Ishini nao kwa akili wapendwa

Ishini nao kwa akili wapendwa

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,023
Reaction score
36,870
Ndugu Yangu' Ulie ktk Mahusiano Au Ndoa'Mume Ukitaka kuisha Vizuri na Mkeo kuepuka Migogoro,Kuna Mengine Ujifanye Kama Huoni' ,

Unachotakiwa kufanya Wewe Ongea nae Vizuri Lakini Husimuongereshe.

(Ongea nae)Akikuuliza kitu Majibu,akikwambia kitu Majibu,alitaka Unisaidie kitu Majibu na Muelekeleze Uwo ndio Utakua ufaulu wenu Mzuri.

(Husimuongereshe)hii namaanisha Usimkumbishe Makosa yake uliyoyaandika ktk daily,Uliyoyaona na

Uliyoambiwa Enzi hizo,Acha kumuongeresha hayo niliyokuandikia kama Mfano'.Pamoja na kuwa ni ngumu Lakini ni Chungu kumeza'Hamna Namna Ili Maisha yaende Fanya ninavyokushauri Utakuja kunishukuru 'Mungu Alitoa Agizo la kuishi nao Kwa akili alimaanisha.

Usiku mwema wotee
 
Kamaa sijawaelewa hv ila kama imekubamba sema aah
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom