I can bless whoever I want to bless.TanzaniaLaw
Your comment is what it is known as religion propaganda to hide evident world responsibility.
Dunia ya leo binadamu hutenganishwa,kwa fikra na kila kitu...
Binadamu wengi hawaijui ukweli,huishia kuangalia media za ulaya tu nakuamini wayaonayo huko nakuyasikia tu huko..
Binafsi mimi ni mkristo tena wa R.C,ila siamini kwamba uislam ni dini ya vurugu kama wahuni wanavyotaka niamini,siamini kama Israeli anahaki yakuua watoto na mama zao eti ni taifa la Mungu, siamini eti ili niende mimi kama mkristo nilazma nitetetee ujinga,ukatili na n.k wakiyaudi.
Ninachoamini ni hiki....
Nchi za Magharibi zilizohasi dini nakujivika ushetani hupenda kuchonganisha wanadini (wakristu kwa waislam) ili kuleta vurugu yakudumu duniani,itakayowasaidia kufanya yao kama kukwapua mali na n.k ili kujineemesha tu....
Narudia tena,ukristo na uislam ni dini za amani,ila wazungu na vibalaka wao hawapendi wanadini tuishi kwa amani.
SirChief
People need to understand that modern day Israelis do not have any connection to the Israelites of old.
You are talking about stolen identity. Read the evolution of civilizations and also tragedy and hope by prof. carroll quigley, it will help you.
Dunia ya leo binadamu hutenganishwa,kwa fikra na kila kitu...
Binadamu wengi hawaijui ukweli,huishia kuangalia media za ulaya tu nakuamini wayaonayo huko nakuyasikia tu huko..
Binafsi mimi ni mkristo tena wa R.C,ila siamini kwamba uislam ni dini ya vurugu kama wahuni wanavyotaka niamini,siamini kama Israeli anahaki yakuua watoto na mama zao eti ni taifa la Mungu, siamini eti ili niende mimi kama mkristo nilazma nitetetee ujinga,ukatili na n.k wakiyaudi.
Ninachoamini ni hiki....
Nchi za Magharibi zilizohasi dini nakujivika ushetani hupenda kuchonganisha wanadini (wakristu kwa waislam) ili kuleta vurugu yakudumu duniani,itakayowasaidia kufanya yao kama kukwapua mali na n.k ili kujineemesha tu....
Narudia tena,ukristo na uislam ni dini za amani,ila wazungu na vibalaka wao hawapendi wanadini tuishi kwa amani.
Hata mimi nachukia sana ukatili wa Waisraeli halafu bethlem ndiko alikozaliwa Yesu hivyonilitegemea kupata watu wapole na wanamuogopa mungu lakini imekuwa kinyume chake lakini nawachukia waislamu makatili kama Alqaida,bokoharam na alshaababu hasa wanapoua watu kwa jina la mtume wao.
Ni Kweli hawa ISIS Wabaya sana wanachinja watu ovyo bila ya sababu.Hawa ISIS kweli ni wabaya mpaka huyu malaika mtoto mdogo asiyejua dhabi ni nini anaamua kupambana nao?
Runinga nchini Iraq imeripoti kuwa Izzat Ibrahim al-Douri, ambaye wakati mmoja alikuwa makamu wa Rais Saddam Hussein na mmoja wawaanzilishi wa kundi la Islamic State nchini Iraq, ameuawa.
BBC bado haijapata taarifa rasmi ya kuthibitisha kifo chake, lakini picha na maelezo kuhusu kifo cha Bwana Al Douri imeripotiwa pakubwa.
Iwapo taarifa hiyo ni kweli, kifo chake kitakuwa hatua kubwa kwa serikali ya Iraq dhidi ya makundi ya Jihadi.
Al Douri ambaye daima ana masharubu mekundu, alikuwa mfalme katika kilabu kwenye kadi zilizotolewa ili kusaidia majeshi ya Marekani kutawambua wanachama katika utawala wa Saddam Hussein, mnamo mwaka 2003.

Ha ha ha, kuna aina fulani ya watu hapa, wao watasikia vibaya. Kisa kafa ISIS.Tutakufa wote ila huyu ni laana kwa dunia atangulie tu.