka wamepata thawabu kwa allah! Hao wengi dhamira tu iliyowasukuma, lakini siku za baadaye inshaallah nao watakuwa waumini!
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...