Isingekuwa Mbowe CHADEMA kingekuwa madarakani tangu 2015

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
24,143
Reaction score
56,407
Kahujumu maridhiano mengi kwa faida binafsi akishirikiana na aliyekuwa Mkurugenzi wa chama Jon Mrema na wenzake waliokimbilia CHAUMMA.

Kwenye uchaguzi wa 2015, ulikuwa ni mpango wa Mbowe kumweka Lowassa kugombea urais dakika za mwisho bila mchakato wowote ili kuzima nguvu ya Dr. Slaa aliyokuwa nayo.

Kavujisha siri za chama nyingi sana kwa maslahi yake vinginevyo leo Chadema kingekuwa chama tawala.

Kwangu January 21, 2025 ni siku ya ukombozi kwa CHADEMA. CCM iliumia sana Mbowe kushindwa uchaguzi na Lissu kuwa mwenyekiti.

Lissu aliongoza Chadema kwa takribani miezi 2 tu akiwa uraiani kabla ya kukamatwa na hadi leo anakiongoza chama akiwa mahabusu.
 
Kwenye uchaguzi wa 2015, ulikuwa ni mpango wa Mbowe Lowassa kujiunga Chadema na kugombea urais dakika za mwisho bila mchakato wowote ili kuzima nguvu ya Dr. Slaa aliyokuwa nayo.

Kavujisha siri za chama nyingi sana kwa maslahi yake vinginevyo leo Chadema kingekuwa chama tawala.

CCM iliumia sana Mbowe kushindwa uchaguzi na Lissu kuwa mwenyekiti. Lissu aliiongoza Chadema kwa takribani miezi 2 tu akiwa mkiti kabla ya kukamatwa na hadi leo yupo mahabusu.

Kwangu January 21, 2025 ni siku ya ukombozi kwa CHADEMA.
Unaamini kabisa CCM wangemuachia Slaa ashinde! Safari kweli bado ndefu.

Amandla...
 
Mbowe yuko nyuma ya uhuni wa Covid 19 kuingia bungeni. Alishirikiana na Salim Mwalimu, John Mrema, Kigaila nk. Na kundi hili ndio lilikimbilia Chauma likidhani litafanikiwa kuifubaza cdm kwa malipo toka ccm.
 
Wakati wa Mbowe, Husna Said alikataa kabisa bendera ya chama chake isishushwe katika ofisi zao zilizokuwa Chato. Alikubali kuwekwa ndani mradi bendera haishushwi.

Juzi tumeona watu ngangari wa Chadema wakiangalia tu wakati bendera za chama chao zikishushwa. Walichoweza kufanya ni kukimbilia huku kulalamika.

Mbowe alikuwa na wapambanaji ambao walikuwa tayari kwa chochote.

Cha kujiuliza ni nini kimewapata wakina Husna?

Amandla...
 
Kahujumu maridhiano mengi kwa faida binafsi akishirikiana na aliyekuwa Mkurugenzi wa chama Jon Mrema na wenzake waliokimbilia CHAUMMA.

Kwenye uchaguzi wa 2015, ulikuwa ni mpango wa Mbowe kumweka Lowassa kugombea urais dakika za mwisho bila mchakato wowote ili kuzima nguvu ya Dr. Slaa aliyokuwa nayo.

Kavujisha siri za chama nyingi sana kwa maslahi yake vinginevyo leo Chadema kingekuwa chama tawala.

Kwangu January 21, 2025 ni siku ya ukombozi kwa CHADEMA. CCM iliumia sana Mbowe kushindwa uchaguzi na Lissu kuwa mwenyekiti.

Lissu aliongoza Chadema kwa takribani miezi 2 tu akiwa uraiani kabla ya kukamatwa na hadi leo anakiongoza chama akiwa mahabusu.
Viongozi bora na wa kweli huwa hawaendekezi fitina, majungu, lawama na excuses za kitoto!! Haya yote unayosema hayana faida wala msaada kwenu!! Mmeshika chama January 2025 mbona October 2025 hamjachukua Nchi? Lissu anaozea korokoroni Mbowe hayupo mdarakani vipi mmeshindwa nini kwenda kumchomoa??

Mnajiabisha sana kuwekeza too much kwenye umbeya na uchimvi!! Ni Musa wenu sasa kuonesha hayo maajabu ambayo mnayo!!

Sio siri mnatia kinyaa sana!! Mna fitina nyingi sana badala ya vitendo!!
 
Na ninaamini hata ile 2020 yeye ndo aliuza ule uchaguzi kwa JIWE.
2020 nilikua igunga siku ya uchaguzi,foleni za kura zilijaa akina mama na wazee tu
Hivyo vyama vyenu havina mizizi,vinaenda kwa vibes tu, tofauti na CCM ambayo wanachama wake hawakosi kupiga kura
 
Kahujumu maridhiano mengi kwa faida binafsi akishirikiana na aliyekuwa Mkurugenzi wa chama Jon Mrema na wenzake waliokimbilia CHAUMMA.

Kwenye uchaguzi wa 2015, ulikuwa ni mpango wa Mbowe kumweka Lowassa kugombea urais dakika za mwisho bila mchakato wowote ili kuzima nguvu ya Dr. Slaa aliyokuwa nayo.

Kavujisha siri za chama nyingi sana kwa maslahi yake vinginevyo leo Chadema kingekuwa chama tawala.

Kwangu January 21, 2025 ni siku ya ukombozi kwa CHADEMA. CCM iliumia sana Mbowe kushindwa uchaguzi na Lissu kuwa mwenyekiti.

Lissu aliongoza Chadema kwa takribani miezi 2 tu akiwa uraiani kabla ya kukamatwa na hadi leo anakiongoza chama akiwa mahabusu.
Kushindwa kwa Mbowe lilikuwa jambo zuri kwani lately alikuwa compromised lakini kuukataa ukweli kuwa Lowassa popularity yake ndiyo iluchangia kwa kiasi kikubwa idadi ya kura hence kuongezeka kwa idadi ya wabunge. Tatizo wote wawili(Lowassa na Slaa) walikuwa deep inside na u-CCM ambao baadaye ukajidhihirisha wenyewe, I never trusted those two old folks.
 
Mzee fala sana huyo. Likauza mechi kwa CCM k\ kumpa lowassa.
Unamwonea tu Mzee wa Watu,
Mbona hayo yalikuwa maamuzi ya kamati kuu akiwamo Dr. Slaa ambae alitarajiwa kugombea kwa wakati ule?

Sasa kwa mujibu wake Dr Slaa, Kilicho mkwaza ni Lissu kudai kwamba wako tayari kushirikiana hata na 'shetani' ili kumtoa CCM madarakani, kwahiyo akajitoa kwenye huo mchakato kwa dhamira yake maana yeye ni mwamini kindakindaki wa Mungu.

Ila ukirejea hotuba ya Askofu Gwajima(Mshenga), anasema Slaa alikuja kumpinga Lowassa baada ya Mke wake Josephine kumgomea na kutaka yeye(Slaa) agombee uraisi.

Kuhusu Mbowe kupoteza pambano lately, Mwamba aliamua kuongea ukweli kabisa, ambao haukutakiwa na wapinzani hasa kuhusu Rais Samia wa wakati ule.
Lakini pia kosa kubwa sana la kimkakati lilianza pale alipo teamup na Wenje, mwishoni kabisa.
Ingawa ukimya wake pia umekuwa na ukakasi sana kipindi cha karibuni
 
Wakati wa Mbowe, Husna Said alikataa kabisa bendera ya chama chake isishushwe katika ofisi zao zilizokuwa Chato. Alikubali kuwekwa ndani mradi bendera haishushwi.

Juzi tumeona watu ngangari wa Chadema wakiangalia tu wakati bendera za chama chao zikishushwa. Walichoweza kufanya ni kukimbilia huku kulalamika.

Mbowe alikuwa na wapambanaji ambao walikuwa tayari kwa chochote.

Cha kujiuliza ni nini kimewapata wakina Husna?

Amandla...
Joyce Mukya katika ubora wako
 
Viongozi bora na wa kweli huwa hawaendekezi fitina, majungu, lawama na excuses za kitoto!! Haya yote unayosema hayana faida wala msaada kwenu!! Mmeshika chama January 2025 mbona October 2025 hamjachukua Nchi? Lissu anaozea korokoroni Mbowe hayupo mdarakani vipi mmeshindwa nini kwenda kumchomoa??

Mnajiabisha sana kuwekeza too much kwenye umbeya na uchimvi!! Ni Musa wenu sasa kuonesha hayo maajabu ambayo mnayo!!

Sio siri mnatia kinyaa sana!! Mna fitina nyingi sana badala ya vitendo!!
Unajifanya sababu ya Lissu kuwa mahabusu huijui.
 
2020 nilikua igunga siku ya uchaguzi,foleni za kura zilijaa akina mama na wazee tu
Hivyo vyama vyenu havina mizizi,vinaenda kwa vibes tu, tofauti na CCM ambayo wanachama wake hawakosi kupiga kura
Hata uchaguzi wa mwaka jana wana CCM million 32 walijitokeza.
 
Back
Top Bottom