CHINOVA JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 212 Reaction score 89 Dec 13, 2020 #41 Nandipha.....
Mkazuzu JF-Expert Member Joined Apr 3, 2008 Posts 449 Reaction score 559 Dec 13, 2020 #42 mdukuzi said: Nandipa,demu wangu wa kufikirika Click to expand... Si alikuwa na ngwengwe au,niliacha kuifuatilia zamani sana,enzi za kina Skipp Bulher
mdukuzi said: Nandipa,demu wangu wa kufikirika Click to expand... Si alikuwa na ngwengwe au,niliacha kuifuatilia zamani sana,enzi za kina Skipp Bulher
Hismastersvoice JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 23,261 Reaction score 28,422 Dec 13, 2020 Thread starter #43 binti kiziwi said: Imeisha kitambo, kama sikosei katikati au mwanzoni mwa mwaka huu. Click to expand... Wakati inakaribia kuisha walipewa of a ya kuna kupanda mlima Kilimanjaro na bahati mbaya baadae mmoja wao alifariki.
binti kiziwi said: Imeisha kitambo, kama sikosei katikati au mwanzoni mwa mwaka huu. Click to expand... Wakati inakaribia kuisha walipewa of a ya kuna kupanda mlima Kilimanjaro na bahati mbaya baadae mmoja wao alifariki.
Pabloz JF-Expert Member Joined Oct 24, 2020 Posts 1,818 Reaction score 9,334 Dec 13, 2020 #44 Nafaka said: Hivi Lincolin mwishoni alimuoa claudette au Lungi? Click to expand... Last episode Last scene 'Steringi' anauwawa
Nafaka said: Hivi Lincolin mwishoni alimuoa claudette au Lungi? Click to expand... Last episode Last scene 'Steringi' anauwawa
J jabulani JF-Expert Member Joined Aug 1, 2015 Posts 5,558 Reaction score 11,762 Dec 13, 2020 #45 bila kumsahau derek nyathi na mashati yake