Islam and politics in Tanzania

Islam and politics in Tanzania

Longolongo kibao ambazo hazihusiani na swali unaloulizwa.

Narudia tena.

1. Kufanya mapenzi na kitoto kidogo cha miaka 9 ni ubakaji au la

Yes or No

Ukijibu hilo tunakwenda swali la pili.

kama amebalee ninaoa

kama hakubalee sioi.

majibu yangu mbona yako wazi tu. utata uko wapi?

NIngekuwa mimi ndio nimeuwa Mungu wako ili wewe upate salvation, ungenipenda ama ungenichukia?🙂
 
kama amebalee ninaoa

kama hakubalee sioi.

majibu yangu mbona yako wazi tu. utata uko wapi?

NIngekuwa mimi ndio nimeuwa Mungu wako ili wewe upate salvation, ungenipenda ama ungenichukia?🙂

Narudia tena swali, nitaandika taratibu ili uelewe:

1. Kufanya tendo la ndoa na kitoto cha miaka 9 ni ubakaji au la ?

Yes or No ?
 
hayo ni maswali mawili tofauti.

Crusaders-dini motivated

WW1 and WW2-probably not dini motivated

nimekupa instances 2.

nakuuliza-are all sins equal mbele ya Mungu kwa mujibu wa imani zako na dini yako?

nikiiba chupi kwenye duka la Pateli ni sawa na kuuwa albino?🙂

kwa nini hutaki kujibu kama ungeshiriki ama usingeshuriki kumuuwa Mungu wako kama ungekuwepo na kuona anapelekwa msalabani?

walioshiriki watukuzwe kwa kukamilisha salvation ya binaadamu ama walaaniwe kwa kumuuwa Mungu?

Mungu ni mungu mtakatifu na hachangamani na dhambi. Kuiba chupi na kuua mtu vyote ni dhambi mbele za Mungu na adhabu yake ni Jehanum ya moto. I realy wonder who do you think you are teaching God on how to scale sins? Yeye ameshasema ni mtakatifu na hachangamani na dhambi kipi kigumu kueleweka, Yes Ukiiba chupi na Ukiua mtu woote ni wenye dhambi na dawa ya wenye dhambi ni moja....

Lakini Mungu ni wa Rehema ndio maana akatengeneza njia ya kusamehewa dhambi zako ukiziungama na kuomba msamawa kwa kupitia Yesu, kama ukitubu kwa dhati na kujutia dhambi zako.. Atakusamehe.

Kuhusu swala la kushiriki kumuua Yesu Nisingeshiriki kwa sababu kuua ni dhambi.

Yesu alikuja ili afe kwa ajili ya ondoleo la dhambi za wanadamu. Swala la kwamba alikuja ili afe halimfanyi muuaji asiwe na dhambi kwa kitendo chake cha mauaji. Lakini kama wangetubia dhambi ya mauaji wangesamehewa kosa lao maana Hata Yesu mwenyewe alisema Mungu awasamehe kwa sababu hawakujua walilokua wanalitenda.

Kuhusu Crusader nafikiri nillishajibu hili swala labda nirudie. Crusade ilikua ni vita iliyopiganwa ulaya kuyakomboa maeneo ya Ulaya ambayo yalivamiwa na kutekwa na Wapiganaji wa kiislamu. Kama Vile Quran inavyosema katika sura 9:29

Quran Sura 9: Verse 29 Fight against those who (1) believe not in Allah, (2) nor in the Last Day, (3) nor forbid that which has been forbidden by Allah and His Messenger (4) and those who acknowledge not the religion of truth (i.e. Islam) among the people of the Scripture (Jews and Christians), until they pay the Jizyah with willing submission, and feel themselves subdued

Hawa jamaa walikua wanafuata maagizo haya ya Muhammad na wakateka Europe karibu yote. Ndicho kilichosababisha wakristo ku jiorganise na ku fight back kwa sababu ya uovu na uonevu wa hawa jamaa.

Crusader did so because they had no other alternative, they were fighting an enemy who was merciless forcing them to obey foreign gods. This is how crusade stated.

Kama unalaumu crusader, anza kulaumu walioanzisha vita hivyo

Nadhani Mzanganyika umejibiwa maswali yako......Any Question
 
Mzanganyika nasubiria jibu lako

wakati wimbo ule wa jeopardy ukiendelea sasa hivi
 
Mungu ni mungu mtakatifu na hachangamani na dhambi. Kuiba chupi na kuua mtu vyote ni dhambi mbele za Mungu na adhabu yake ni Jehanum ya moto. I realy wonder who do you think you are teaching God on how to scale sins? Yeye ameshasema ni mtakatifu na hachangamani na dhambi kipi kigumu kueleweka, Yes Ukiiba chupi na Ukiua mtu woote ni wenye dhambi na dawa ya wenye dhambi ni moja....
..Any Question

Mwizi wa chupi = muuwaji wa albino-🙂
kama dhambi zote ni sawa na mema je, yote ni sawa? Ukitoa sh1000 kusaidia na nikitoa sh1 wakati uwezo wetu sawa pia tunahesabika ni equal? 🙂

ama thawabu haina relevance kwa kuwa salvation is by kufa msalabani na sio vitendo?🙂
 
Soma jibu langu vizuri, maswali haya yamejibiwa

Hapa namsubiria amalize kusoma majibu yako kisha aanze kujibu maswali yangu.

Nimeagiza piza ya pili hapa maana maboko haramu hawa wanatakiwa kupata kile wanachokikwepa kila siku --- elimu.
 
Hapa namsubiria amalize kusoma majibu yako kisha aanze kujibu maswali yangu.

Nimeagiza piza ya pili hapa maana maboko haramu hawa wanatakiwa kupata kile wanachokikwepa kila siku --- elimu.

Hongera mkuu wee endelea na Piza na mimi namsubiria, akiibuka tu ninaye
 
Kuhusu swala la kushiriki kumuua Yesu Nisingeshiriki kwa sababu kuua ni dhambi.

Nadhani Mzanganyika umejibiwa maswali yako......Any Question

So is it fair to say salvation yako imepatikana kupitia dhambi?🙂

kwa nini usingeshiriki wakati yeye amekuja duniani kusulubiwa?

na waliokufa kabla ya Mungu kufa, wao walipona vipi?

Mwafrika alisema David baada ya kula mke wa mtu Mungu alimsamehe-je na yeye alikubali Mungu amekufa msalabani ili yeye asamehewe?

Mtoto aliyezaliwa leo munasema amerithi dhambi. Huyu hajui lolote kuhusu Mungu aliyemuumba kuuliwa na binaadamu, huyu salvation yake ikoje?
 
Mwafrika alisema David baada ya kula mke wa mtu Mungu alimsamehe-je na yeye alikubali Mungu amekufa msalabani ili yeye asamehewe?

Umeshaishiwa hoja sasa umeanza uongo. Nitakukamata vizuri kwenye hiyo statement hapo juu baadaye.

Narudi kwenye swali langu

1. Je ....... kufanya ...... mapenzi ..... na ......kitoto .... cha ..... miaka .... 9 .... ni ....... ubakaji?

Yes or NO
 
Umeshaishiwa hoja sasa umeanza uongo. Nitakukamata vizuri kwenye hiyo statement hapo juu baadaye.
Yes or NO

Ina maana hamukusema kwamba David alisamehewa?

Munasema musingeshirika kwa kuwa kuuwa ni dhambi, sasa kama Mungu kajileta mwenyewe ili auwawe na hiyo ndio salvation sasa kutomuuwa sio kwenda kinyume na mission yake?

Ama Mungu huyo huyo anayekataza mauwaji amawapa aliowaumba nguvu za kumuuwa ili wamuue na asamehe kupitia kitendo ambacho yeye mwenyewe amekikataza?🙂

Mbona Mungu huyu haeleweki, anakataza kuuwa lakini mwenyewe anajiulisha!!!🙂

wakati wa kusubuliwa alikuwa akiwaombea kwa nani wakati yeye mwenyewe ndio Mungu?

Luke 6:43
'For there is no good tree which produces bad fruit, nor, on the other hand, a bad tree which produces good fruit.For there is no good tree which produces bad fruit, nor, on the other hand, a bad tree which produces good fruit.'

Kama wauwaji wa Mungu walitenda dhambi sasa imekuwje katika mauwaji hayo imepatikana salvation wakati mti bomu hauwezi kuzaa matunda mazuri?🙂 Ama tafsiri yangu kwamba usafi hauwezi kupatikana kwa njia chafu ni batili?🙂
 
Ina maana hamukusema kwamba David alisamehewa?

🙂

Ha ha ha ... sasa hivi sio mwafrika amesema ila ni mumesema (wingi)?!

Inaonekana kwako mzanganyika uongo na ukweli viko karibu sana - matokeo ya kukaa sana madrasa kwa shehe boko haramu.

Narudi kwenye swali langu

1. Je ....... kufanya ...... mapenzi ..... na ......kitoto .... cha ..... miaka .... 9 .... ni ....... ubakaji?

Yes or NO
 
Ha ha ha ... sasa hivi sio mwafrika amesema ila ni mumesema (wingi)?!

Inaonekana kwako mzanganyika uongo na ukweli viko karibu sana -

Kumbe David hakusamehewa!!🙂 KUmbe David si msema kweli!!!

kwa nini hakusamehewa, kw akuwa hakuamini kwamba Mungu ana weza kufa ama kwa sababu nyingine?

swali la miaka 9 umeshajibiwa-kigezo ni kubalee ama kutobalee.

naona 'wizi story ya salvation' sasa unawashinda!!! maswali yangu hayajibiwi.
 
Swali liko specific - kubaka

Je ni ubakaji au sio ubakaji.

Natumaini this time utajibu
 
Swali liko specific - kubaka

Je ni ubakaji au sio ubakaji.

Natumaini this time utajibu

sio ubakaji.

wewe tapiga Mungu yako bakora ili wewe kwenda peponi?🙂

kwa nini ogopa chapa Mungu wakati Mungu iko kuja kwako ili mutu ichape na mutu iende peponi?🙂

Ile mitume naitwa Musa na ile moja naitwa David, ile mitume pia walipiga Mungu yao kwenda peponi ama ile mitume iko kwenda motoni🙂

Hii Mungu nashuka kuja kupigwa na kuuliwa na mutu wakati Mungu inakataza kuuwa iko nzuri sana-very good!!
 
Kumbe David hakusamehewa!!🙂 KUmbe David si msema kweli!!!

kwa nini hakusamehewa, kw akuwa hakuamini kwamba Mungu ana weza kufa ama kwa sababu nyingine?

swali la miaka 9 umeshajibiwa-kigezo ni kubalee ama kutobalee.

naona 'wizi story ya salvation' sasa unawashinda!!! maswali yangu hayajibiwi.

Uliona wapi mabinti wanabalee wakiwa miaka 9? Acha uongo wewe?
 
Uliona wapi mabinti wanabalee wakiwa miaka 9? Acha uongo wewe?

waulize madaktari wakuelimishe kuanzia umri gani mtu anaweza kubalee.

wewe ungeshiriki Kumuuwa Mungu ili upate salvation ama ungeogopa dhambi ya kuuwa amabo haina tofauti na dhambi ya kuipa chupi mbele ya Mungu?
 
Back
Top Bottom