Ph-25
JF-Expert Member
- Nov 19, 2012
- 1,159
- 540
Bure kabisa wewe sasa kauliwa na nani apo.? Nimekwambia kuna tofauti kati ya kujiua na kuuwawa, haijalishi kulikua na operation inaendelea au la,ninani sasa alie mfyatulia risali au bomu huyo kamanda.?
Osama aliuliwa yes na alie mpiga shaba alipewa mpaka tuzo,sasa huyu kauliwa na nani.?
Osama aliuliwa yes na alie mpiga shaba alipewa mpaka tuzo,sasa huyu kauliwa na nani.?
Embu rudia tena kusoma hiyo screenshot uliyotuma,jamaa alikua anakimbia kukwepa kutiwa mbaroni..baada ya kufika mwishoni mwa handaki kaona hakuna namna akaamua ajitangulize mbele za haki.
Sasa swali je,bila hiyo operation angejiua?!