Kichwa Ndio Mtu
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 3,079
- 1,719
We lzm useme hivyo.
Mwanamme kukamata silaha na kujitetea kwenu nyie wagalatia ni Ushetani lkn mwanamme Kufunga ndoa na mwanamme mwenzake ndani ya kanisa ni baraka za bwana na uokovu. Haleluyah.
Sasa hata nikwambie nini we kweli utaweza kuelewa?
We ukimuona Abdul Kashika bunduki kutetea haki zake unamtukana matusi yote lkn Joseph akimuoa John we unawarushia maua na kuwaimbia "aanamelemeeta!".
Laana lzm iwashukie. We kaa mkao wa kula tu.
Kuuwa watu ndio kujitetea? kama unajitetea kwa nini usitafte wabaya wako badala yake unaenda kuuwa wasio na hatia wakiwa msikitini au kanisani au shuleni, huo ni uoga na upungufu wa akili maana anaejitetea hutafta wabaya wake na sio wasio na hatia.
Jambo lingine kwa hiyo mnahalalisha mauaji kisa wakristo wanaruhusu wanaume kuoana, kwa hiyo mwanaume kuoa mwanaume mwenzake =Kifo kwenye uislam? Hii ni dini ya ajabu kwa kweli.
Wanaume wakioana wewe inakuhusu nini, maana kama ni dhambi wamemtendea mungu kwa nini msimuachie mungu mwenyewe ashugulike nao,wewe inakuhusu nini,wewe ni mungu?kwa ni ni ufanye kazi ya mungu au mungu huyo hawezi kufanya kazi yake ni [FONT=arial, sans-serif]incapacitated?
Mungu asie weza kufanya kazi yake mwenyewe na kutegemea watu wamfanyie mimi simtaki na hawezi kua aliniumba, angekua ameniumba angeweza kufanya kazi yake mwenyewe.
[/FONT]