Hii ya USA kuwa finance AL Qaeda hata hillary clinton aliwai kulikubali kwenye moja ya interview zake they created osama ili kuivuruga Russia na walifanikiwaHata kama kuna dark web. Hebu fanya estimation ni kiasi gani zinahitajika kuendesha operation ya miaka 10? Hebu niambia huyo rais wao alokuwa Baghdad finance zake zikoje? Je Serikali kama USA haiwezi kutumia Dark web kuuza silaha?
Hivi mnakuwa mnashughulisha bongo zenu lakini au mnameza tu kila mnalolishwa?
Sasa kwa mfano nkuulize, mimi nataka kifaru, nimeingia dark web, nimekuta icho kifaru nikalipia. Sasa wewe unajiuliza, yule alokuuzia kifaru kakipata wapi? kimetengezwa na nani? ilikuaje kuaje mpaka kikafika mikononi mwake?
Zile ni Military equipments, tena sio AK47. Unafikiri kuna serikali itakwenda kumuuzia silaha mgeni wazi wazi ili achafue nchi yake na yeye afaidike? ofcourse atatumika 3rd party kufaniskisha hizi shughuli.
By the way, juzi tu hapo Yemen tayari kuna magari ya USA yamo mikononi mwa waasi. Magari hayo yaliuzwa kwa UAE na SAUDI, kila mmoja anajitetea kivyake.
Je unajua kuwa USA ndio waliokuwa wakifinance Al Qaeda?
Wake up
Marekani ndio vinara kwa ugaidi.Naomba kuuliza hapa:
1. Kwani ISIS alipata wapi silaha anazotumia sahv katika kufanya mipango yake?
2. Je Marekani alipotaka kuipindua serikali ya Assad aliwatumia kundi gani ambalo alilisupport kwa silaha na zana za kivita?
3. Je Saddam Hussein ni kundi gani ambalo lilipata support ya Marekani katika kumuondoa madarakani?
Kwahiyo ni USA anayefadhili hao magaidi?!Hata kama kuna dark web. Hebu fanya estimation ni kiasi gani zinahitajika kuendesha operation ya miaka 10? Hebu niambia huyo rais wao alokuwa Baghdad finance zake zikoje? Je Serikali kama USA haiwezi kutumia Dark web kuuza silaha?
Hivi mnakuwa mnashughulisha bongo zenu lakini au mnameza tu kila mnalolishwa?
Sasa kwa mfano nkuulize, mimi nataka kifaru, nimeingia dark web, nimekuta icho kifaru nikalipia. Sasa wewe unajiuliza, yule alokuuzia kifaru kakipata wapi? kimetengezwa na nani? ilikuaje kuaje mpaka kikafika mikononi mwake?
Zile ni Military equipments, tena sio AK47. Unafikiri kuna serikali itakwenda kumuuzia silaha mgeni wazi wazi ili achafue nchi yake na yeye afaidike? ofcourse atatumika 3rd party kufaniskisha hizi shughuli.
By the way, juzi tu hapo Yemen tayari kuna magari ya USA yamo mikononi mwa waasi. Magari hayo yaliuzwa kwa UAE na SAUDI, kila mmoja anajitetea kivyake.
Je unajua kuwa USA ndio waliokuwa wakifinance Al Qaeda?
Wake up
Kwa mwenye akili tayari atajifunza kitu hapo. USA ndio wanatengeza tatizo. Mfano mpya ni wajuzi tu, kamwacha solemba mkurdi.Hii ya USA kuwa finance AL Qaeda hata hillary clinton aliwai kulikubali kwenye moja ya interview zake they created osama ili kuivuruga Russia na walifanikiwa
Baada ya kiongozi wa aliyekua kundi la Daesh Abu Bakr al-Baghdadi kuuawa katika oparesheni ya Siri ya kijeshi iliyoongozwa na Marekani,hatimae kundi la kigaidi la ISIS au Daesh latangaza kiongozi wao mpya
=====
Daesh Reportedly Names New Leader Following US Operation to Eliminate Baghdadi
On 27 October, US President Donald Trump confirmed media reports that Daesh* terrorist group leader Abu Bakr al-Baghdadi died as a result of a US Special Forces operation in Syria's Idlib province.
Daesh has named a successor to Baghdadi following the US operation in Syria, Newsweek reported.
Abdullah Qardash (a.k.a. Hajji Abdullah al-Afari), who was earlier nominated by Baghdadi to run the group's 'Muslim affairs', is set to take over Baghdadi's position, according to the report.
Little is known about Qardash other than that he is a former Iraqi military officer who once served under late Iraqi leader Saddam Hussein, the report says.
Daesh leader Abu Bakr al Baghdadi was reported dead after the US military conducted a Special Operations raid in Syria's Idlib province. Reports were confirmed by Trump Sunday morning. Baghdadi reportedly died after detonating a suicide vest following a chase by US servicemen.
According to an unnamed regional intelligence official, Baghdadi's role as Daesh leader was largely symbolic at the time of his death.
*Daesh, also known as ISIS or ISIL, is a terrorist organization outlawed in Russia.
[/URL]
Hivi nimesema kauliwa wanajeshi au kauawa katika operation iliyoongozwa na Marekani?!Hiv unajus kuna tofauti kati ya neno kuliwa na kujiua.? Trump mwenyewe anasema jamaa kajiua wewe unasema kauliwa kati yako wewe na trump nani tumuamini.?
Ndio USA anafadhili magaidi na Waasi - Kwake yeye anatafuta kuweka kibaraka na kuuza silaha, na kama una mafuta basi ndio anayakimbilia. nakwambia, juzi tu Magari ya USA yamevuka boda Syria kuelekea kulinda VISIMA VYA MAFUTA (yana umuhimu kuliko wakurdi waliowamaliza ISIS).Kwahiyo ni USA anayefadhili hao magaidi?!
Kwani nimekataa kama wao wanafadhili Hizbollah? Ushawahi kusikia Iran inapigana na Hizbollah? Ushawahi kuiona iran ikifanya acting kwamba inapigana na magaidi huku wakiwapa silaha? 😀 Did you get the point?Mbona Iran inafadhili Hezbollah, Hamas,Houthi?!
Kila nchi hufanya ivo, ila ikiwa Kenya inavamia Somalia kwa kisingizio cha ugaidi wakati nyuma ya pazia kumbe wao ndio wanawafadhili wale magaidi kusudi wapate sababu ya kuivamia hio nchi, then wewe ukaambiwa wanapigana vita na ugaidi wakati kuna ukweli ambao unajulikana lakini ukaufumbia macho, basi wewe ni mjinga tu.Kila nchi inafanya kila liwezekanalo kulinda maslahi yake ikibidi hata kuvamia nchi nyingine.
Kweli wewe kumbe unalishwa habari ila huzitafuti. Yaani leo hii unauliza kama suala la Osama ni Radio tehran? Inabidi kwenye miaka hii hujui kama USA alimfadhili Osama apigane na mrusi ili mrusi asijekuimeza Afghanistan? DUH!Kuna ushahidi wowote usio na shaka ukionyesha wazi USA inasaidia Al Qaeda au ndo yaleyale ya Radio Tehran
Sasa kwa mfano wewe unajua kuwa kumbe wanafanya biashara ya Silaha. Sasa unaposapoti USA kumuuzia silaha "gaidi" ili achafue nchi yake kwa lengo la USA apate sababu ya kuivamia nchi hio na kuchota mafuta, unaona ni sawa?La mwisho Mkuu Duniani hamna usawa,Vita ni biashara kubwa. Unadhani Dunia ikiwa shwari/tulivu hizo silaha nani atanunua wakati kila uchwao watu wanawekeza mabilioni ya Dola kuunda silaha mpya na hatari zaidi.
Mbona waasi waliopindua serikali ya Yemen wanafadhiliwa na Iran?! Au Iran nayo ni nchi ya magharibi
Hivi nimesema kauliwa wanajeshi au kauawa katika operation iliyoongozwa na Marekani?!
Soma kwa makini
ISLAM = TERRORISM
Hivyo visima vya mafuta vitakua chini ya uangalizi wa Marekani pamoja na hao wakurdi labda kama hukusoma hicho chanzo chako vizuri.Ndio USA anafadhili magaidi na Waasi - Kwake yeye anatafuta kuweka kibaraka na kuuza silaha, na kama una mafuta basi ndio anayakimbilia. nakwambia, juzi tu Magari ya USA yamevuka boda Syria kuelekea kulinda VISIMA VYA MAFUTA (yana umuhimu kuliko wakurdi waliowamaliza ISIS).
Kwani nimekataa kama wao wanafadhili Hizbollah? Ushawahi kusikia Iran inapigana na Hizbollah? Ushawahi kuiona iran ikifanya acting kwamba inapigana na magaidi huku wakiwapa silaha? 😀 Did you get the point?
Kila nchi hufanya ivo, ila ikiwa Kenya inavamia Somalia kwa kisingizio cha ugaidi wakati nyuma ya pazia kumbe wao ndio wanawafadhili wale magaidi kusudi wapate sababu ya kuivamia hio nchi, then wewe ukaambiwa wanapigana vita na ugaidi wakati kuna ukweli ambao unajulikana lakini ukaufumbia macho, basi wewe ni mjinga tu.
Kweli wewe kumbe unalishwa habari ila huzitafuti. Yaani leo hii unauliza kama suala la Osama ni Radio tehran? Inabidi kwenye miaka hii hujui kama USA alimfadhili Osama apigane na mrusi ili mrusi asijekuimeza Afghanistan? DUH!
Sasa kwa mfano wewe unajua kuwa kumbe wanafanya biashara ya Silaha. Sasa unaposapoti USA kumuuzia silaha "gaidi" ili achafue nchi yake kwa lengo la USA apate sababu ya kuivamia nchi hio na kuchota mafuta, unaona ni sawa?
Utter Nonsense.hujui unachoongea,hivi umewahi sikia raia wa urusi katekwa na magaidi? au kauwawa na magaidi,warusi ni hatari kuliko magaidi wenyewe...nchi za ulaya zinatambua hilo..
Unakumbuka ni mara ngapi magaidi wameshambulia Russia ikiwemo Moscow Metro na pia wale watoto waliyouliwa na magaidi wa Kichechnia, labda ulikuwa bado mdogo.hujui unachoongea,hivi umewahi sikia raia wa urusi katekwa na magaidi? au kauwawa na magaidi,warusi ni hatari kuliko magaidi wenyewe...nchi za ulaya zinatambua hilo..
Na kuna kipindi walishapanga shambulizi pale St Petersburg kama sikosei, Russia walikua hawana habari mpaka wakaja kushtuliwa na CIAUnakumbuka ni mara ngapi magaidi wameshambulia Russia ikiwemo Moscow Metro na pia wale watoto waliyouliwa na magaidi wa Kichechnia, labda ulikuwa bado mdogo.
Israel
Mkuu mbona unataka tubishane kitotoKichwa chako wewe unaleta habari za udaku udaku unafikiria watu hawasomi,punguza mahaba ya kipuuzi,huyo kamanda kajiua hajauwawa na kima yeyote yule. Hata trump analijua hilo.View attachment 1247070
Embu rudia tena kusoma hiyo screenshot uliyotuma,jamaa alikua anakimbia kukwepa kutiwa mbaroni..baada ya kufika mwishoni mwa handaki kaona hakuna namna akaamua ajitangulize mbele za haki.Kichwa chako wewe unaleta habari za udaku udaku unafikiria watu hawasomi,punguza mahaba ya kipuuzi,huyo kamanda kajiua hajauwawa na kima yeyote yule. Hata trump analijua hilo.View attachment 1247070