ISIS: Habari, picha na maelezo

ISIS: Habari, picha na maelezo

Dunia ya leo binadamu hutenganishwa,kwa fikra na kila kitu...

Binadamu wengi hawaijui ukweli,huishia kuangalia media za ulaya tu nakuamini wayaonayo huko nakuyasikia tu huko..

Binafsi mimi ni mkristo tena wa R.C,ila siamini kwamba uislam ni dini ya vurugu kama wahuni wanavyotaka niamini,siamini kama Israeli anahaki yakuua watoto na mama zao eti ni taifa la Mungu, siamini eti ili niende mimi kama mkristo nilazma nitetetee ujinga,ukatili na n.k wakiyaudi.

Ninachoamini ni hiki....

Nchi za Magharibi zilizohasi dini nakujivika ushetani hupenda kuchonganisha wanadini (wakristu kwa waislam) ili kuleta vurugu yakudumu duniani,itakayowasaidia kufanya yao kama kukwapua mali na n.k ili kujineemesha tu....

Narudia tena,ukristo na uislam ni dini za amani,ila wazungu na vibalaka wao hawapendi wanadini tuishi kwa amani.

Mkuu umesema ukweli hapa.
Na kuna watu wanalipwa hela mbuzi sana kufanya kila mzungu anachokitaka.
Mfano hai ni hawa waafrika wenzetu njaa km huyu TanzaniaLaw na mumewe Ishmael.
Hawa ni katika wale vibaraka wenye kutumwa kwa kupewa hela ya kula tu kuwakashifu waafrika wenzao na kuwatukuza wazungu usiku mchana.
Hata wake za wazungu hawafanyi bidii kama huyu jamaa.
Alikuwa na kesi kubwa ya Utapeli pamoja na baadhi ya watu wa familia yake jamaa wanasema alitupwa ndani miaka kadhaa lkn alipotoka akawafuata hao hao wazungu na kuwaapia kuwa atafanya kila wakitakacho.
We kama huniamini tazama nyuzi zake uone. Yaani kama mke mjane. anahaha kila kona kukashifu watanzani na kuwaletea Uchonganishi wa kike.
Ni bahati tu kuwa watanzania wengi sasa wana Busara kuliko mapashkuna kama huyu la sivyo watu wangeisha umizana.
Halafu ukitaka kujua huyu ni nyoka basi mtazame anavyojificha.
Sura yake anajua akiitoa tu wapenda amani watamuweka katika ukurasa wa kwanza na jisura lake limechanuka nyakanyaka.

Sikia mapovu yake sasa ili uamini nini nasema.
Watu wanafiki kama hawa wakifa hata ndege wa mwituni wanashukuru.
 
Last edited by a moderator:
A new video from the Islamic State in Iraq and the Levant (ISIL) purportedly shows the group killing captured Ethiopian Christians in Libya.

The 29-minute video released online on Sunday shows two groups of dark-skinned captives. It says one group is held by an ISIL affiliate in eastern Libya and the other by an affiliate in the south.

A masked fighter delivers a long statement before the video switches between footage of the captives in the south being shot to death and the captives in the east being beheaded on a beach.

It was not immediately clear who the captives were.

The video bore the official logo of the ISIL media arm Al-Furqan and resembled previous videos released by the group.

Source :
Aljazeera
 
Islam is terrorism. Kill the infidels and go to heaven where several wives will be waiting as a reward.
 
Islam is terrorism. Kill the infidels and go to heaven where several wives will be waiting as a reward.

they always misuse their teachings. the quran clearly specifies that do not fight a man who does not fight you, and that do not be the first to strike, let the enemy strike you first.
 
The footage released online shows one group of about 12 men being beheaded by armed men on a beach and another group of at least 16 being shot in the head in a desert area.
It was not immediately clear who the captives were.
The video bore the official logo of the ISIL media arm Al-Furqan and resembled previous videos released by the group.
A text on the screen identifies the men as "followers of the cross from the enemy Ethiopian Church".
Source: ISIL claims massacre of Ethiopian Christians in Libya - Al Jazeera English
 
Marekani na Ulaya walivyomtoa Gaddafi na kuamua walidhani wamemaliza kila kitu hayo ndiyo matunda yao Wakirsto zamani walikuwa wanaishi vizuri tu nchini kwao Libya.
 
Marekani na Ulaya walivyomtoa Gaddafi na kuamua walidhani wamemaliza kila kitu hayo ndiyo matunda yao Wakirsto zamani walikuwa wanaishi vizuri tu nchini kwao Libya.

Kunyongwa kwa Saddam, kuuawa kikatili kwa Gaddafi na vita vinavyofadhiliwa na mataifa ya magharibi ya kuiangusha serikali ya Syria inayoongozwa na Assad vimepelekea kuzaliwa kwa jini linaloishi kwa damu zawatu- ISIL. Jibu rahisi ni kuilaumu ISIL, Jibu la suluhu na kudumu ni kushughulika na anaesababisha uzawa wa majini wala watu. Nchi za asali na maziwa sasa zinatiririshwa damu, wala hakuna aliesalama.
 
Wana JamiiForums mtanisamehe nimeshindwa kuweka picha ya ramani ya dunia kuonesha jinsi watu wanavyohamia Syria kwenda kupigana.

Imenibidi niweke link halisi, mwenye uwezo atusaidie kuweka vizuri.

Kwa kuangalia hiyo ramani.

Je,tuseme ndio mwisho wa dunia?

Je, kuna nini hasa kinachowavutia watu kwenda mdomoni mwa simba?

Cha kusikitisha ni all western countries plus Israel kuna wapiganaji wamekwenda, kwa kweli binafsi limenishtua.

Foreign fighters flow to Syria - The Washington Post
Hawa watu wooote watakuwa wanaunganishwa na lugha gani? kiarabu ama?

foreignFighters-Jan14-GS.jpg
 
Marekani na Ulaya walivyomtoa Gaddafi na kuamua walidhani wamemaliza kila kitu hayo ndiyo matunda yao Wakirsto zamani walikuwa wanaishi vizuri tu nchini kwao Libya.

Pamoja na ukweli kuwa mataifa ya magharibi si waislam na Gaddafi alikuwa muislam, waliomuua hawakuzukumwa na udini.bali walisukumwa na uroho wa mafuta na pia kudhoofisha vuguvugu la palestina. kumbuka mataifa kama saudia ambayo ndio kiini hasa cha uislam waliunga mkono ukatili ule. mfano mwingine ni wakati saddam alipokuwa akishambuliwa na hatimae kunyongwa Saudia iliunga mkono na kusherehekea lakini baba wa taifa hili mwl. Nyerere alipinga vikali ubabe wa mataifa ya magharibi. Sidhani kama kuna chembe ya udini.
 
Hawa watu wooote watakuwa wanaunganishwa na lugha gani? kiarabu ama?

Halafu naona asilimia kubwa sana wametokea kwenye nchi zinazoamini utawala wa mtume na kitabu chake...

foreignFighters-Jan14-GS.jpg

------ kuropoka Ni jadi yenu.
Kwa kutokuwa na Elimu kwako unasahau kuwa Wapiganaji wengi wa ISIL wanayokea Mataifa Ya Magharibi sehemu ambayo UKRISTO umeanzishwa.
Kila siku Watu wa Ulaya zaidi ya 50 wanasafiri na Kwenda Kujiunga Na ISIL.
We Kukaa kwako uswahilini Huna moja wa kumi na moja.
Kazi yenu kuwapigia vigelegele MAKASISI WANAOLAWITI WATOTO WADOGO MAKANISA.
Wanyama wabaya sana nyie.
 
Hawa watu wooote watakuwa wanaunganishwa na lugha gani? kiarabu ama?

Halafu naona asilimia kubwa sana wametokea kwenye nchi zinazoamini utawala wa mtume na kitabu chake...

foreignFighters-Jan14-GS.jpg

Ficha UPUMBAVU wako Onyesha Busara wakati unaandika.

Hio ripoti inaonyesha Wapiganaji zaidi ya 1600 wametokea mataifa ya Magharibi.
UINGEREZA Peke yake wametoka 600. Sasa nikuulize we usia na elimu
England au United kingdom wanaongea Kiarabu?
 
Pol Pot, umepanik mkuu..
angalia usije ukajidhuru sababu yangu
 
Last edited by a moderator:
Pol Pot, umepanik mkuu..
angalia usije ukajidhuru sababu yangu

Nijidhuru kwa ujuha wa mkafiri.
We kweli una busara.

Hivi kwanini wengi wenu hamjishughulishi Kujifunza Uhalisia?
Uhodari wenu umeishia Kwenye Kubaka na Kulawiti tu!

Unaona Statistics mbele ya Macho yako halafu unaufungia macho na Kiandika Uharo hapa
Yaani huwa nashindwa kabisa kuwashangaa nyie WAKRISTU.

Unaomuna Kabisa Nguruwe machoni pako halafu ukiulizwa Huyo ni nani unasema Huyo ni mbuzi tena Mtamu.!!!!

Hii ni laana? Au mtandao wa ubongo?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom