ISIS (Islamic State), kulikoni?

ISIS (Islamic State), kulikoni?

Status
Not open for further replies.
Sio huko tuu bali popote duniani anachonganisha kwa mkono wa kushoto halafu mkono wa kulia anasuluhisha na wakati huo huo anafanya biashara ya silaha

Naomba kaka mshana uje na uzi kamili kuhusu hili kundi na utata wake kwa dinia
 
Ni Rahisi Kumlaumu Usa, Kwa Ugaidi Wa WaArabu. But Si Kazi Ya Wamarekani Kuwaaminisha Magaidi Kujilipua. Ni Jukumu La Serikali Za Waarabu. Unaweza Ukaona The Whole Ideology Ina Mizizi Middle East Pekee. Usa Wamegombana Na Russia Hatujawah Sikia Ma-suicidal Bombers Kutoka Kwao, Wabantu Tumefanywa Maskini Hata Kule SA Lakini Hatujawa Na Hii Ideology. So Kuitupia Lawama Usa Ni Kuionea. Iko Haja Ya Kutazama Wao Wana Gaidika Kwa Lengo Lipi
 
Hili kundi kwa hivi sasa linapigwa na MAREKANI, UINGEREZA, UFARANSA, URUSI, na SAUDI ARABIA.

UJERUMANI, AUSTRALIA na JORDAN zitajiunga na mashambulizi muda wowote kuanzia sasa.

Hoja yangu;

Ni wapi kikundi hiki kimepata nguvu hizi na kutishia dola kubwa za Dunia kiasi hiki?! Nani anawafadhili hawa jamaa?

taifa haramu (Israel) na marekani hao ndio wafadhili wakubwa
 
taifa haramu (Israel) na marekani hao ndio wafadhili wakubwa mno,then wakifuatia hao wengine uingereza,ufaransa na ujerumani
 
Ni Rahisi Kumlaumu Usa, Kwa Ugaidi Wa WaArabu. But Si Kazi Ya Wamarekani Kuwaaminisha Magaidi Kujilipua. Ni Jukumu La Serikali Za Waarabu. Unaweza Ukaona The Whole Ideology Ina Mizizi Middle East Pekee. Usa Wamegombana Na Russia Hatujawah Sikia Ma-suicidal Bombers Kutoka Kwao, Wabantu Tumefanywa Maskini Hata Kule SA Lakini Hatujawa Na Hii Ideology. So Kuitupia Lawama Usa Ni Kuionea. Iko Haja Ya Kutazama Wao Wana Gaidika Kwa Lengo Lipi

Mimi nina maoni tofauti hata kama wengine watakwazika. Siku jumuia za ki ISLAM watakapoacha unafki wa kuhubiri misikitini chuki na ulipizaji visasi ndipo dunia itakaposhudia kuisha nguvu kwa vikundi hivi.
Kinyume chake ndio vitu kama AL QAIDA, AL SHABAAB, BOKO HARAM, ISIS, UAMSHO nk

Pia nadhani kuna upotofu wa tafsiri ya neno JIHAD au wafia dini . Mahubiri haya yataendelea kuleta machafuko duniani kwani Mungu wetu ni moja na hatupaswi kumgombania kwa kila moja kudai haki zaidi.
 
Umesema sahihi kabisa. Na nia ni kuumaliza uislam kwa kuufanya uchukiwe na dunia kwa kuwalipa akina JIHAD JOHN kuchinja watu live na ku create hofu kuwa uislam ni chinjachinja.

Safi sana
 
I wonder if female jihadis get their 72 virgins, too? Does that make them dikes? Or, are there special male virgins for them? Or do they get virgin GOATS? Are they still eligible if they get shot with pig blood filled hollow points? Geez, so many questions?..
 
Umesema sahihi kabisa. Na nia ni kuumaliza uislam kwa kuufanya uchukiwe na dunia kwa kuwalipa akina JIHAD JOHN kuchinja watu live na ku create hofu kuwa uislam ni chinjachinja.

Jihad John hakutengenezwa na US Mkuu.
 
Kimsingi hapo kuna kitu tunatakiwa kukifaamu ambacho kinaitwa public security (ps).public security ni kitu kipana sana ambacho kama nikiamua kukizungumzia basi itanilazimu nifungue uzi wake.ila ntagusia kidogo tu.
Kuna mbinu nyingi ambazo viongozi huzitumia katika vipindi vya utawala wao.njia mojawapo ni problem- reaction_solution (prs).katika njia hii ya prs viongozi hutengeneza tatizo then husubili wananchi wafanye reaction then baada ya wananchi kufanya reaction viongozi huja kufanya solution. Lengo la njia hii ni viongozi kujivika sura ya ukombozi kwenye fikra za wananchi ili kuwafanya wananchi wawe na imani na viongozi wao na kuamini kuwa bila kiongozi/viongozi flani basi maisha yao hayaendi.sasa wananchi wakishafikia kwenye hatua hiyo viongozi huweza kuwatawala kwa uraisi mno na ivo kuweza kufanikisha agenda zao za siri.ikumbukwe kua kila kiongozi huwekwa madarakani na kikundi flani cha watu.sasa ni jukumu la kiongozi huyo kuweza kutimiza matakwa ya watu waliomuweka madarakani mara baada ya kupata uongozi.so kwa maana nyingine viongozi wengi ni viongozi vivuli kwani huwa pale kwa ajili ya kutimiza malengo ya mamasta zao kwani bila kufanya ivyo kiongozi huyo hutolewa madarakani ndani ya muda mfupi tu.nikiludi kwenye hoja ni kwamba isis,alkaida na makundi mengine sio vitu vigeni.alkaida ni kundi ambalo lilitengenezwa na wamarekani chini ya bwana mmoja ambae ndio master wa obama,kwa maana kuwa huyo jamaa ndio aliomuingiza obama kwenye siasa na kumdhamini kwa kila hatua tangu obama akiwa mwanafunzi.baada ya huyo jamaa kuanzisha alkaida chini ya cia alkaida waliendelea kutimiza matakwa ya viongozi wao.baada ya cia kutimiza malengo yao hawakuona aja tena ya kuwakumbatia alkaida so wakamwambia kibaraka wao osama afanye kama alivofanya 9/11.kwani sote twajua kua ile ilikuwa ni kazi ya marekani ili apate njia ya kuvamia mataifa yenye mafuta.so baada ya tukio lile wamarekani na dunia nzima wakaisi namna pekee ya wao kuwa salama ni kwa jeshi la marekani kupambana na ugaid.ndipo ile njia ya problem- reaction_solution ilipotumika.sasa kipindi cha alkaida kimeisha ndipo wamarekani wakipoamua kutengeza kikundi kingine ili kiwasaidie kutimiza malengo yao ya siri.ndipi wakaamua kutengeza isis chini ya cia ili kuidhoofisha siria na baadae kujisogeza mbaka russia kwa kutumia waasi wa chechinia.mrusi sasa alishausoma huo mchezo na ndo mana kaamua kuimaliza isis ikiwa siria ili baadae isije wapa tabu.kuhusu marekani kupambana na isis ni jambo la kizushi tu ila jamaa ndo mfadhiri mkubwa wa isis.
Naomba niishie hapa,
 
Hili kundi kwa hivi sasa linapigwa na MAREKANI, UINGEREZA, UFARANSA, URUSI, na SAUDI ARABIA.

UJERUMANI, AUSTRALIA na JORDAN zitajiunga na mashambulizi muda wowote kuanzia sasa.

Hoja yangu;

Ni wapi kikundi hiki kimepata nguvu hizi na kutishia dola kubwa za Dunia kiasi hiki?! Nani anawafadhili hawa jamaa?

Mambo haya yatawachanganya wengi sana kwa kuwa yanahusisha uelewa wa mambo mengi sana.Wengi wanajaribu kugusa juu juu tu lakini wanaacha mzizi.Huwezi kueleza jambo hili kwa ufasaha kama hujui nini chanzo cha mgogoro wa Syria,historia ya mataifa na vikundi(vinavyosemekana ni vya kigaidi) yanayojihusisha na mgogoro wa Syria na kwanini mataifa hayo yanajihusisha na mgogoro huo.

Ni ngumu sana kwa walio wengi kudadavua haya."The more things change,the more they stay the same".Kwa mtu mwelewa wa mambo haya,kama ataingia ndani sana(very very deep indeed) kuchanganua jambo hili atakuja kugundua kwamba ISIS=Israel Secret Intelligent System.Ha ha haaaa...nishachanganya watu hapa.

Hapo zamani za kale...palitokea....... ndipo Marekani akaunda vikundi kama vile Muslim Brotherhood,Alqaeda,ISIS nk.....malengo yao haya........ndio maana waliunda FED kama nguzo kuu ya kutimiza haya......sasa umiliki huu wa world natural resources......mambo yote haya ndiyo yatakayowawezesha kufikia NWO.

Ni historia ndefu sana,ndio maana nasema anayejua nusunusu hawezi kudadavua jambo hili kama inavyotakiwa.Vita vya kwanza na vya pili vya dunia ni mifano mizuri ya kujua uhusiano wa mataifa haya na kwanini leo hii yanafanya haya tunayoyaona.This is very big game which will only be understood by very few people.
 
Mkuu kivipi hawataisha? maana napenda sana michanganuo yako kwenye mambo ya kimataifa ivi wewe sio rais wa mioyo ya Watanzania mh Benard Kamilius Membe kweli sio wewe?

Wameenda europe kumultiply, usiempenda kaja
 
taifa haramu (Israel) na marekani hao ndio wafadhili wakubwa
Nikukumbushe tu kuwa Israel imekuwapo Mashariki ya kati kabla ya kuwepo Tanzania, Kenya, Marekani, Saudia, n.k.
Ina historia ya miaka zaidi ya 3000 na imekuwapo hapo.

Kama ni taifa haramu basi dunia ina mataifa haramu mengi likiwemo letu pendwa la Tanzania
 
sasa kama abraham alikua muiraq,maana yake wairaq wapo kabla israel haijakuwepo,ha ha ha,

mkuu tofautisha kiufalme cha israel cha enzi hizo na modern israel as a state,vitu viwili tofauti
 
sasa kama abraham alikua muiraq,maana yake wairaq wapo kabla israel haijakuwepo,ha ha ha,

mkuu tofautisha kiufalme cha israel cha enzi hizo na modern israel as a state,vitu viwili tofauti

Mkuu maisha yalianzia Iraq(Shinari).Pale ndipo Adam na Eva waliishi ndani ya bustani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom