The choosen one1
Member
- Dec 13, 2023
- 88
- 343
Baada ya kupambana kwa muda mrefu angalau nichakate mbususu
Nikapata kidem cha mwaka wa kwanza, fikisha gheto ile kuanza harakati kanadai kanataka kurudi hostel, nimem boltia ameondoka, sitamtafuta tena.
Niliwekeza pesa na muda kumfikisha hii hatua but nafikia hitimisho moja tu "mambo yote ni ubatili mtupu"
Acha niendelee kukuza uchumi wangu, focus na mishe zangu mahusiano ya uzinzi hapana.
Niendeleze series yangu ya snowfall kama zamani, peaceful life.
Asanteni kwa miongozo mbalimbali mliyonipa kwenye nyuzi zangu za nyuma.
#D9 TUNATOKA