Islam and politics in Tanzania

Islam and politics in Tanzania

kawaida wakristu hushindwa kuelezea yale wanayoyaamini kwa mujibu wa system na mafundisho yao kama vile uwezo wa binaadamu kumuuwa Mungu etc.

Njia pekee ya kujipa 'temporary comfort' ni ku propogate mambo ambayo hayapo katika mafundisho rasmi ya Usialamu.

Kila mtu 1 kati ya 5 duniani ni Mwislamu, kama Waislamu wamefundishwa kuleta vurugu zisizo za msingi dunia ingekalika?

Unataka pia kupinga kuwa mapigano sasa hivi dunia nzima yanaendelea kwa waislam

Afghanistan
Iraq
Nijeria - boko haram
Indonesia
Filipino - kwa waislam wenye misimamo mikali ya ubakaji
SOmalia

na list inaendelea hadi kesho

Dini imejengwa kwa umwagaji damu - jihad.

Unategemea nini?
 
Watu zaidi ya milioni 55 wameuwawa na wakristu katika vita 2 ya dunia.

Kuna vita gani ambayo waislamu wameuwa zaidi ya idadi hiyo?

Pale Rwanda mulichinjana kama 1million hivi tena mpaka ndani ya makanisa yenu.

wanaongoza kuuwa ni akina nani.

Unadau unataka facts, can you handle those factual statistics?🙂
 
kumuuwa Mungu ni kitendo kitakatifu ili watu wapone ama ni dhambi?🙂

tungekuwepo wakati Mungu anapelekwa kusulubiwa tulitakiwa tushiriki ama tusishiriki? kwa nini?🙂
 
Hapa ndipo unaonekana kujichanganya kabisa.

Inaoneka hujui tofauti kati ya wakati uliopo na uliopita. Kinachoendelea sasa hivi ni kuchinjana misikitini kati ya faction za waislam kwa utetezi wa udini.

BTW -- ukirudi kuonesha kuwa waliouwawa katika vita ya pili ya dunia au rwanda na burundi waliuwawa kwa sababu ya dini zao utakuwa umeongelea facts.
 
kumuuwa Mungu ni kitendo kitakatifu ili watu wapone ama ni dhambi?🙂

tungekuwepo wakati Mungu anapelekwa kusulubiwa tulitakiwa tushiriki ama tusishiriki? kwa nini?🙂

Bado unasubiriwa kupaaza sauti yako na kukiri kuwa muhamad alikuwa bakaji lililokubuhu -- hii ni fact.

Uko tayari kwa hili?

Kumbuka tunaongelea facts hapa na sio imani
 
Kwani wewe dini yako inaruhusu kuuwa kwa ajili ya dini ama si dini na kukataza kwa ajili ya jingine?

Mimi kwangu kuuwa bila ya hatia ni kosa regardless kama mtu anasingizia dini ama siasa ama lolote lile.
 
kwa nini inakuwa shida kusema kama kumuuwa Mungu ni kitendo kitakatifu ama ni kosa wakati the whole concept of salvation kwa mujibu wa worshippers wa Yesu rests on that belief?🙂
 
Ndio maana nimekuambia mwanzoni kuwa kutumia kwako muda mwingi madrasa kunavuruga akili yako. Unajichanganya mno. Watu wanaongelea mauaji yanayofanywa na wasuni dhidi ya washia (wote waarabu lakini wanafuata mkumbo tofauti wa kiislam) wewe ukakimbilia kuleta mauaji ya vita ya pili ya dunia.

Ulitaka kuongelea facts -- uko tayari kuziongelea?

BTW --- unakiri kuwa kufanya tendo la ndoa na kitoto cha miaka 9 ni ubakaji?
 
Huongelea facts mzanganyika.

Jibu maswali -- kufanya tendo la ndoa na kitoto cha miaka 9 kunakofanywa na mzee wa miaka 40 (muhamed) ni ubakaji au sio?
 
kuoa aliye miaka 9 na amebalee halali

kuuwa Mungu ni utakatifu ama kosa?🙂
 
kuoa aliye miaka 9 na amebalee halali

kuuwa Mungu ni utakatifu ama kosa?🙂

Nimekuuliza swali rahisi linalohitaji jibu la yes or no

narudia tena ---

kufanya tendo la ndoa na kitoto cha miaka 9 ni ubakaji au la?
 
Ndio maana nimekuambia mwanzoni kuwa kutumia kwako muda mwingi madrasa kunavuruga akili yako. Unajichanganya mno. Watu wanaongelea mauaji yanayofanywa na wasuni dhidi ya washia (wote waarabu lakini wanafuata mkumbo tofauti wa kiislam) wewe ukakimbilia kuleta mauaji ya vita ya pili ya dunia.

Ulitaka kuongelea facts -- uko tayari kuziongelea?

BTW --- unakiri kuwa kufanya tendo la ndoa na kitoto cha miaka 9 ni ubakaji?

wangapi wameuliwa na crusaders? bring up the facts.

kwa nini hutaki tuhesabu mauwaji yote pamoja na muliowaua kwenye vita vya dunia?

kwa nini dhambi ya mauwaji muhimu kwako wakati Paulo amewafundisha kwamba dhambi zote ni sawa mbele ya Mungu.

Unaweza kukataa kwamba Paulo amewafundisha dhambi zote ni sawa mbele ya Mungu? yaani mwizi wa chupi ni sa na muuwaji mbele ya Mungu🙂

unaweza kukataa hilo?🙂
 
wangapi wameuliwa na crusaders? bring up the facts.

......🙂

unaweza kukataa hilo?🙂

Waliouliwa na crusaders wapi?

Unataka kusema kuwa vita ya pili ilikuwa ya crusaders au rwanda na burundi ilikuwa crusaders?

Kuwa muwazi ueleweke
 
hayo ni maswali mawili tofauti.

Crusaders-dini motivated

WW1 and WW2-probably not dini motivated

nimekupa instances 2.

nakuuliza-are all sins equal mbele ya Mungu kwa mujibu wa imani zako na dini yako?

nikiiba chupi kwenye duka la Pateli ni sawa na kuuwa albino?🙂

kwa nini hutaki kujibu kama ungeshiriki ama usingeshuriki kumuuwa Mungu wako kama ungekuwepo na kuona anapelekwa msalabani?

walioshiriki watukuzwe kwa kukamilisha salvation ya binaadamu ama walaaniwe kwa kumuuwa Mungu?
 
Angalau sasa umeanza kujibu maswali kidogo ingawa bado unachanganya mambo.

Turudi kwenye swali la msingi --

kufanya tendo la ndoa na kitoto cha miaka 9 ni ubakaji au sio?

Yes or NO ...

Nitakupa muda hapa kidogo ili ujibu swali hili.

Kisha wakati huo huo ukijianda kujibu swali la pili.

Bado unaamini kuwa watoto wa miaka 2 wanaweza kuolewa kwa vile tu wamebalehe?

yes or no?
 
akiwa amebalee anaolewa, kigezo sio miaka9 am 15. KIgezo hicho ni cha kwako. Siwezi kujibu kwa kigezo chako, nitajibu kwa kigezo changu.

swali lapili lina false premise kwa sababu ni mwendawazimu ti ndioye anayeweza kuamini mtoto wa miaka 2 anaweza kubalee.

na mimi mbona hunijibu.

kama mimi ningekuwa nimeuwa Mungu wako na unaamini kifo chake ndio salvation yako, ungenipenda ama ungenichukia?🙂
 
Inaonekana huna mpango wa kujibu hili swali ..

Unataka msaada au nafasi ya kupiga simu? unaweza kumpigia simu shehe boko haram akakusaidia.

Bado nakusubiria hapa hapa.
 
nimeshajibu, nimesema umri sio kigezo.

ukiulizwa mtu wa futi 3 utaoa it will not make sense kwa sababu kigezo chako sio urefu unless urefu ndio kigezo chako cha qualification of a wife, halikadhalika mimi kigezo changu ni biological maturity sio miaka-kwanza kuna watu wengine hawajui hata miaka yao. Kwa maana hiyo kama ana miaka 9 na amebalee nitaoa, kama hajabalee hata akiwa miaka 14 sioi.

nakuuliza-ningeuwa Mungu wako ungenipenda ama ungenichukia?🙂
kwa nini hujibu tu, kwa nini inakupa shida kujibu. You do not even have to say yes or no only, unaweza kujibu kwa urefu mradi nijue kama ungenipenda ama ungenichukia kama ningeuwa Mungu wako.
 
Longolongo kibao ambazo hazihusiani na swali unaloulizwa.

Narudia tena.

1. Kufanya mapenzi na kitoto kidogo cha miaka 9 ni ubakaji au la

Yes or No

Ukijibu hilo tunakwenda swali la pili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom