Mkuu habari ndio hiyo na kama huamini basi subiri waumini wa uislamu wakuaminishe! Uislamu usingekuwepo bila Ukristo kuwepo! Habari njema ilipapaswa kwao, toka mfalme Nagus wa ethiopia hadi hivi sasa! Mkuu aya iko bayana na wale walio waamini,WAAMINI! Wanaitendea kazi kwa siri ima dhahir! Mwenye macho aidha ya kiroho hata ya kidunia ananaona!muhammad mwenyewe hakuwaani alipo waambia kwamba; "Nyinyi ni waislamu bali sio waumini!" Imani bila matendo ya imani si bure tu? Biblia Takatifu imenifundisha kwamba; "Jaribuni yote bali shikeni yaliyo mema!" Nimeuishi uislamu nikampokea Bwana Yesu, Amina!Mkuu, asante kwa changamoto!Asante kwa majibu, nakuweka kwa red kwa majibu yangu:Kwa lengo langu elimishi nililo kusudia; Ni kweli kabisa bendera nyeusi ya uislamu inapepea na si ubalozi wa us tunisia bali dunia nzima inashangaa na hiyo kero!Sina uhakika kama unafuata habari za uwogo au unajaribu kuepukana na jibu. Lakini nilivyokuambia: hakuna bendera nyeusi juu ya ubalizo wa Marekani Tunis (jinsi ulivyotangaza) wala haikuwepo (ila kwa dakika chache juu ya ukuta wa ubalozi)Hayo ni mafunuo ya allah kwa kipenzi chake muhammad ili waumini wayatekeleze! usipoyatekeleza, usijipe moyo kwamba nawe ni muumini bali ni kaafir tu!Hii ilikuwa kuhusu ayat Q9:29 lakini bado hujasema ni nini unayoelewa kama amri kwa Waislamu. Wafanye nini kwa ufahamu wangu??Na hii -jinsi unavyoelewa- inatekelezwa wapi duniani?Hao wachache ndio waislamu na bila shaka wamepata thawabu kwa allah! Hao wengi dhamira tu iliyowasukuma, lakini siku za baadaye inshaallah nao watakuwa waumini!Unachukua wapi kipimo kusema wale wahalifu waliomwua mbalozi walikuwa Waislamu wa kweli na unajuaje walipata thawabu?? Kwa nini hupendi kuwaamini hao wengi waliowafukuza kuwa hao ni waislamu? Namna gani wewe usiye Mwislamu unapenda kujivalia kofia ya mwalimu na hakimu na kuamua ni nani Mwislamu???
Mpendwa nimekupa maswali badala ya jibu napata ,mahubiri?Mkuu habari ndio hiyo na kama huamini basi subiri waumini wa uislamu wakuaminishe! Uislamu usingekuwepo bila Ukristo kuwepo! Habari njema ilipapaswa kwao, toka mfalme Nagus wa ethiopia hadi hivi sasa! Mkuu aya iko bayana na wale walio waamini,WAAMINI! Wanaitendea kazi kwa siri ima dhahir! Mwenye macho aidha ya kiroho hata ya kidunia ananaona!muhammad mwenyewe hakuwaani alipo waambia kwamba; "Nyinyi ni waislamu bali sio waumini!" Imani bila matendo ya imani si bure tu? Biblia Takatifu imenifundisha kwamba; "Jaribuni yote bali shikeni yaliyo mema!" Nimeuishi uislamu nikampokea Bwana Yesu, Amina!Mkuu, asante kwa changamoto!
Hayo ni mafunuo ya allah kwa kipenzi chake muhammad ili waumini wayatekeleze! usipoyatekeleza, usijipe moyo kwamba nawe ni muumini bali ni kaafir tu!
Hii ilikuwa kuhusu ayat Q9:29 lakini bado hujasema ni nini unayoelewa kama amri kwa Waislamu. Wafanye nini kwa ufahamu wangu??
Na hii -jinsi unavyoelewa- inatekelezwa wapi duniani?
Hao wachache ndio waislamu na bila shaka wamepata thawabu kwa allah! Hao wengi dhamira tu iliyowasukuma, lakini siku za baadaye inshaallah nao watakuwa waumini!
Unachukua wapi kipimo kusema wale wahalifu waliomwua mbalozi walikuwa Waislamu wa kweli na unajuaje walipata thawabu?? Kwa nini hupendi kuwaamini hao wengi waliowafukuza kuwa hao ni waislamu?
Namna gani wewe usiye Mwislamu unapenda kujivalia kofia ya mwalimu na hakimu na kuamua ni nani Mwislamu???
Hiyo sio hesabu yenye mtindo wa majibu!Nimekujibu sawia kabisa!Mpendwa nimekupa maswali badala ya jibu napata ,mahubiri?Maswali yangu katika majadiliano ni yafuatayo (chekundu maneno yako):
Hiyo sio hesabu yenye mtindo wa majibu!Nimekujibu sawia kabisa!
Nimekujibu kwamba; "Imani yangu imenifundisha kwamba jaribuni yote laki mshike yaliyo mema!" Hivyo basi hata wewe usie muislamu umekuja na nadhani kuwa waislamu miongoni mwao si wote wanaokubaliana, na baadhi ya vitendo! Hilo ni sawa kabisa ktk uislamu! Sababu hata muhammad aliwaambia kwamba; "allah angependa wangeku kundi moja na mchungaji mmoja lakini hitlafu miongoni mwenu LAZIMA ziwepo." kuujua uislamu gharama yake ni kusoma quran, hadith, au sunna za mtume wao, na kuwaangalia wanavyouishi ujahidina wao basi. Haihitajiki uwe muislamu ndipo uelewe na kuhitimisha!Swali kuu ilikuwa: Namna gani wewe usiye Mwislamu unapenda kujivalia kofia ya mwalimu na hakimu na kuamua ni nani Mwislamu??? Hapa hujajaribu hata kugusa-Basi kama hupendi au huwezi - tumalize.
Swali kuu ilikuwa: Namna gani wewe usiye Mwislamu unapenda kujivalia kofia ya mwalimu na hakimu na kuamua ni nani Mwislamu??? Hapa hujajaribu hata kugusa-
Basi kama hupendi au huwezi - tumalize.
Nadhani unauliza maswali ya maana. Bila shaka wako Waislamu katika nchi nyingi wanaoona hii kazi ya Al Qaeda au Al-Shabab ni wajibu kwa Waaislamu lazima kuwasaidia au kujiunga nao. Hakika watu hao watafungua kitabu cha cha Quani na ndani yake -pale wanapofundishwa kutafuta pamoja na namna ya kuielewa- wataona maagizo kwa ajili ya mapambano yao.Hao wayatendayo hayo wayatenda wakidai ni waislamu. Haya, ni swali ngapi ziliswaliwa hapa Tz kumuunga mkono sheikh Osama bin Laden? Tena ni watanzania wangapi waliojitolea kupigania uislamu katika nchi ya kiislamu huko Somalia (along Alshabab)?
Nadhani unauliza maswali ya maana. Bila shaka wako Waislamu katika nchi nyingi wanaoona hii kazi ya Al Qaeda au Al-Shabab ni wajibu kwa Waaislamu lazima kuwasaidia au kujiunga nao. Hakika watu hao watafungua kitabu cha cha Quani na ndani yake -pale wanapofundishwa kutafuta pamoja na namna ya kuielewa- wataona maagizo kwa ajili ya mapambano yao.
Halafu? Je hii inatuambia chochote kuhusu Uislamu kwa jumla au hali ya robo ile ya wanadamu wanaojiita Waislamu?
Sidhani.
Tafakari yafuatayo:
1) Kwa miaka mingi nchi moja katika Ulaya iliteswa na matendo ya kigaidi. Watendaji walikuwa magaidi wakatoliki na waprotestanti. Je, hii inatuambia nini kuhusu ukatoliki na upotestanti?
2) Kwa karne kadhaa walowezi wazungu walienea Amerika na Afrika hasa kusini. Wengi wa walowezi hao walikuwa wacha Mungu waliosoma Biblia kila siku. Walirejea hasa vitabu kama Yoshua na kadhalika walipoona amri ya kuteka nchi iliyokuwepo mbele yao kwa jina la Mungu Bwana na kuwaangamiza wale wenyeji waliotaka kuwazuia.
Je hii inatuambia nini kuhusu Biblia kama mwomgozo kwa ukatili na mauaji halafu Ukristo kwa ujumla?
3) Tukiangalia matendo ya akina AlQaida na Al-Shabab na kutazama wale waliouawa na kuteswa nao tunaona ya kwamba wengi walioathiriwa na ukatili wao walikuwa Waislamu - si wazungu wala Wamarekani wala wanajeshi wa magharibi bali Waislamu waliopinga namna yao ya kufundisha na kusoma Qurani na kupanga maisha ya kijamii.
Je hii inatuambia nini kuhusu Uislamu?
Kama unapenda kuchukua msimamo wa akina mgen na T1N1 na kuwatangaza hao AlQaeda kuwa "waislamu wa kweli" - unapata jibu eti Qurani ni kitabu cha ugaidi na imani ile vilevile.
Mimi sijali swali la "Uislamu wa kweli". Waamini jnsi wanavyotaka. Ila tu mimi sipendi utembelea kama kipovu na kubana akili yangu. Naona Waislamu walio wengi ni watu wazuri na watulivi wenye maadili mema. Wako tayari kuwasaidia wengine. Inawezekana bila shaka kushirikiana na kuishi pamoja nao. Na wale wenye tabia njema wanasoma Qurani ila tu kwa njia tofauti kuliko magaidi.
Mimi napenda kuishi pamoja na kushirikiana na Waislamu wote wenye maadili mema na utu (pia sipendi kukaa pamoja na Wakristo wakorofi).
Wandugu naomba mada hii isichukuliwe kama ya uchochezi BALI hoja mahsusi inayohitaji mjadala kwa mustakabali mwema wa dunia yetu!
Ugaidi umekua ni aina ya uhalifu na unyama wa hali ya juu duniani leo na unaogharimu sio tu maisha ya watu wasio na hatia bali pia unaohujumu na kukwamisha jitihada za mwanadamu yeyote kujiletea maendeleo.
Mbaya zaidi wanaopanga na wanaotekeleza unyama huu wamekua wakijitambulisha kwa Waislam wanaopigania ukombozi wa waislam na uislam.
. Maeneo yanayolengwa na unyama huo yamekua yakihusisha Ukristo kama vile makanisa na majengo ya biashara za wakristo lakini pia maeneo yanayomilikiwa au kuhudhuriwa sana na watu wa asili ya magharibi kwa sababu ya labda Ukristo wao. Na sasa unyama huu umepiga hatua zaidi kwa kulenga mtu mmojammoja kwa mfano kuwamwagia tindikali.
Tokea harakati za Osama hadi leo katlka unyama huu, neno Uislam na waislam haliko nyuma.
Juzi tumeshughudia watoto wakimiminiwa risasi kama mvua pale WEST GATE - Kenya baada ya kushindwa kujibu maswali kadhaa ya kupima uelewa wao wa masuala ya uislam! This is Pathetic.
Ipo mifano mingi tu ya aina na namna hiyo. Sisi waislam tunajua tunalo jukumu la kuhubiri na kuleta amani duniani!
Swali linaumiza vichwa ni:-
Je kwanini Uislamu na Waislamu kila siku ndani ya Ugaidi?
Asante kwa kuleta mada hii. Nakuomba usigadhibike pale watu wa dini nyingine watakapoibuka na kueleza hisia zao kuhusu uislamu. Mimi ni mmoja wa watu wanaoamini kuwa uislamu upo nyuma ya matukio ya ugaidi unaolenga wakristo. Kwenye mitandao kama hii baadhi mmejitokeza kueleza uzuri wa dini yenu na kwamba haya yanayoendelea yanafanywa na watu wasioujua uislamu. Waislamu mna umoja sana duniani kote. Mmekuwa mkitumia maandamano popote duniani kupinga vitendo msivyokubaliana navyo. Lakini mmekuwa kimya kwa hili la dini yenu kutumiwa kuhalalishia ugaidi. Hakuna maandamano wala kauli za kukemea waislamu wenzenu wanaofanya matendo haya. Hii inanifanya nihisi pengine ni maandiko yenu yafundisha hivi.
Wandugu naomba mada hii isichukuliwe kama ya uchochezi BALI hoja mahsusi inayohitaji mjadala kwa mustakabali mwema wa dunia yetu!
Ugaidi umekua ni aina ya uhalifu na unyama wa hali ya juu duniani leo na unaogharimu sio tu maisha ya watu wasio na hatia bali pia unaohujumu na kukwamisha jitihada za mwanadamu yeyote kujiletea maendeleo.
Mbaya zaidi wanaopanga na wanaotekeleza unyama huu wamekua wakijitambulisha kwa Waislam wanaopigania ukombozi wa waislam na uislam.
. Maeneo yanayolengwa na unyama huo yamekua yakihusisha Ukristo kama vile makanisa na majengo ya biashara za wakristo lakini pia maeneo yanayomilikiwa au kuhudhuriwa sana na watu wa asili ya magharibi kwa sababu ya labda Ukristo wao. Na sasa unyama huu umepiga hatua zaidi kwa kulenga mtu mmojammoja kwa mfano kuwamwagia tindikali.
Tokea harakati za Osama hadi leo katlka unyama huu, neno Uislam na waislam haliko nyuma.
Juzi tumeshughudia watoto wakimiminiwa risasi kama mvua pale WEST GATE - Kenya baada ya kushindwa kujibu maswali kadhaa ya kupima uelewa wao wa masuala ya uislam! This is Pathetic.
Ipo mifano mingi tu ya aina na namna hiyo. Sisi waislam tunajua tunalo jukumu la kuhubiri na kuleta amani duniani!
Swali linaumiza vichwa ni:-
Je kwanini Uislamu na Waislamu kila siku ndani ya Ugaidi?
Uislamu ni ugaidi hilo halina ubishi..Ugaidi ni imani yenye kumuabudu shetani ajulikanaye kam HUBAL ambaye ni mungu anayeabudiwa na waislamu wa leo kwa kuiga waarabu wa macca ambao humwabudu kwa kugusa paji la uso ardhini kuonesha ibada ya kuzimu,kwenda kwenye misikiti mara kadhaa kwa siku na kusali kuelekea ulipo mji wa makka..Kimsingi Hubal ni shetani ambaye alimwingia Mtume muhamadi SAW ambapo mtume hukiri kwenye quran kwamba alikuwa anaendeshwa na nguvu ya shetani(Google neno Hubal).Quraishi ambalo ni kabila la mtume walimfukuza baada ya kuchochea umwagikaji damu ili mungu mwezi aitwaye allah apate damu ya kunywa.Alama nyeusi kwenye paji la uso la muislamu ni chapa ambayo imeelezewa kwamba wamuabuo mnyama wa ufunuo watapigwa hivyo ugaidi ni ibada ya shetani iliyopandikizwa ktk uislamu na sio kweli kwamba uislam ni Amani hata kidogo.Islam=Submit.
La kujiuliza kwanza nani na wapi iliwahi kusikika kuwa kuna mkristo kajiua au kuua wengine
ili kutetea dini yake ya ukristo!!!!! ukiona hakuna jiulize Mungu ni wa upendo ndio maana alimuumba
mwanadamu,hawezi kufurahia mwanadamu mwingine amuue mwenzake eti kwa sababu ya kumtetea
yeye!!!huyu ni mungu wa dunia hii anayeitwa ibilisi au shetani ndiye anayefurahia kuona mwanadamu anatenda
dhambi kwa kuua au kujiua ili mpango wake wa kuwapeleka watu wengi motoni ufanikiwe.Ikumbukwe shetani
hana huruma na mwanadamu kabisa anafurahia kumuona anateseka;Ila ni ukweli ulio wazi kuna uhusiano mkubwa
kati ya ugaidi na uislam'