Mkuu wewe ni mkweli ila unakosea katika ukosoaji wako.Dini ya uislamu inasema msiwapige wale wasio wapiga vita lau kama wanaleta hoja zao basi nanyi wapeni maibu kwa hoja wala msitumie lugha za kuudhi na matusi kwa sababu nyinyi mkiwatusi na wao watamtukana mola wenu mlezi.So kuna makundi kweli yanapigana na ukafiri ila sisemi kama ukristo ni ukafiri kwa sababu hata Allah anatambua kuwa wakristo(manaswara) wapo na wayahudi so ikiwa yeyote atakayekuwa si muislam akianza kuipiga vita uislamu hatuna budi nasi kujibu mashambulizi ya vita hiyo. Rai yangu ni kuwa hawa jamaa wanapigana jihadi wengi wao wanaleta siasa za kidunia katika dini ndio maana haipatikani suluhu yake asilani abadani.wewe ni muongo, tunaishi na waislamu na wanashabikia wakristo kuuawa eti ni makafir, Kwa hiyo uislamu ni ugaidi kabisa, si ndo nyie mkiuwa kafir Kwa kujilipua mnaenda peponi na kupewa wabikra 72 na juice tamu?
...magaidi mwanza wameua watu msikitini!! je uislamu unazungumzaje juu ya hili? kama wao wanafungamana na uislamu kwa nn wanaua mpk waislamu? je wakitega mabomu kwenye magari wanaokufa ni wakristo pekee? maswali haya jiulize ww Mkuu!!Hii imani kuitenganisha na ugaidi ni ngumu kwa sababu magaidi nao wamefungamana nayo.
.....mm sijalijua hata kundi moja lakiislamu linalopigana na makafiri na kama ww unalijua Mkuu nitajie!! makundi yote yanayopigana hivi sasa yameasisiwa na alqaeda hivyo ukisema yapo makundi yanapigana kweli dhidi ya makafir maana ake unatambua kuwa alqaeda wanachofanya ni sahihi!! wanazuoni wa kiislamu kutoka duniani kote wametahadharisha vikundi vya kigaidi! wamewataka waislamu wajiweke mbali na hivi vikundi kwani ni venye kuuchafua uislamu pia ktk hivi vikundi watu hawana maarifa ya dini (elimu) na ndo maana wanafikia mpk kuteka mabinti kuwasilimisha kwa lazma kisha kuwaoa kwa lazimaMkuu wewe ni mkweli ila unakosea katika ukosoaji wako.Dini ya uislamu inasema msiwapige wale wasio wapiga vita lau kama wanaleta hoja zao basi nanyi wapeni maibu kwa hoja wala msitumie lugha za kuudhi na matusi kwa sababu nyinyi mkiwatusi na wao watamtukana mola wenu mlezi.So kuna makundi kweli yanapigana na ukafiri ila sisemi kama ukristo ni ukafiri kwa sababu hata Allah anatambua kuwa wakristo(manaswara) wapo na wayahudi so ikiwa yeyote atakayekuwa si muislam akianza kuipiga vita uislamu hatuna budi nasi kujibu mashambulizi ya vita hiyo. Rai yangu ni kuwa hawa jamaa wanapigana jihadi wengi wao wanaleta siasa za kidunia katika dini ndio maana haipatikani suluhu yake asilani abadani.
mm nishawasema sana kweny mimbali msikitini ...mm ni sunni na nimesoma dini tofauti na wao wanaobeba misimamo bila ya elimu!!
.....acha kupotosha umma hao unaowataja ni wajinga tu kwanza hao dini yao haiendi kwa ilmu zaidi ya rai muislamu ni wajibu kwako kusoma dini ili uweze kutofautisha baina ya haqi na batwil!! Mkuu nitumie namba zako kwa pm nikutumie sauti za watu wenye elimu kubwa ya dini hasa masheikh wakisunni wakitahadharisha umma dhidi ya ugaidiWaislamu wapo wa aina mbili,kuna waislamu poa(makafiri) hawa ni waislmu wanye msimamo wa wastani;hawa hunywa pombe,huwa na urafiki na watu wa dini nyingine NK.
Kisha kuna waislamu wafia dini (waliookoka),hawa ndiyo wenye msimamo mkali wakiwemo alshabab,boko haram,Islamic state, al Qaeda N.K.Hawa hutumia aya za Qur'an na mafundisho ya mtume katika kupigania na kusambaza uislamu,hawa huwa hawana urafiki na mtu ambaye hana msimamo mkali wa kiislam kama wao.Kwao hakuna la maana sana zaidi ya kuirithi pepo ya Allah.
Waba matawi 4,Nasikia wamefungua tawi Tanzania pia!
pitieni kwenye hii thread mtapata faida kubwa sana
kufuga ndevu ni mafundisho ya mtume wetu!! hivyo kufuga ndevu kusihusishwe na ugaidi note thatHiyo ndio camp ya magaidi, ukifuga simba akikosa nyama atakutafuna wewe, wakati wenzao wanatengeneza pesa wao wanatengeneza magaidi nakufuga midevu! Na last week walisema oooh kuna bangili watavalishwa ili kutambua mtu wakati wa matatizo, nikawaambia hizo bangili zitakuwa zimetengenezwa mahususi kukamata magaidi kwasababu hapo ndio camp yao,ooooh we muongo, sasa yametimia je mi muongo?
Cc: mohamedi Said
Umenena vyema, ila wapo wengi hata kwenye namii zetu wenye itikadi kali kama za hao magaidi. Na wamejaa kila sehemu na madhumuni yao ni kutaka madaraka na kuona kuonewa kila sehemuAsalam Aleikum..!
Nasikitika kusema kuwa watu wengi hawajajua kuwa waislam ndo target kubwa ya magaidi. ISIS sio waislam kwa sababu hakuna muislam mwenye akili timamu atakayeweza kwenda kulipua Madina. Hii inadhihirisha wazi kwamba ISIS, Al Qaeda na wengineo wako after something else na sio kwa ajili ya dini.
Uislam ni salama na umejitenga mbali na upuuzi unaofanyika kwa jina la Uislam. Kwa akili ya kawaida tujiulize kwanini hao wanaojiita waislam wanalipua ndani ya misikiti, wanaua katika miji ya waislam?
Ndugi zanguni nawaombeni tuuweke Uislam mbali na upuuzi huu na tuwaone hao magaidi ni wapuuzi wasio na akili ambao wanafurahia kumwaga damu za watu wasio na hatia. Angalieni kule Syria hao ISIS wakiteka mji wanaua wanaume wote na kuwateka wanawake na kuwafanya watumwa wa ngono.
Mimi ni muislam na kamwe siwez kuwasaport wala kuwafurahia magaidi kwa sababu dini yangu hairuhusu unyama unaofanywa na Magaidi.
Wasalam
Wakati al qaeda ndo inapata umaarufu kukawa na msako wa kumkamata osama bin laden waislam wa msikiti wa magomeni waliandamana kulaani UKANDAMIZWAJI wa uislamu..na wengi mwanzoni mwa miaka ya 2000 waliwaita watoto wao osama. Leo wanalalama nn? Wakati kama ni kiki waliwapa wenyewe...mchimba kisima .......Naonaga post kama hizi pale ambapo waislam wameshambuliwa ila wamewateketeza na kuwatesa kinyama yazzids sijaona matamko kama haya.
Wamefanya mauaji Paris na kwingineko sijaona matamko kama haya zaidi waislam mmekua mkiwapa pongezi kwa kuwaua makafiri na kupigana jihad ya ala leo wanachezea kiwanja cha nyumbani povu jingi.
Shame.
Kwa hio ukristo unafungamana na utumwa na ubaguzi wa rangi ? Kule Afrika ya kusini kanisa lilikuwa linaisapoti serikali kwa sera zake , KKK nao ? Ama tusemeje ? Ulishasoma historia ya America ya kusini? Kanisa lilivyofanya machafu kule ? Anti balaka wa Jamhuri ya Afrika ya kati ?Uislam unafungamana na Ugaidi wewe unajisumbua tu kuutetea kila mtu anajua vikundi vya kiislamu vya kiuuaji vinavyofanya kazi ya kuua watu wasiokuwa waislamu.
mtu kitu Jifunze basi hata kuandika vizuri,fungua akili uone mbali siyo kubaki gizani.Kwa hio ukristo unafungamana na utumwa na ubaguzi wa rangi ? Kule Afrika ya kusini kanisa lilikuwa linaisapoti serikali kwa sera zake , KKK nao ? Ama tusemeje ? Ulishasoma historia ya America ya kusini? Kanisa lilivyofanya machafu kule ? Anti balaka wa Jamhuri ya Afrika ya kati ?
BAADHI YA WATU HUTUMIA MGNGO WA DINI KWA MANUFAA YAO.