YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,900
- 52,056
Ajiandae naye kuuawa .Marekani ikipigwa bunge lilipitisha miaka mingi iliyopita kuwa Yeyote anayeipiga Marekani Vita naye inatakiwa iende kwa kipindi Cha miaka 200 mfululizo non stop kwa mhusika na waunga mkono wake
Marekani ilishambuliwa na magaidi September 11,2001. Hadi Sasa hivi Vita ya kupambana na ugaidi ina miaka 18 tu akina Osama wameuawa,Al Baghdad na ,Gadafi wameuawa na Sadam Hussein kauawa na huyo mpya ajiandae sababu bado Kuna balance ya miaka 182 ya wamarekani kupigana na magaidi na waunga mkono wao mfululizo non stop