FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,525
- 46,610
Who cares? Kwani si hadithi tu hiyo?Deep Horizon ni kijiji kwenye mgodi wa dhahabu, maisha ya hapo ni ya jamii mchanganyiko, hivi karibuni tulianza kushuhudia wazungu mmojammoja akiondoka na mpaka sasa wamebaki weusi tu. Baada ya kubaki weusi tunashuhudia ulevi na mapenzi tu na uchimbaji dhahabu haupo, nani anajua ni nini kimetokea Deep Horizon!
Ya Sauzi tuyaache huko kama tunavyoyaacha ya Japani, hizi gari mpya toka Japani huko haziruhusiwi kutembea! Twende na tamthilia kama ilivyo kwenye mabadiliko, inatuonesha nini weusi! Tuanpenda pombe na mapenzi? Hakuna tena uchimbaji wa dhahabu! Muda wote ndani ya Shebeen! Na umkhomboti? Kwa kifupi kuna harufu ya ubaguzi wa rangi ukihusisha dharau kwa weusi.Unaongelea Sebeko Gold Mine? Isindigo ishaisha sisi tuko nyuma ya muda waliamua kuimaliza kwasaabbu ilikuwa hailipi tena. Uwa nikitazama maisha ya Sessaba na Lincoln Sebeko kwenye tamthilia halafu nikawaza pesa wanayolipwa haifiki hata milion mbili kama main character nasema Yeeeh afadhali waendelee kuishi kwenye tamthlia
Mbona wanachimba, hadi wamegundua new gold belt... Mbona safi tu unless kama unaitazama kwa angle hiyo ya ubaguzi. Kwani huwaoni wakina Sibiya mara kadhaa wako machimboni? Huoni hadi wanajengewa nyumba mpya kuwa reallocated ili waweze kuchimba dhahabu mpya zilizovumbuliwa?Ya Sauzi tuyaache huko kama tunavyoyaacha ya Japani, hizi gari mpya toka Japani huko haziruhusiwi kutembea! Twende na tamthilia kama ilivyo kwenye mabadiliko, inatuonesha nini weusi! Tuanpenda pombe na mapenzi? Hakuna tena uchimbaji wa dhahabu! Muda wote ndani ya Shebeen! Na umkhomboti? Kwa kifupi kuna harufu ya ubaguzi wa rangi ukihusisha dharau kwa weusi.
Nimekua naisikia ila sijawahi kuielewa. Sidhani kama ni hadithi ile.Who cares? Kwani si hadithi tu hiyo?
yeah wamepata project nyingine inaitwa isibayaImeisha kitambo, kama sikosei katikati au mwanzoni mwa mwaka huu.
Waulize akina Bishanga, Single na wengine walioingia mitini miaka ile tukiwa washamba wa TV, lugha baba ni tatizo waliokosa SunSet! Na ndiyo ukawa mwisho wa akina Bishanga.Nimekua naisikia ila sijawahi kuielewa. Sidhani kama ni hadithi ile.
Walianzia kwenye ISIDINGO THE NEED kabla haijawa ISIDINGO.Baker henz na Rajesh Kumar
Ooh pole, ISIDINGO imefikia mwisho wake, kwaheri ISIDINGO tunawaona mko kwenye pate na harusi za mfululizo mkiagana.Isidingo nimelingana nayo umri
Lungi alikuja kufa? Claudette alimuuwa?Claudette, lungi alijichanganya ikala kwake mazima
Hiyo isibaya inarushwa South Africa tayari na characters wake ni walewale wa Isidingo.??yeah wamepata project nyingine inaitwa isibaya
Wanataka tuwajibu nini?Mnatuletea habari za isidingo huku uswailini
Tamthilia inakosaje kuwa ni hadithi?Nimekua naisikia ila sijawahi kuielewa. Sidhani kama ni hadithi ile.
yeah wamepata project nyingine inaitwa isibaya
Isibaya si inaisha nayo?...ilishapoteza mvuto....waigizaji kibao walishajitoa.Hiyo isibaya inarushwa South Africa tayari na characters wake ni walewale wa Isidingo.??
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app