ISIS yachagua kiongozi mpya

ISIS yachagua kiongozi mpya

Tuwekane sawa USA ana support kundi gani katika kumtoa Assad wa syria madarakani?????????
USSR na Uturuki wana m support Assad?au Uturuki yupo na USA?
Maana najua uasi syria ulianzishwa na kundi lililopata silaha toka USA

Uturuki anadeal na Wa Kurdi Tuuuuuuu
 
hujui unachoongea,hivi umewahi sikia raia wa urusi katekwa na magaidi? au kauwawa na magaidi,warusi ni hatari kuliko magaidi wenyewe...nchi za ulaya zinatambua hilo..
Hahahah warusi hawana pesa za kuzulula dunian pia hawana mashilika ya kuwafanya wawe watembez dunian.
 
Akina Al Baghdad ni waoga vibaya, wao ndio wa kwanza kurubuni vijana wafanye ugaidi ili wakifa wakapate mabikra 72 kwa allah lkn wao wakipigana kufa kupona kukwepa kifo.

Ona sasa, kabla ya kufa alivyotimua mbio huku akilia hovyo. Kama kweli huyo mungu wao wanayempigania angekuwa hai bila kuwa wa fiction, wangekuwa wanafaulu ktk uovu wao lkn kwa kuwa hayupo kamwe hawatakaa wafaulu.
 
USA hatari sana, yaani kwenye handaki walitumbukiza mbwa wenye mafunzo maalum kummaliza, alafu ujue USA ni noma mbwa walikua wanamfaham mlengwa, na amri ni kuua tu, walifaham ana milipuko kuofia wasipotezee komandoo hata mmoja ndio wakatumbikiza mbwa.
Mwenyezi Mungu wapumzishe mbwa wetu pema peponi
... noma sana Mkuu! Na huyo mbwa mwenye akili nyingi, aliyefundishwa akafundishika, kumzidi huyo al-Baghdadi hakudhurika. Hata majini aliyokuwa akiyafuga kama kinga hayakumsaidia dhidi ya mbwa zaidi ya kuishia kujilipua yeye na watoto wake wadogo watatu!
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Baada ya kiongozi wa aliyekua kundi la Daesh Abu Bakr al-Baghdadi kuuawa katika oparesheni ya Siri ya kijeshi iliyoongozwa na Marekani,hatimae kundi la kigaidi la ISIS au Daesh latangaza kiongozi wao mpya


=====

Daesh Reportedly Names New Leader Following US Operation to Eliminate Baghdadi


On 27 October, US President Donald Trump confirmed media reports that Daesh* terrorist group leader Abu Bakr al-Baghdadi died as a result of a US Special Forces operation in Syria's Idlib province.

Daesh has named a successor to Baghdadi following the US operation in Syria, Newsweek reported.

Abdullah Qardash (a.k.a. Hajji Abdullah al-Afari), who was earlier nominated by Baghdadi to run the group's 'Muslim affairs', is set to take over Baghdadi's position, according to the report.

Little is known about Qardash other than that he is a former Iraqi military officer who once served under late Iraqi leader Saddam Hussein, the report says.

Daesh leader Abu Bakr al Baghdadi was reported dead after the US military conducted a Special Operations raid in Syria's Idlib province. Reports were confirmed by Trump Sunday morning. Baghdadi reportedly died after detonating a suicide vest following a chase by US servicemen.

According to an unnamed regional intelligence official, Baghdadi's role as Daesh leader was largely symbolic at the time of his death.

*Daesh, also known as ISIS or ISIL, is a terrorist organization outlawed in Russia.

[/URL]


Mbona wamemsahau FaizaFoxy? Anazagaazagaa tu hapa mitaani wakati her people are dying.
 
nimekuomba uthibitisho wa dai lako,lakn hadi sasa ujafanya hivyo.
so, dai lako ni maneno matupu.
kama ni inshu ya silaha tu, nchi kubwa zote kwa sasa zimeigeuza middle east kama soko na sehemu ya majaribio ya silaha zao.
Rusia anauza silaha na kufanya majaribio ya silaha zake kila uchao uko middle east, iran nae pale anafanya yake vilevile na marekani pia yumo katka kundi ilo.
sasa kwanini wewe umeiona marekani tu?.

kwanini iwe marekani tu?
Middle east silaha za kirusi zipo tangu zamani, Tatizo za kiamerica wamepeleka wwnyewe waamerika, hapo uliposema kama wamepeleka silaha zao kwenda pia sawa, lakini sio swala la black market.
 
Na ILE KAZI INAYOFANYWA NA MAKASISI KULE ROME YA KULAWITI VIJANA NA KUMPA PAPA KAZI KUOMBA MISAMAHA KILA UCHAO PIA NI WATURUKI SIO?
Sio makasisi tu Sheikh, yale Walianzisha Waarabu Waislam

Wanaita SUNNA au Mambo ya Pwani kwa huku Bongo.

Unamjua. IMAM SHOGA aitwaye Daaiye Abdullah nwenye misikiti yenye waumin wengi zaidi Marekani?

Unamjua Immam Shoga aitwaye Nur Warsame ambaye yeye misikiti yake ina watu wengi zaidi Canada?

Unataka kuwafahamu zaidi yakhee?

download%20(2).jpeg
 
Middle east silaha za kirusi zipo tangu zamani, Tatizo za kiamerica wamepeleka wwnyewe waamerika, hapo uliposema kama wamepeleka silaha zao kwenda pia sawa, lakini sio swala la black market.
kwanini kwako kuwepo silaha za mrusi sio tatzo, ila tatzo ni silaha za marekani?.
au unataka kusema marekani inatengeneza silaha za kufanyia uhalifu tu, ila silaha za urusi ni kutengeneza amani tu?.
 
Hivyo visima vya mafuta vitakua chini ya uangalizi wa Marekani pamoja na hao wakurdi labda kama hukusoma hicho chanzo chako vizuri.

Kwahiyo tatizo lako ni Marekani kupigana na ugaidi?! Je una hakika kama USA ndie anawapa silaha Daesh,una ushahidi wowote kuthibitisha madai yako?! Unaweza kutuwekea hapa jukwaani kila mtu aone
Wapi nilikwambia tatizo langu ni USA kupigana na Ugaidi? au ndio kama kawaida yenu kupindisha maneno? Kuhusu USA kufadhili vikundi vya kigaidi, ni mjinga pekee ndie anaepinga hilo.

Kumbe unaelewa kama kila nchi inafanya liwezekanalo kulinda maslahi yake,kama utalifumbia macho hilo,basi wewe ni mjinga tu.
Ujinga ni pale unapoona ni sawa nchi moja kuivamia nchi nyengine kwa kisingizio cha kupigana na ugaidi, kumbe wakiwa na lengo la kuuza silaha na kubeba mafuta. Huu ni ujinga uliotukuka haswa. Maana hata Mwizi anakuja kukuiba nyumbani kwako kwa maslahi yake, bila shaka unaona ni kitendo cha haki hicho.

Yani Kenya ifadhili Al shabab ambao kila uchwao wanafanya mashambulizi na kuua mamia ya watu ndani Kenya,hivi inakuingia akilini kweli?! Unaweza kutuletea evidence kuthibitisha madai yako?!
Hivi nilikwambia Kenya wanafadhili Alshabbab au nilikutolea mfano kuwa IKIWA? wapi huelewi? Hivi kama Baba anaweza kumuua mwanawe, unashangaa Serikali kukutoa wewe kafara? 😀 You are a Joke really....

Hakuna mahali kwenye post yangu nimemmention Osama,bali Al Qaeda!
USA ilimtumia Osama kuidhofisha Soviet ili ishindwe vita kule Afghanistan. Bado tunarudi palepale kwamba ni maslahi tu hata China ilitumiwa na Marekani kuidhofisha USSR lakini leo hii China na Russia ya sasa ni marafiki wakati leo ni maadui kwa Marekani.
Hivi, Aliekuwa kiongozi wa Al qaeda nani? Unaazaje kutaja Al Qaeda halafu Osama asihusike 😀 You are trying to run away from the truth.

Nikufungulie kitabu kuhusu Osama?

By the way, how stupid you have to be mpaka unakiri mwenyewe kuwa USA anaweza kufadhili ugaidi ili apate maslahi at the same time unakataa kuwa USA hafadhili magaidi?

Marekani ipo pale kwa ajili ya interest zake na wananchi wake na wapo tayari kufanya lolote kuzilinda. Kama huyo gaidi angekua huru kwenye nchi husika(Taifa lake) unadhani angedanganyika na Marekani apigane na serikali yake?!
Interest za Wananchi? The same Wananchi who cry out for their loved ones to be returned from unnecessary wars? Unasikitisha sana, kumbe wewe ni mtu rahisi sana kuchezewa akili.
 
Sio makasisi tu Sheikh, yale Walianzisha Waarabu Waislam

Wanaita SUNNA au Mambo ya Pwani kwa huku Bongo.

Unamjua. IMAM SHOGA aitwaye Daaiye Abdullah nwenye misikiti yenye waumin wengi zaidi Marekani?

Unamjua Immam Shoga aitwaye Nur Warsame ambaye yeye misikiti yake ina watu wengi zaidi Canada?

Unataka kuwafahamu zaidi yakhee?

View attachment 1247750
Endelea kujifariji na Imamu wako huko US jamii yenu inaangamia,
Sasa kama wameanzisha waarabu kwani Hakuna waarabu Makafiri?
Btw nasisitiza endelea kujifariji hao uaowasingizia Nchi zao zina sheria ngumu mno, kama mzinifu wana mpiga mawe mpaka afe vipi shoga watamfanya nini.

Ona Makafiri mlivyo mwanzoni mwa mwaka huu Mfalme Bolkia Hassanal wa BRUNEI 🇧🇳 alitangaza kuwaua Mashoga .
Uliona Nchi za Makafiri walivyo riot?
Waweza nitajia Nchi moja tu yenye Muslim wengi kuanzia Asia mpaka Afrika ambayo iliwapinga ?
 
Endelea kujifariji na Imamu wako huko US jamii yenu inaangamia,
Sasa kama wameanzisha waarabu kwani Hakuna waarabu Makafiri?
Btw nasisitiza endelea kujifariji hao uaowasingizia Nchi zao zina sheria ngumu mno, kama mzinifu wana mpiga mawe mpaka afe vipi shoga watamfanya nini.

Ona Makafiri mlivyo mwanzoni mwa mwaka huu Mfalme Bolkia Hassanal wa BRUNEI [emoji1057] alitangaza kuwaua Mashoga .
Uliona Nchi za Makafiri walivyo riot?
Waweza nitajia Nchi moja tu yenye Muslim wengi kuanzia Asia mpaka Afrika ambayo iliwapinga ?
Waislam wanaita hiyo ni Sunna Yakhee

Kwa bongo wanaita mambo ya pwani.

Watunza tupu ya mbele ya mkeo kwa stars ya ndoa ila hiyo sunna yafanywa kinyumenyume.
 
Back
Top Bottom