ISIS yachagua kiongozi mpya

ISIS yachagua kiongozi mpya

Kumbe akili yako bado haijakuwa, silaha za kimarekani ni ngumu sana kuingia kwenye nchi za kiarabu, isipokuwa kama labda serikali yenyewe iziingize, hususan maeneo ambao wamarekani wana mission zao.
Marekani ndio aliwafadhili waasi waliokuwa tayari kupindua serikali za nchi zao kwa silaha na fedha katika kipindi cha vugu vugu la kuangusha serikali zao.
umejuaje kwamba silaha wanazotumia hao jamaa ni zamarekani tu na sio nchi nyingne?.
unaweza kuthibitisha hayo madai yko kwamba ni kweli sio assumptions tu?.
 
Kiimani Osama kafa ,lakini hamna ushahidi wa kisayansi (tangible evidence) ,yakutuonyesha Osama kafa.
Sasa swala ni kusadiki au kutosadiki ila mimi kwa imani yangu Osama yupo.
Kumbe unaishi kiimani
Basi sawa
 
Kumbe unaishi kiimani
Basi sawa
Wewe unaongozwa na imani,bila kupata ushahidi wa kushikika (tangible evidence).
Mwili wake hujauona,ila unaamini story zao,huoni kwamba ww unaongozwa na imani.
 
Je unaamini Trump yupo?
Na kama unaamini je ulishawahi kumuona?
Wewe unaongozwa na imani,bila kupata ushahidi wa kushikika (tangible evidence).
Mwili wake hujauona,ila unaamini story zao,huoni kwamba ww unaongozwa na imani.
 
... linapokuja suala la operesheni kali za kupambana na majitu yaliyoshindikana hususan magaidi ya kiislamu ni US na Israel pekee wanaoyapatia! Huwa wanayadungua moja baada ya jingine hadi yanaisha. Warusi bado sana kwenye "special operations".
....👍
 
Wakati huohuo Marekani imemtaja Urusi kwamba alikuwa na taarifa ya operation hiyo na akamshukuru sana...
Urusi kakataa kuhusika kivyovyote kwenye hiyo operation
Hahaha!

Ukifuatilia maelezo ya pande zote mbili kuna Possibilities kuu mbili;

MOSI: Kwa mujibu wa maelezo kutoka Urusi inaonesha kuwa Urusi haikufahamu na wala hawafahamu chochote kile kilichofanyika kabla ya taarifa rasmi kutoka. Nina maana kwamba muda wote huo walikuwa 'Gizani' kama akina Pelosi wasijue kinachoendelea mpaka ikulu ya Marekani ilipotangaza.

PILI: Kama Mission ilifanyika na ikafanikiwa kama jinsi inavyoelezwa na pia ukisikiliza kwa makini maelezo kutoka Urusi utagundua kwamba kwa namna moja ama nyingine walihusika katika kuufanikisha mpango huo. Kwa namna moja ama nyingine!!!

Why!
Kwa sababu, Urusi inadai kuwa ilikuwa ikifanya Monitoring eneo zima na kujihakikishia kuwa hakukuwa na shambulizi lolote lile la anga lililotendeka ama lililofanywa na Marekani siku hiyo ikiwemo pia kutopata taarifa yeyote ile ihusuyo shambulizi hilo.

Kwa Statement kama hiyo, Urusi inajaribu kukataa, kwamba Marekani haikufanya shambulizi hilo siku hiyo lililopelekea kifo cha kiongozi wa ISIS na Facts haziko Supportive sana na hoja hii kutoka Urusi.

Kama shambulizi lilifanyika basi inatupa picha kuwa kwa namna moja ama nyingine kulikuwa na Vulnerability ama upenyo ambao Warusi hawakuweza kuukabili kiasi cha kushindwa kujua kama kulikuwa na shambulizi. Ina maana kuwa, walifeli kimifumo kutambua shambulizi lililofanyika.

Na pia kama kweli walikuwa makini kiasi cha kutoruhusu upenyo wa mashambulizi, basi inawezekana kabisa walijua kuwa kulikuwa na shambulizi lakini hawakuchukua hatua zozote zile kinyume na shambulizi hilo kwa maana hiyo, kwa bahati mbaya ama kwa makusudi waliruhusu lifanyike na hapo ndipo ile Possibility ya pili inapojidhihirisha na ndiyo maana Trump akatoa shukrani kwa Urusi.
 
umejuaje kwamba silaha wanazotumia hao jamaa ni zamarekani tu na sio nchi nyingne?.
unaweza kuthibitisha hayo madai yko kwamba ni kweli sio assumptions tu?.
Bushmaster XM - 15, M16 rifle, M4A1, M40A3, M14EBR, M240, M249, M2, M62, FIM - 92Stinger MANPADS, BGM -71, FIM - 92 Hizo zote ni make za Marekani Na magari ni HMMWV (2300), MRAP, M1117, M113, M198 Howitzer.
Waarabu sio wanunuzi wakubwa wa silaha za kimarekani, sasa hizi silaha unafikiri walifikishiwa na nani kama sio marekani wenyewe?!
 
Mkuu.. black market inakupa kila kitu unachotaka, ni pesa yako tu,.
usikute ndani ya jeshi la korea kaskazin wanasilaha zilizotengenezwa marekani,pesa inakupa unachotaka.
 
... linapokuja suala la operesheni kali za kupambana na majitu yaliyoshindikana hususan magaidi ya kiislamu ni US na Israel pekee wanaoyapatia! Huwa wanayadungua moja baada ya jingine hadi yanaisha. Warusi bado sana kwenye "special operations".
Hii operation ni kejeri kwa Urusi, inaonyesha wadhaifu kwenye upelelezi, yaan pamoja na uwepo wao Syria wameshindwa tambua alipo huyu mbwa
 
... huyo mshenzi dawa yake mbwa tu; na asingejiwahi wangemrarua kweli huku jamaa wakichukua "mkanda". Ha ha ha! Kaona isiwe tabu na kishafika mwisho wa handaki likaamua kujiwahisha kuzimu! Jitu lenyewe mindevu gunia utafikiri mwanaume kweli kumbe bonge la coward! Kazi kudanganya vijana eti kwenda kupigana jihad! Harakati zake zooote za miaka na miaka amevuna nini so far?
USA hatari sana, yaani kwenye handaki walitumbukiza mbwa wenye mafunzo maalum kummaliza, alafu ujue USA ni noma mbwa walikua wanamfaham mlengwa, na amri ni kuua tu, walifaham ana milipuko kuofia wasipotezee komandoo hata mmoja ndio wakatumbikiza mbwa.
Mwenyezi Mungu wapumzishe mbwa wetu pema peponi
 
CHRISTIANITY = HOMOSEXUAL
Mhhh...! Hawa ni waturuki sheikh

Unataka kuwafahamu wengine zaidi?
download%20(2).jpeg
 
Mkuu.. black market inakupa kila kitu unachotaka, ni pesa yako tu,.
usikute ndani ya jeshi la korea kaskazin wanasilaha zilizotengenezwa marekani,pesa inakupa unachotaka.
Endelea kushikilia black market wakati silaha alipeleka mwenyewe marekani kipindi cha vugu vugu za kuwaondoa madarakani viongozi asiowapenda kwa kigezo cha demokrasia.
 
Endelea kushikilia black market wakati silaha alipeleka mwenyewe marekani kipindi cha vugu vugu za kuwaondoa madarakani viongozi asiowapenda kwa kigezo cha demokrasia.
nimekuomba uthibitisho wa dai lako,lakn hadi sasa ujafanya hivyo.
so, dai lako ni maneno matupu.
kama ni inshu ya silaha tu, nchi kubwa zote kwa sasa zimeigeuza middle east kama soko na sehemu ya majaribio ya silaha zao.
Rusia anauza silaha na kufanya majaribio ya silaha zake kila uchao uko middle east, iran nae pale anafanya yake vilevile na marekani pia yumo katka kundi ilo.
sasa kwanini wewe umeiona marekani tu?.

kwanini iwe marekani tu?
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom