Ishu ya kiutumishi

Pembani

Member
Feb 25, 2019
7
1
Kwa wenye uelewa juu ya ishu ya kuhama mfanyakaz pasipo mshahara kuhamishwa baina ya halmashaur nje ya mkoa.Nini athari zake katika upatikanaji wa haki za kiutumishi katika halmashauri mpya na je kuna uwezekano wa kuweza kurudi ama kurudishwa kituo cha zamani kutokana na salary kuwa kule.msaada wa mawazo tafadhali
 
Hakuna athari yoyote. Chapa kazi lakini fuatilia mshahara wako uhamishwe, ulikotoka wanaweza hata kulipa mshahara mwaka mzima bila athari yoyote kwako. But ni vema mshahara uhamishwe.
 
Ndg gamlemilwe,je kuna uwezekano wa kurudi kituo cha awali kwa kigezo cha mshahara kuwa bado upo kule
 
Mi nilihama mwaka jana mshahara mpaka leo bado uko pending tamisemi approver hajaurusu uhamie halmashauri yangu nifanyeje maana hata kuchukua Loan siwez
 
Back
Top Bottom