ISIS (Islamic State), kulikoni?

ISIS (Islamic State), kulikoni?

Status
Not open for further replies.
Nisahihishe: kundi hili linapigwa na Syria, Iran na Urusi. Na linasaidiwa na Israel, Marekani, Uturuki, na Saudia.

Hili kundi kwa hivi sasa linapigwa na MAREKANI, UINGEREZA, UFARANSA, URUSI, na SAUDI ARABIA.

UJERUMANI, AUSTRALIA na JORDAN zitajiunga na mashambulizi muda wowote kuanzia sasa.

Hoja yangu;

Ni wapi kikundi hiki kimepata nguvu hizi na kutishia dola kubwa za Dunia kiasi hiki?! Nani anawafadhili hawa jamaa?
 
Umesema sahihi kabisa. Na nia ni kuumaliza uislam kwa kuufanya uchukiwe na dunia kwa kuwalipa akina JIHAD JOHN kuchinja watu live na ku create hofu kuwa uislam ni chinjachinja.

Wewe ndiyo nyumbu kabisa hujielewi,Unasukumwa nyuma na imani yako mfu,Yenye uchu na damu za wasio na hatia.
 
. . . . . .
 

Attachments

  • 1449313888914.jpg
    1449313888914.jpg
    22.9 KB · Views: 172
teh teh teh

this is what we call problem-reaction-solution method or simply helegianism

they had created the problem,(islamic state),so now they just offer the solution for problem they inveted

the main goal is to establish the so called NEW WORLD ORDER or Master plan of the age,but before that, they have to reduce 60% of world population especially in middle east and africa

and that is what they do right now!!!
 
Umesema sahihi kabisa. Na nia ni kuumaliza uislam kwa kuufanya uchukiwe na dunia kwa kuwalipa akina JIHAD JOHN kuchinja watu live na ku create hofu kuwa uislam ni chinjachinja.

I second you brother!

what we see now is just accomplishment of Albert pike's vision for WW3

hatua ya kwanza ni kutengeneza chuki kati ya wakristo na muslims

hatua ya pili ni kutriger vita kwa kutumia uhasama uliopo kati ya wapalestina na jews

hatua ya mwisho,ni kuhamasisha nyumbu waliobaki(kina abdul na john)kupigana wao kwa wao,especially Africa

they just fool the fools...damn!!!
 
Marekani haingi mkono is ,hiyo hoja imetokana na kitendo cha western kununua mafuta yao bila kujua wanawapa nguvu,sasa hv wamepata nguvu na kuwa hatari ndo manaake wameamua kubomoa hivo visima ,acheni propaganda uchwara
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom